Mh. Lema na CHADEMA acheni ulaghai!

Mh. Lema na CHADEMA acheni ulaghai!

Mwaka 2010 wakati wa kampeni, ulitoa ahadi ambazo zilisababisha watu wengi wakupe kura nikiwemo mimi.
cha kushangaza mpaka leo(miaka mitatu baadaye) hakuna hata moja iliyotekelezwa.

  1. Kuhamishia stendi kubwa ya mabasi eneo la ngulelo ili kupunguza msongamano mjini.-Itatekelezwa baada ya meya wa kichina kuondolewa
  2. kujenga Machinga complex kubwa katikati ya jiji la Arusha.-Itatekelezwa baada ya meya wa kichina kuondolewa
  3. Kuwapa akinamama na vijana mikopo ya kujiendeleza.-Itatekelezwa baada ya meya wa kichina kuondolewa
Vp na lile trekta ulilolitoa kwa wananchi liko wapi?-Trekta ipo na linafanya kazi. mwaka jana limewasaidia wananchi wasiojiweza kwa kuwalimia mashamba yao. Kwakuwa unakaa kijiweni huna shamba lingekuja kukulimia kwenye karai?

CHADEMA na LEMA acheni kudanganya wananchi, msidhani hatuna akili. Tunawangoja kwenye boksi la kura 2015.

Nadhani hapo utakuwa umeeleweka
 
msalani...choooni au....mi sina uwezo wa kwenda dubai nasubiri jk alisema kigoma itakuwa kama dubai na yeye anakila kitu tra bank kuu bunge nk
 
Mwaka 2010 wakati wa kampeni, ulitoa ahadi ambazo zilisababisha watu wengi wakupe kura nikiwemo mimi.
cha kushangaza mpaka leo(miaka mitatu baadaye) hakuna hata moja iliyotekelezwa.
  1. Kuhamishia stendi kubwa ya mabasi eneo la ngulelo ili kupunguza msongamano mjini.
  2. kujenga Machinga complex kubwa katikati ya jiji la Arusha.
  3. Kuwapa akinamama na vijana mikopo ya kujiendeleza.
Vp na lile trekta ulilolitoa kwa wananchi liko wapi?

CHADEMA na LEMA acheni kudanganya wananchi, msidhani hatuna akili. Tunawangoja kwenye boksi la kura 2015.

Shame on You.
 
Huo Mpango wa WB ulikuwepo hata kabla Lema hajafikiria kugombea ubunge! hata angeshinda Mbunge wa TLP hapa Arusha, barabara zingejengwa tu! Lema hana uwezo wa kuilazimisha WB itoe hela ya ujenzi wa barabara!

Sisi wapiga kura wake tunajua Mbunge wetu ametekeleza moja ya ahadi zake alizoahidi wakati wa kampeni. Aliahidi kujenga barabara na barabara zimejengwa FULL STOP!!!!
 
[h=2][/h]
quote_icon.png
By MSALANI
Mwaka 2010 wakati wa kampeni, ulitoa ahadi ambazo zilisababisha watu wengi wakupe kura nikiwemo mimi.
cha kushangaza mpaka leo(miaka mitatu baadaye) hakuna hata moja iliyotekelezwa.

  1. Kuhamishia stendi kubwa ya mabasi eneo la ngulelo ili kupunguza msongamano mjini.-Itatekelezwa baada ya meya wa kichina kuondolewa
  2. kujenga Machinga complex kubwa katikati ya jiji la Arusha.-Itatekelezwa baada ya meya wa kichina kuondolewa
  3. Kuwapa akinamama na vijana mikopo ya kujiendeleza.-Itatekelezwa baada ya meya wa kichina kuondolewa

Vp na lile trekta ulilolitoa kwa wananchi liko wapi?-Trekta ipo na linafanya kazi. mwaka jana limewasaidia wananchi wasiojiweza kwa kuwalimia mashamba yao. Kwakuwa unakaa kijiweni huna shamba lingekuja kukulimia kwenye karai?

Kutokana na majibu mazuri hapo juu, Tunaoifahamu Arusha vizuri Toka MB Lema aingie uongozini Arusha imebadilika sana ukilinganisha na awamu zingine zote. Na mabadiliko haya yameletwa na ujasiri mkubwa wa MB Lema na Chadema kwa ujumla. Kwakuwa serikali iliopo madarakani ni legelege basi Arusha tukaamua kumweka kamanda madarakani na kiukweli mziki wake magamba uliwashinda na barabara za lami kila kona kwa sasa.

Barabara ipi,kwa kiwango gani,urefu gani,source of fund na aliziomba wapi? barabara zote zinazojengwa zipo chini ya ahadi na utekelezaji wa ilani ya chama cha mapinduzi.
 
quote_icon.png
By MSALANI
Mwaka 2010 wakati wa kampeni, ulitoa ahadi ambazo zilisababisha watu wengi wakupe kura nikiwemo mimi.
cha kushangaza mpaka leo(miaka mitatu baadaye) hakuna hata moja iliyotekelezwa.

  1. Kuhamishia stendi kubwa ya mabasi eneo la ngulelo ili kupunguza msongamano mjini.-Itatekelezwa baada ya meya wa kichina kuondolewa
  2. kujenga Machinga complex kubwa katikati ya jiji la Arusha.-Itatekelezwa baada ya meya wa kichina kuondolewa
  3. Kuwapa akinamama na vijana mikopo ya kujiendeleza.-Itatekelezwa baada ya meya wa kichina kuondolewa

Vp na lile trekta ulilolitoa kwa wananchi liko wapi?-Trekta ipo na linafanya kazi. mwaka jana limewasaidia wananchi wasiojiweza kwa kuwalimia mashamba yao. Kwakuwa unakaa kijiweni huna shamba lingekuja kukulimia kwenye karai?

Kutokana na majibu mazuri hapo juu, Tunaoifahamu Arusha vizuri Toka MB Lema aingie uongozini Arusha imebadilika sana ukilinganisha na awamu zingine zote. Na mabadiliko haya yameletwa na ujasiri mkubwa wa MB Lema na Chadema kwa ujumla. Kwakuwa serikali iliopo madarakani ni legelege basi Arusha tukaamua kumweka kamanda madarakani na kiukweli mziki wake magamba uliwashinda na barabara za lami kila kona kwa sasa.

Jidanganyeni tu!
 
Ila msisahau na ile meli Kikwete alioaidi ARUSHA alipokuwa kwenye kampeni zake ktk kiwanja cha Shekh Amri Abeid Karume wakati anamnadi mama Batilda Buriani. Ila sijui aliambiwa arusha kuna bahari, kwasababu huyu Mkuu wa Kaya yetu huwa apendi kushuulisha akili yake, yeye anategemea kuambiwa tu.
 
Tafakari sana kabla ya kuja humu na bichwa lako utadhani una akili kumbe umebeba tu.

AMA UMETUMWA NINI?

Machinga Complex umeiona? au umebakia kutukana tu? mm ni mpiga kura mwenzio, wote tumedanganywa na Ndg.LEMA, hukuwa na haja ya kuongea nonsense, cha muhimu jibu hoja!
 
Sisi wapiga kura wake tunajua Mbunge wetu ametekeleza moja ya ahadi zake alizoahidi wakati wa kampeni. Aliahidi kujenga barabara na barabara zimejengwa FULL STOP!!!!

Acha kujitoa ufahamu, toka lini mbunge akajenga barabara? tena wakati zinajengwa yeye alikuwa Jela hajui hata kinachoendelea!
 
Ila msisahau na ile meli Kikwete alioaidi ARUSHA alipokuwa kwenye kampeni zake ktk kiwanja cha Shekh Amri Abeid Karume wakati anamnadi mama Batilda Buriani. Ila sijui aliambiwa arusha kuna bahari, kwasababu huyu Mkuu wa Kaya yetu huwa apendi kushuulisha akili yake, yeye anategemea kuambiwa tu.
Tunazungumzia Ahadi za Mhe.Godbless Lema. Mbunge wa Arusha Mjini. Mbona mnakwepa? au unazi wa chama umewafunika ipasavyo!? Machinga Complex aliyosema anaijenga Pale stendi iko wapi?
 
Mbona unapenda kuubana uwezo wako wa kufikiri? unapoleta mada inayousu ahadi za wagombea lazima tuwe na wigo mpana wa kujadili na sio mbaya tukajadili ahadi zote tulizoaidiwa wana wa Arusha mwaka 2010 bila uwoga.
Sisi tunasubiria hiyo meli ya Jk kwa sababu mimi ni Baharia so nawakika wa ajira, na wewe kama ni machinga basi endelea kuulizia mambo ya machinga complex
 
Mwaka 2010 wakati wa kampeni, ulitoa ahadi ambazo zilisababisha watu wengi wakupe kura nikiwemo mimi.
cha kushangaza mpaka leo(miaka mitatu baadaye) hakuna hata moja iliyotekelezwa.
  1. Kuhamishia stendi kubwa ya mabasi eneo la ngulelo ili kupunguza msongamano mjini.
  2. kujenga Machinga complex kubwa katikati ya jiji la Arusha.
  3. Kuwapa akinamama na vijana mikopo ya kujiendeleza.
Vp na lile trekta ulilolitoa kwa wananchi liko wapi?

CHADEMA na LEMA acheni kudanganya wananchi, msidhani hatuna akili. Tunawangoja kwenye boksi la kura 2015.

Umeandkika ukiwa kwenye shughuli za MSALANI inaeleweka. Vipi ahadi ya fastJet, Dhaifu, Dr. Dr. Dr. Dr. JK na CCM juu ya maisha bora kwa kila Mtanzania?
 
Back
Top Bottom