Ndio kazi ya upinzani, barabara kujengwa ni jukumu la serikali, ikijenga kwa nini isifiwe. Isipojenga lazima ikumbushwe, huyu Selasini nae sijui kimemkuta nini leo.Safi kada wa cdm kwa kuwa mkweli na kukubali ukweli mana kina slaa wanapinga kila kitu hata penye ukweli
aliyewezesha ni yeye au ni waziri wa ujenzi?....
hongera selasini kwa kutambua mchango wa rais kikwete.....