Arushaone
JF-Expert Member
- Mar 31, 2012
- 15,235
- 13,539
Ukweli ni huu; Mh. Lema alitoa ahadi zile akiwaomba wapiga kura wampe madiwani watakaomsaidia kuidhinisha maamuzi ya ahadi zile pia meya jambo ambalo halikutimia. Kuna ahadi nyingi sana ametekeleza pamoja na misukosuko mingi aliyoipata mahakamani.