Sasa kama lema alishatoa trekta hadharani mbele za wananchi, na waliopokea iweje waliuze??? Haingii akilini kwa mleta mada kusema mbunge kauza trekta, yaan uuze kitu ambacho hakipo mikonon mwako?? Mbunge alishatoa,kama waliopewa wameliuza,kwann useme tena mbunge??? Achen siasa chafu bana, kama ulimsikia lema vizur baada ya kurudishiwa ubunge wake alieleza jinsi anavyokumbuka ahadi zake ila amesumbuliwa ili asifanye kazi, lema alisema kabla hata ya kuwa mbunge rais alimtaka agombee unbunge kupitia ccm,lema akagoma,akaambiwa tutahakikisha hufany kazi,wtu wa Arusha wanajua kuwa lema hajashindwa kutekeleza ahad isipokuwa anasumbuliwa makusudi, ndo maana watu wa Arusha wanampeda lema,kumbuka ni hao mwez uliopita tu kashinda kesi ya kutungwa,na kwa taarifa yako,hakuna kiongoz wa ngaz za juu wa chadema ambae hajafunguliwa kesi ili tu kuwayumbisha....ccm imetawala hii nchi miaka 33 sasa hakuna maisha bora,wananch tunaish maisha magumu,makato ya lain za simu,pesa zinzfichwa uswis,vigogo wanawapa watu pesa wawateke wengine kama ughaid na wanakubali kwa kuwa hakuna pesa,rais anapokea mshahara mil 34 kwa mwez na halipi kodi, waziri mkuu mil 26 na halipi kodi,wtanzania walalahoi wanalazimishwa kulipa kodi hata kama una kakibanda tu, walimu na wafanyakaz wa uma wanakatwa kodi kubwa tu,yaan mshahara laki 4 lakin unakatwa kod unaambulia lak 3 au 2.. , kati ya chadema na ccm wepi waliowalaghai watanzania??? Chadema hawajashika nchi bado...tusiishambulie chadema tu tukaisahau ccm waliotufanya watz maskini....