IQ yako alwaz inachezea ZERO hivi hata sikumoja hujiulizi lini itapanda hata 0.5,bad luck nahisi una hasara hutaweza hata ikontrol familia wewe.Vipi yule kijana wa chuo kikuu aliyeteswa na Heche mpaka wakataka kumfanyia kitu kibaya.
Weweee!! tumewashitukia siku nyingi na huo mpango wenu wa kutufanya wajinga kwa shule zenu za kata ili tuendelee kuwa wajinga ili mtutawale vizuri. ndio maana mnajitokeza vifua mbele kutangaza idadi kubwa ya waliofaulu kumbe hawajui kusoma wala kuandika. pia mnakenua meno kwasababu walimu wamekubali kufundisha kwa kinyongo, kwasababu mnajua hawatafundisha elimu nzuri na kwahiyo mbumbu wataongezeka ili lengo lenu la kuifanya tz ni taifa la wajinga lifikiwe. Kumbuka Mungu anaona uovu wenu na majibu ni hivi karibuni.
IQ yako alwaz inachezea ZERO hivi hata sikumoja hujiulizi lini itapanda hata 0.5,bad luck nahisi una hasara hutaweza hata ikontrol familia wewe.
unawashwa kweli kila mtu unadhani ni chadema tu wewe mimi sio chadema wala sikujui wewe ni mnyama gani ila for the first time nimesoma ulichokiandika nikajua IQ =ZERO full stop .funguka akili uchadema ,uccm toa kichwani waza kibinadamu zaidi wewePro-Chadema mna vituko sana yaani mtu akiwa against Chadema ndio hawazi kuikontrol famailia yake? Vipi Dr Slaa anaikontrol familia yake?
Pro-Chadema mna vituko sana yaani mtu akiwa against Chadema ndio hawezi kuikontrol famailia yake? Vipi Dr Slaa anaikontrol familia yake?
Sasa Issue ya Mtu Kutekwa kuteswa na kudhalilishwa wewe unafurahia!!! Hii si Aibu Kabisa!! Are all people Ok here in JF?
unawashwa kweli kila mtu unadhani ni chadema tu wewe mimi sio chadema wala sikujui wewe ni mnyama gani ila for the first time nimesoma ulichokiandika nikajua IQ =ZERO full stop .funguka akili uchadema ,uccm toa kichwani waza kibinadamu zaidi wewe
Mkuu usijaribu kuniwekea maneno mdomoni ni wapi nimefurahia mtu kutekwa? Usikurupuke kujibu mie nimemjibu Chadema-Kata mwenzako...halafu nyie Pro-Chadema JF wengi wenu mna ufinyu wa kuelewa mtataka kuigeuza issue ya Dr Ulimboka,kama mtaji wa kisiasa.
Vipi yule kijana wa chuo kikuu aliyeteswa na Heche mpaka wakataka kumfanyia kitu kibaya.
i never argue with a fool with IQ=ZERO its the same size to all ccm followers.nothing to discussc with uKweli wewe ni kituko kwa hiyo wewe kazi yako kupima watu IQ zao humu JF...sasa utawezaje kupima IQ wakati wewe mwenyewe IQ yako kama ya Penguin.
Mkuu Ritz,
Unanikumbusha issue ya Dr Walid A Kaburu na Mh Chacha Wangwe, hakuna anaethubutu kuhoji pesa za ruzuku na za wafadhili CDM ni mwiko!
2015 anarudi mtaani huyo, ubunge ndio asahau kabisa. Bangi na siasa wapi na wapi.
Lakini ikumbukwe girba zina mwisho wake, demokrasia ya kweli haiendani na siasa za kuchafuana.Inashangaza pale viongozi wa ngazi ya juu baada ya kusimamia haki wanashiriki katika dhuruma.
Kweli wewe ni kituko kwa hiyo wewe kazi yako kupima watu IQ zao humu JF...sasa utawezaje kupima IQ wakati wewe mwenyewe IQ yako kama ya Penguin.
hiyo blue sijakupata fresh!!