Mh. Lema na CHADEMA acheni ulaghai!

Mh. Lema na CHADEMA acheni ulaghai!

sasa kama lema alishatoa trekta hadharani mbele za wananchi, na waliopokea iweje waliuze??? Haingii akilini kwa mleta mada kusema mbunge kauza trekta, yaan uuze kitu ambacho hakipo mikonon mwako?? Mbunge alishatoa,kama waliopewa wameliuza,kwann useme tena mbunge??? Achen siasa chafu bana, kama ulimsikia lema vizur baada ya kurudishiwa ubunge wake alieleza jinsi anavyokumbuka ahadi zake ila amesumbuliwa ili asifanye kazi, lema alisema kabla hata ya kuwa mbunge rais alimtaka agombee unbunge kupitia ccm,lema akagoma,akaambiwa tutahakikisha hufany kazi,wtu wa arusha wanajua kuwa lema hajashindwa kutekeleza ahad isipokuwa anasumbuliwa makusudi, ndo maana watu wa arusha wanampeda lema,kumbuka ni hao mwez uliopita tu kashinda kesi ya kutungwa,na kwa taarifa yako,hakuna kiongoz wa ngaz za juu wa chadema ambae hajafunguliwa kesi ili tu kuwayumbisha....ccm imetawala hii nchi miaka 33 sasa hakuna maisha bora,wananch tunaish maisha magumu,makato ya lain za simu,pesa zinzfichwa uswis,vigogo wanawapa watu pesa wawateke wengine kama ughaid na wanakubali kwa kuwa hakuna pesa,rais anapokea mshahara mil 34 kwa mwez na halipi kodi, waziri mkuu mil 26 na halipi kodi,wtanzania walalahoi wanalazimishwa kulipa kodi hata kama una kakibanda tu, walimu na wafanyakaz wa uma wanakatwa kodi kubwa tu,yaan mshahara laki 4 lakin unakatwa kod unaambulia lak 3 au 2.. , kati ya chadema na ccm wepi waliowalaghai watanzania??? Chadema hawajashika nchi bado...tusiishambulie chadema tu tukaisahau ccm waliotufanya watz maskini....

hujui hata ukichokiandika....
 
Tunazungumzia ahadi za Lema na Sio za KIKWETE, back to the topic
Msalani kama jina lako naona hujapitia msalani wakati ulivyoandika hii quote siku nyingine kabla hujaandika pitia kwanza msalani maake unachafua hali ya hewa humu,kwanza Hadi sasa unazo ID ngapi humu JF maake nimekusoma siku nyingi na kila ukitupia kitu humu na Id zako zingine unatoa mapovu
 
chris miaka inaenda,umri wako unaongezeaka,lakini akili kidogooooooo

Ahad zitatekelezwa ! la sivyo kuna 7bu c haya macc ndo weny serikali au unafkiri cdm wanatekeleza ahdi zao kwa ruzuku ya chama?ngoja kutulie na hzo varangati,mara uchaguz,wezi manispaa,rc kaingiria,mara macc wamemweka ndan mara kesi!hzo hila tumezingundua mnampotezea lema muda ila 2015 iwe ndo hoja yenu!!!we trust in u g lema!!

aiseeee nazani mtoa uzi atakuwa kalizika na majibu mazuri yaliyotolewa na wadau

Sasa kama lema alishatoa trekta hadharani mbele za wananchi, na waliopokea iweje waliuze??? Haingii akilini kwa mleta mada kusema mbunge kauza trekta, yaan uuze kitu ambacho hakipo mikonon mwako?? Mbunge alishatoa,kama waliopewa wameliuza,kwann useme tena mbunge??? Achen siasa chafu bana, kama ulimsikia lema vizur baada ya kurudishiwa ubunge wake alieleza jinsi anavyokumbuka ahadi zake ila amesumbuliwa ili asifanye kazi, lema alisema kabla hata ya kuwa mbunge rais alimtaka agombee unbunge kupitia ccm,lema akagoma,akaambiwa tutahakikisha hufany kazi,wtu wa Arusha wanajua kuwa lema hajashindwa kutekeleza ahad isipokuwa anasumbuliwa makusudi, ndo maana watu wa Arusha wanampeda lema,kumbuka ni hao mwez uliopita tu kashinda kesi ya kutungwa,na kwa taarifa yako,hakuna kiongoz wa ngaz za juu wa chadema ambae hajafunguliwa kesi ili tu kuwayumbisha....ccm imetawala hii nchi miaka 33 sasa hakuna maisha bora,wananch tunaish maisha magumu,makato ya lain za simu,pesa zinzfichwa uswis,vigogo wanawapa watu pesa wawateke wengine kama ughaid na wanakubali kwa kuwa hakuna pesa,rais anapokea mshahara mil 34 kwa mwez na halipi kodi, waziri mkuu mil 26 na halipi kodi,wtanzania walalahoi wanalazimishwa kulipa kodi hata kama una kakibanda tu, walimu na wafanyakaz wa uma wanakatwa kodi kubwa tu,yaan mshahara laki 4 lakin unakatwa kod unaambulia lak 3 au 2.. , kati ya chadema na ccm wepi waliowalaghai watanzania??? Chadema hawajashika nchi bado...tusiishambulie chadema tu tukaisahau ccm waliotufanya watz maskini....

Chadema hatuna matusi sisi, mbna hamuulizi kikwete ahadi za barabara za juu???? Rais mwenye serikal ameshindwa,licha ya lema??? Moja ya vitu vikubwa aliyofanya lema ni kuwapa watu moyo ujasiri,leo kina mama wafanyabiashara ndogondogo kama wauza ndizi,mahindi hawasumbuliwi,hawatandikwi viboko kama mara tu ya lema kuvuliwa ubunge,lakin aliporudishiwa ubunge wamamgambo wale wakaacha kuwapiga wale kina mama,lema katoa misaada gar la hospital,kawalipia watoto yatima ada zaid ya elfu 3..kama mh lema angekuwa mbunge muda wote bila kusumbuliwa angejitahid yote hayo kama si kumaliza basi angepunguza...na si chadema na lema mnailaumu,kwa kuwa serikali ni ya ccm, hata majimbo yanayoongozwa na ccm hakuna kilichofanyka,afadhali hata ya chadema kwa kuwa wabunge wake wanaonekana majimbon kuwaeleza jinsi mipango na mikakati ya utekelezaj wa ahad zinavyokwamishwa na serikali.,mfn mzur ni kule kwa mbunge wa mh Nasar ambapo serkikal kupitia diwan wake walizuia visima visichimbwe kwenye kata ya diwan wa ccm, na kule kwa ndesa,gar la wagongwa alilonunua ndesamburo serikali likaliharibu na kulificha..huku kwa mbunge wa ccm ole medeye,hakuna alichofanya,aliahid barabara za lami,hakuna tangu uhuru,aliahid hosp leo jmbo zima hakuna,aliahdi kutoa mikopo hakuna mpaka leo cha kushangza zaid hata jmbon haonekan.... Mim sipend kuwalaumu wabunge wote wa vyma vyote,nailaumu serikali kwa kutopeleka pesa za mirad ya maendeleo mapema.. Hata wabunge wa ccm wenyew wanajua hilo...

Basi mkuu, punguza ukali! Trekta lishauzwa kwa Mzee Kitasho wa Daraja mbili!

Mleta mada we ni kiazi tu:::.... Mh lema angejenga machinga complex lini wakat mmemsumbua kwa kesi za uongo na kumnyima asifanye kazi? Kumbuka lema alikuwa na kesi nyingi na hatimae akavuliwa ubunge na niny magamba, kuhamisha stand haiwez kufanikiwa kama halmashaur na manispaa hawataki, lema amepambana vyote hivyo lakin magamba wamempinga vyakutosha,trekta alilotoa unamuliza nan liko wapi? Si ukamulize aliepewa??? Leo nikikuuliza mabilion ya kikwete umeshapata utajib nn?? Kikwete aliahidi barabara za juu dar je kajenga?? Kiwanja cha ndege iko wapi??? Machinga complex dar vp??? Je bajaj za wamama wajawazito??? Kama kikwete kashindwa ndani ya miaka 10, lema alieteswa na kusumbuliwa asifanye kaz angeweza kwa mwaka 1 tu ya ubunge wake???

Nilitaka kumjibu tayri umempa huyu mbu
 
Hivi LEMA kapotelea wapi siku hizi?

Maandamano, vurugu na uchozi kimya kabisa siku hizi

Kweli nimeamini ngoma ya kitoto haikeshi.....

Lema & Co. Walidhani na kujidanganya kuwa watanzania ni hamnazo wanaweza kufuata kila watakalosema bila kuchanganua mambo hivyo baada ya kubaini kuwa WaTZ si kama walivyowadhania sasa wameingia Mitini.
 
Lile Trekta Lema alimuuzia Mzee mmoja wa pale Daraja mbili, anaitwa KITASHO!

Afadhali NA mpuuzi kama weeeeewe unatambua kuwa kwa juhudi za mbunge LEMA wana WA ARUSHA mjini tulipata trekta Ila mizengo pinda NA maccm wenzie hawajaweka hata mipango yeyote from their own source kuwapelekea wananchi walowachagua hata Toyo pikipiki moja kwa shughuli za jimbo.... wamebaki kugombania misaada ya serikali... kwa taarifa yako kwa kipindi choote ccm ikiwaimeshika hili jimbo hapakuwahi kuwa hata NA baiskeli phonex ya jimbo leo hatakama vipi tuna trekta tuna uwanja mkubwa WA kujenga hospitali yakisasa.... unataka nini tena zote Ni kwa juhudi za mbunge wetu LEMA tutamvote mpaka kufa
 
Mwaka 2010 wakati wa kampeni, ulitoa ahadi ambazo zilisababisha watu wengi wakupe kura nikiwemo mimi.
cha kushangaza mpaka leo(miaka mitatu baadaye) hakuna hata moja iliyotekelezwa.
  1. Kuhamishia stendi kubwa ya mabasi eneo la ngulelo ili kupunguza msongamano mjini.
  2. kujenga Machinga complex kubwa katikati ya jiji la Arusha.
  3. Kuwapa akinamama na vijana mikopo ya kujiendeleza.
Vp na lile trekta ulilolitoa kwa wananchi liko wapi?

CHADEMA na LEMA acheni kudanganya wananchi, msidhani hatuna akili. Tunawangoja kwenye boksi la kura 2015.
vipi ule ujenzi wa reli mpya toka dar to mwanza unaanza lini ati sababu 2015 bado mwaka tu, vp zime meli kubwa mbili lake victoria, vp ile meli kubwa ziwa nyasa na Tanganyika, vp zile bajaji mia nne za kubebea mama wajawazito?
 
Ndugu yangu Lema ni kisiki cha mpingu. hizo unazoanza kutueleza hapa ni sera za chama kinachokata roho. Siamini kama wewe huyu Lema kama unamfahamu vizuri ni miongoni mwa viongozi jasiri wanaoweza kuwaongoza watu. mimi namfananisha na Musa aliyeongoza wana wa israeli toka misiri kwenda kanani. Sisemi kuwa mwanadamu kakamilika kihivyo lakini at least he is a dare learder in CHADEMA Party. Ahadi na hilo trekta kama kweli huongei majungu ungemwendea uso kwa uso umwulize maana yeye ni mwa watu. nakupa ushauri onana na Lema akueleze jinsi alivyotekeleza ahadi zake
 
Pole #Msukule , hujui hata ulichoandika! badala kuja na hoja umekuja na vioja! hujajibu swali unakuja na porojo za kumsifia Lema. Pole endelea kujitoa fahamu hivyo hivyo, 2015 ni kesho kutwa tu!
 
vipi ule ujenzi wa reli mpya toka dar to mwanza unaanza lini ati sababu 2015 bado mwaka tu, vp zime meli kubwa mbili lake victoria, vp ile meli kubwa ziwa nyasa na Tanganyika, vp zile bajaji mia nne za kubebea mama wajawazito?

Anzisha thread uulizie ahadi za JK, hapa tunapambana na tapeli LEMA!
 
Anzisha thread uulizie ahadi za JK, hapa tunapambana na tapeli LEMA!
inakuja si kitambo naksanya zote tutazitazama moja hadi nyingine. kwa Lema nakusanya ahadi zake zote alafu nitakuja na ninachokijua juu ya ahadi zake zote
 
inakuja si kitambo naksanya zote tutazitazama moja hadi nyingine. kwa Lema nakusanya ahadi zake zote alafu nitakuja na ninachokijua juu ya ahadi zake zote

Keh huyu msalani sijui maliwato asikupotezee muda kajitoa ufahamu kajivika pepo la uccm NA kuwa msukule WA lumumba buku7.

Anaelewa hakuna ama waziri ama raisi ama mbunge WA maccm alieweza hata kuleta jembe la plau pezi ama power tiller kwa watu WA jimbo lake Ila CDM tumeweza kuna magari ya wagonjwa instead f ahadi hewa za bajaji za wagonjwa...
Tuna matrekta... kuna foundations za kuwawezesha wasiojiweza hasa katika elimu .. tuna mambo mengi tuu from our own effort so achana nae aropokee Ila 2014 wanamchi wanajua cha kufanya
 
  • Thanks
Reactions: keh
Akadhani ilijengwa kwa Maandamano na matamko!

ha ha ha jk alihadi meli kubwa kubwa ziwa victoria na tanganyika .kuunganusha shule zote za secondary na huduma ya internet japo hakuna computer sijui internet ya kazi gani??? Ccm wanaokusanya kodi asilimia90 ya ahadi wameshindwa iweje lembe anaeundiwa kesi za kipumbav afanye kazi?
 
Wapi Machinga Complex? wapi Stendi Mpya Ngulelo? wapi Trekta? wapi Mikopo kwa vijana? wapi Mikopo kwa kinamama? wapi Hospitali ya mama na mtoto? wapi gari la wagonjwa? wapi Helkopta ya M4C? haya endelea kutukana Gefu

...mkuuu hapo kuna tusi gani, hiyo ni equation ya jina lako tu,kumbe mmeweka meya wa kichina ili mvuruge mipango yetu...?
 
Keh huyu msalani sijui maliwato asikupotezee muda kajitoa ufahamu kajivika pepo la uccm NA kuwa msukule WA lumumba buku7.

Anaelewa hakuna ama waziri ama raisi ama mbunge WA maccm alieweza hata kuleta jembe la plau pezi ama power tiller kwa watu WA jimbo lake Ila CDM tumeweza kuna magari ya wagonjwa instead f ahadi hewa za bajaji za wagonjwa...
Tuna matrekta... kuna foundations za kuwawezesha wasiojiweza hasa katika elimu .. tuna mambo mengi tuu from our own effort so achana nae aropokee Ila 2014 wanamchi wanajua cha kufanya
narrow thinking na watu kama msalanindo hatuwahitaji kwenye jamii inayohitaji mabadiliko,
 
TREKTA.JPG
Hii Massey Ferguson imeuzwa hivi hivi.
 
Mwaka 2010 wakati wa kampeni, ulitoa ahadi ambazo zilisababisha watu wengi wakupe kura nikiwemo mimi.
cha kushangaza mpaka leo(miaka mitatu baadaye) hakuna hata moja iliyotekelezwa.
  1. Kuhamishia stendi kubwa ya mabasi eneo la ngulelo ili kupunguza msongamano mjini.
  2. kujenga Machinga complex kubwa katikati ya jiji la Arusha.
  3. Kuwapa akinamama na vijana mikopo ya kujiendeleza.
Vp na lile trekta ulilolitoa kwa wananchi liko wapi?

CHADEMA na LEMA acheni kudanganya wananchi, msidhani hatuna akili. Tunawangoja kwenye boksi la kura 2015.
mkuu kumbe ulikuwa CCM!! sasa ni nini kilikukimbiza kwenda CDM au njaa tu!!
 
Back
Top Bottom