Usijikwepeshe, rudia tena post yangu uisome ipasavyo.
Mwaka 2010 wakati wa kampeni, ulitoa ahadi ambazo zilisababisha watu wengi wakupe kura nikiwemo mimi.
cha kushangaza mpaka leo(miaka mitatu baadaye) hakuna hata moja iliyotekelezwa.
Vp na lile trekta ulilolitoa kwa wananchi liko wapi?
- Kuhamishia stendi kubwa ya mabasi eneo la ngulelo ili kupunguza msongamano mjini.
- kujenga Machinga complex kubwa katikati ya jiji la Arusha.
- Kuwapa akinamama na vijana mikopo ya kujiendeleza.
CHADEMA na LEMA acheni kudanganya wananchi, msidhani hatuna akili. Tunawangoja kwenye boksi la kura 2015.
Hata Trekta lilizuiliwa na Magamba?

kama kuna mtu ambaye anaamini kuwa chadema italeta maendeleo anajidanganya.
muulize kwanza baba liz ahadi zake ziko wapi nchi hii (meli ya kisasa bukoba ) maana ndie mwenye kodi za wananchi.
!Labda mbunge alikopi akijua mkulu atatekeleza.
Kwahiyo trekta liko wapi? Mbona hili swali hamlijibu? Nikupe dondoo tu, kipindi kile Lema aliposimamishwa ubunge aliliuza!!!! we endelea kuwa msukule wa kutetea uozo wa CHADEMA hapa, mwenzako Lema anapiga hela!Magamba kwa kumtumia mkuu wa mkoa wenu mulugo,mlitaka kuhakikisha lema hapati nafasi ya kutumikia wananchi waliomchagua,kila siku mliibua kila aina ya vikwazo,mkaona haitoshi mkamtumia Hakim feki yule,maana alijua kabisa anachofanya ni kinyume cha sheria,kwa maagizo ya CCM akamnyang'anya ubunge,amekaa kipindi kirefu nje,alafu sasa inahoji trekta trekta,you must be mad.
kwahiyo hakuna ahadi itakayotekelezwa tena? Lema huwa anajiharibia mwenyewe, Siku ile alijipeleka Jela kwa kutaka huruma ya wananchi kumbe ndio anazidi kujiharibia! Mbunge kupoteza wiki mbili jela kwa kutaka mwenyewe ni ujinga sana!Hajawa mbunge kwa miaka 3 maana maCCM mlifanya njama na kufanikiwa kuusitisha ubunge kwa takribani mwaka mmoja ila mwishoni mkaambulia aibu na fedheha kwa magamba na mafisadi
Ni ahadi zipi aliyo tekeleza
Hivi LEMA kapotelea wapi siku hizi?
Maandamano, vurugu na uchozi kimya kabisa siku hizi
Kweli nimeamini ngoma ya kitoto haikeshi.....
Acha Porojo, sijakwambia ulinganishe ahadi za LEMA na JK? Machinga Complex iko wapi? na Lile Trekta Liko wapi?