Nyakageni
JF-Expert Member
- Feb 1, 2011
- 15,045
- 5,092
Haya ndio yanayochangia umaskini..kila saa wabunge wenu wanawaza starehe tu badala ya kuhimiza shughuli za maendeleo
vip Vasco Dagama anayeshinda angani? Anatumia remote controller?
Haya ndio yanayochangia umaskini..kila saa wabunge wenu wanawaza starehe tu badala ya kuhimiza shughuli za maendeleo
( Joseph Mbilinyi
‎...na kwa suala la dr ulimboka kutekwa na kuteswa na serikali...rais kikwete na serikali yake moja kwa moja wanaingia kwenye orodha ya tawala za afrika na dunia zilizotumia UTESAJI au kwa kiingereza TORTURE dhidi ya raia wanaopingana kimtazamo na mwenendo wa serikali zao...na kwa bahati mbaya kwao ni kuwa,watawala wa aina hii hukumu zao ni hapa hapa duniani kama ilivyotokea kwa ghadafi,mubarak,charles taylor na wengine waliohukumiwa kama sio na umma basi na ICC-The Hague...Unlike · · Share)
Elimu muhimu jamani ni ukitaka kujua umuhimu wake mwangalie sugu na Lema.2015 ubunge bila degree sahau sijui wataishi vipi
2015 anarudi mtaani huyo, ubunge ndio asahau kabisa. Bangi na siasa wapi na wapi.
Kama una ushahidi kamanda Heche alitesa mtu tena msomi wa chuo kikuu saidianeni mfungue kesi, mbona Heche yupo anaendeleza harakati za M4C??Vipi yule kijana wa chuo kikuu aliyeteswa na Heche mpaka wakataka kumfanyia kitu kibaya.
Haya ndio yanayochangia umaskini..kila saa wabunge wenu wanawaza starehe tu badala ya kuhimiza shughuli za maendeleo
Umesahau kususia vikao vya bunge na maandamano
Elimu muhimu jamani ni ukitaka kujua umuhimu wake mwangalie sugu na Lema.2015 ubunge bila degree sahau sijui wataishi vipi
arifu huyo kijana zemarcopolo kadata siku hizi kweli kabisa.....nasikiaga ukigombea uwizi ccm ukapigwa chini unakuwa chizi fresh hivi.....msamehe bure.......show ya juzi ya dar live iliyofanywa na sugu na vinega hukuiskia??
Umesahau kususia vikao vya bunge na maandamano
Vipi yule kijana wa chuo kikuu aliyeteswa na Heche mpaka wakataka kumfanyia kitu kibaya.
2015 anarudi mtaani huyo, ubunge ndio asahau kabisa. Bangi na siasa wapi na wapi.
Kuwa CCM tu peke yake ni Certificate ya ujinga sasa unategemea kijana wa Dunia ya leo ambaye wazazi wake hawamo kwenye mfumo wa kifisadi ataishabikia CCM kivipi?
Matola
mbona unataka kuanza kuchafua ukumbi tukianza mashambulizi msikimbile kudai watu wapigwe ban; muulizeni huyo chizi wenu ana athuthibitishie kama serikali inahusika, yeye si yupo kwenye bunge mwambieni aend the Hague akapeleke malalamiko yake fb haiwezi kusaidia chochote; Dr. Ulimboka kapona yupo huru kusema kilichomtokea; sisi tunajua wauji wapo Chadema wala hilo halina ubishi. Na hao ndio waliotumiwa ili kuipaka serikali matope;
Chama
Gongo la mboto DSM
Haya ndio yanayochangia umaskini..kila saa wabunge wenu wanawaza starehe tu badala ya kuhimiza shughuli za maendeleo
( Joseph Mbilinyi
‎...na kwa suala la dr ulimboka kutekwa na kuteswa na serikali...rais kikwete na serikali yake moja kwa moja wanaingia kwenye orodha ya tawala za afrika na dunia zilizotumia UTESAJI au kwa kiingereza TORTURE dhidi ya raia wanaopingana kimtazamo na mwenendo wa serikali zao...na kwa bahati mbaya kwao ni kuwa,watawala wa aina hii hukumu zao ni hapa hapa duniani kama ilivyotokea kwa ghadafi,mubarak,charles taylor na wengine waliohukumiwa kama sio na umma basi na ICC-The Hague...Unlike · · Share)
Huyo Kijana hana jina?? Gamba @ work,serikali hii itapata kichapo hapa hapa duniani + wachumia tumbo wote wa mabwepande!