Duh!
Jina lenyewe MSALANI!! Ngoja nikalale mie.
Mwaka 2010 wakati wa kampeni, ulitoa ahadi ambazo zilisababisha watu wengi wakupe kura nikiwemo mimi.
cha kushangaza mpaka leo(miaka mitatu baadaye) hakuna hata moja iliyotekelezwa.
Vp na lile trekta ulilolitoa kwa wananchi liko wapi?
- Kuhamishia stendi kubwa ya mabasi eneo la ngulelo ili kupunguza msongamano mjini.
- kujenga Machinga complex kubwa katikati ya jiji la Arusha.
- Kuwapa akinamama na vijana mikopo ya kujiendeleza.
CHADEMA na LEMA acheni kudanganya wananchi, msidhani hatuna akili. Tunawangoja kwenye boksi la kura 2015.
Hizi ahadi ni mojawapo ya ahadi alizozitoa kwenye kipindi cha kampeni, tena alizirudia tena kwenye kipindi cha Televisheni kilichoitwa MCHAKATO MAJIMBONI..najaribu kuwasiliana na TBC kama nitapata Nakala ya kipindi hicho niibandike hapa!Kwa bahati mbaya sisi wengine si wana-arusha,hivyo hatuwezi sana kutolea ufafanuzi juu ya hizo ahadi.Nadhani Lema ana nafasi nzuri ya kujibia hili.Ila tayari umetanguliza tuhuma na lawama sidhani kama atajibu,jaribu kumuuliza taratibu.Au tukutafutie namba yake ya simu umpigie?
Mungi kwahiyo ahadi za Machinga Complex na lile trekta zimeshamezwa na kazi "UKOMBOZI WA FIKRA"?Huyu mtoa mada nina mashaka nilimwona, maana nilikuwa nimekaa mahali na watu kama watano akiwemo diwani moja. Anyway, labda mawazo yao yalifanana.
Katika mazungumzo yetu tulikuwa tunajadili maendeleo ya chama, then jamaa moja kaongelea hii mada ya ahadi za Lema, tena kazungumzia kuwa miaka mitatu imepita hakuna kitu. Japo nilimjibu pale inabidi nirudie hapa.
Hivi miaka mitatu unayozungumzia kwa Lema ni ipi? Lema alivuliwa ubunge, akakaa nje ya bunge almost miaka miwili, yote haya yamesababishwa na serikali ya ccm.
Kuna mambo mengi na muhimu ambayo Lema ameyafanya nchi hii ambayo ni muhimu kuliko ahadi za ubunge.
Kuwapatia watanzania ukombozi wa fikra, ambao umewafanya watanzania wengi wajitambue ni jambo kubwa kuliko Machinga Complex, ni kubwa kuliko ArDF
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Hivi LEMA kapotelea wapi siku hizi?
Maandamano, vurugu na uchozi kimya kabisa siku hizi
Kweli nimeamini ngoma ya kitoto haikeshi.....
ahadi kubwa kuliko zote ile ya kuitokomeza ccm arusha mbona ameitimiza !
Hivi ahadi alizotoa Kikwete na Maccm wenziwe ametimiza iko wapi Meli kubwa zaidi ya Mv Bukoba aliyoahidi Hadi leo wakati ndio wanaokusanya kodi?Ziko wapi Hospital saba za rufaa ambazo aliahidi kuwa atazipandisha kuwa na Madr wa ukweli wakutibu karibu magonjwa yote kiasi kwamba huhitaji kwenda Muhimbili kama ilivyo sasa.Acheni unafiki nyie wezi na wauza madawa ya kulevya UNGA na wauaji wa Tembo,Juzi kama mlisoma Kwa News kinachoendelee Arusha jiji liko juu sasa Kwa ajili ya uchapakazi wa Madiwani wa CHADEMA Hadi mianya ya rushwa imekamatwa vibaya sana Kwa uchapakazi mwema wa Madiwani wa CHADEMA wakishilikiana na Mkurugenzi Hadi Meya wa Kichina anacganganyikiwa maake ile kula yake ndio hio inaelekea kuzimu Hadi Maccm wanaandaa maandamano ati Mgurugenzi anatimiza mikakati ya CHADEMA teh teh at yanasema Mkurugenzi ni Chadema Kwa kuwa tu ati alikubaliana na hoja za msingi za Madiwani wa Chadema wakiongozwa na Mwamba,Kmanda Lema kutetea maslhi ya wana Arusha na Kwa taarifa zenu nyie kina Chris Lukosi mganga njaa na mtumwa wa Maccm kisa umepewa tenda ya kupeleka takataka Bongo nataka mfahamu kwamba Arusha sasa iko juu Hadi ukasanyaji wa kodi umepaa Kwa kutokomeza baadhi ya wizi wa Maccm na kuhusu hiyo stendi mbona ni kitu kidogo sana pia Machinga Compleks mkumbuke Mh Lema kama Mbunge hawezi kutoa hela mfukoni mwake na kujenga Compleks ni kodi za wana Arusha ndio zitajenga na kubadilisha stendi ya Arusha Kwa usimamizi Wake kama walivyoanza kuibana Municipal now sasa mapato yanapaaa kila uchao so subirini maendeleo zaidi chini ya Chadema.
mwaka 2010 wakati wa kampeni, ulitoa ahadi ambazo zilisababisha watu wengi wakupe kura nikiwemo mimi.
Cha kushangaza mpaka leo(miaka mitatu baadaye) hakuna hata moja iliyotekelezwa.
vp na lile trekta ulilolitoa kwa wananchi liko wapi?
- kuhamishia stendi kubwa ya mabasi eneo la ngulelo ili kupunguza msongamano mjini.
- kujenga machinga complex kubwa katikati ya jiji la arusha.
- kuwapa akinamama na vijana mikopo ya kujiendeleza.
Chadema na lema acheni kudanganya wananchi, msidhani hatuna akili. Tunawangoja kwenye boksi la kura 2015.
Mungi kwahiyo ahadi za Machinga Complex na lile trekta zimeshamezwa na kazi "UKOMBOZI WA FIKRA"?
Mwaka 2010 wakati wa kampeni, ulitoa ahadi ambazo zilisababisha watu wengi wakupe kura nikiwemo mimi.
cha kushangaza mpaka leo(miaka mitatu baadaye) hakuna hata moja iliyotekelezwa.
Vp na lile trekta ulilolitoa kwa wananchi liko wapi?
- Kuhamishia stendi kubwa ya mabasi eneo la ngulelo ili kupunguza msongamano mjini.
- kujenga Machinga complex kubwa katikati ya jiji la Arusha.
- Kuwapa akinamama na vijana mikopo ya kujiendeleza.
CHADEMA na LEMA acheni kudanganya wananchi, msidhani hatuna akili. Tunawangoja kwenye boksi la kura 2015.
Kile kilichomkuta hawezi kujitokeza sana kwa sasa.Hivi LEMA kapotelea wapi siku hizi?
Maandamano, vurugu na uchozi kimya kabisa siku hizi
Kweli nimeamini ngoma ya kitoto haikeshi.....
Nilichokuwa nasemea siyo ahadi zake kumezwa na ukombozi, bali muda uliotaja hauendani na uhalisia.
Lema alikuwa nje ya bunge takriban miaka miwili. Hata hivyo imani ni kwamba ahadi za Lema zinatekelezeka, siyo Trekta na Machinga Complex pekee, bali kuna mengi ambayo hayakuwa kwenye ahadi zake atazitekeleza kabla ya 2015.
Lakini pia utambue kuwa baadhi ya Ahadi nyingi za chadema na Lema zilitegemea endapo CHADEMA wangeshinda uchaguzi, hivyo unapozungumzia ahadi za Lema ambaye chadema haikushinda Uchaguzi mkuu unatakiwa ujaribu ku refer kwenye ahadi za Dr. Slaa. Maana watu wenye upeo mdogo wanaweza kumdai Slaa alizoziahidi wakati wa kampeni
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
jibu hoja wewe, Lema hakutoa hizo ahadi, na je amezitekeleza?