MH Joseph Mbilinyi Message from facebook.....

Elimu muhimu jamani ni ukitaka kujua umuhimu wake mwangalie sugu na Lema.2015 ubunge bila degree sahau sijui wataishi vipi
 
Tupewe sisi raia haki ya kumpiga mawe hadi kufa yule aliyeagiza Dr Ulimboka atekwe.
( Joseph Mbilinyi
‎...na kwa suala la dr ulimboka kutekwa na kuteswa na serikali...rais kikwete na serikali yake moja kwa moja wanaingia kwenye orodha ya tawala za afrika na dunia zilizotumia UTESAJI au kwa kiingereza TORTURE dhidi ya raia wanaopingana kimtazamo na mwenendo wa serikali zao...na kwa bahati mbaya kwao ni kuwa,watawala wa aina hii hukumu zao ni hapa hapa duniani kama ilivyotokea kwa ghadafi,mubarak,charles taylor na wengine waliohukumiwa kama sio na umma basi na ICC-The Hague...Unlike · · Share)
 
Vipi yule kijana wa chuo kikuu aliyeteswa na Heche mpaka wakataka kumfanyia kitu kibaya.
Kama una ushahidi kamanda Heche alitesa mtu tena msomi wa chuo kikuu saidianeni mfungue kesi, mbona Heche yupo anaendeleza harakati za M4C??
 
Umesahau kususia vikao vya bunge na maandamano

UMESAHAU Maposho kibao na bajeti zisizotekelezeka. Rais wa angani, migomo ya maDr na maTicha, Bunge la kila ki2 NDIYOOOOO bila kuhoji mechanisms of implenting the plan nk. UMESAHAU Mabwepande library kuwa mafuvu ya watu yamepungua, Na serikali ya ccm imeingia mkataba na kampuni ya Usambazaji wa mafuvu ya binadamu iitwayo TISS & KOVA LTD ili kuleta tani3 za mafuvu hayo pale Mabwepande Library kabla ya 2015?.
 
Elimu muhimu jamani ni ukitaka kujua umuhimu wake mwangalie sugu na Lema.2015 ubunge bila degree sahau sijui wataishi vipi

Jenga hoja sio porojo!hao watu unaowataja walianza kujipgania na kusimama kabla hata ya ubunge,wewe unadhani tunapata elimu ili iweje?au kwa kua wewe hauna hata elimu ya certificate basi unadhani kila anaefikia level ya degree basi amefanikiwa kimaisha??usiwe mvivu wa eikra na kuanika u**nga wako hadharani,kwa mchango wako huu ni wazi kua wewe mwenyewe hauna elimu,jua ya kua elimu tunaipata ili itukumboe sisi wenyewe na jamihi iliyotuzunguka,hao unaowataja wameweza kujipgania na kuwapgania wengine pia!Sugu ana kampuni ya usafirishaji,wewe je?
 
show ya juzi ya dar live iliyofanywa na sugu na vinega hukuiskia??
arifu huyo kijana zemarcopolo kadata siku hizi kweli kabisa.....nasikiaga ukigombea uwizi ccm ukapigwa chini unakuwa chizi fresh hivi.....msamehe bure.......
 
Umesahau kususia vikao vya bunge na maandamano

Umaskini unaletwa na chama kilichoshika dola,kinachoshindwa kujua jinsi ya kutumia rasilimali za nchi kuwakomboa wananchi wake,kinacho kua supported na watu hasa vijana wenye fikra mgando badala ya chanya,kinacho amini majini na mashetani wanaweza kuwalinda viongozi wao na kuwasaidia kua na fikra za kuleta mabadiliko ya kimaendeleo
 
Wanatuzungushaaaa lakini hili la dr,ulimboka serikali,kikwete,polisi na tiss kwa umoja wao wamelikoroga. Mungu hadhurumiwi na wanadamu kirahisi hivyo.ccm watajuta kuwajua watz
 
2015 anarudi mtaani huyo, ubunge ndio asahau kabisa. Bangi na siasa wapi na wapi.

Hadi kufika hiyo 2015 atakuwa ametenda kazi yake na amewanyoosha barabara! kwanza ang'ang'anie kurudi bungeni kwani ni GAMBA yule!? magamba ndo yana fikra za kufia madarakani!
 
Kuwa CCM tu peke yake ni Certificate ya ujinga sasa unategemea kijana wa Dunia ya leo ambaye wazazi wake hawamo kwenye mfumo wa kifisadi ataishabikia CCM kivipi?

Matola
mbona unataka kuanza kuchafua ukumbi tukianza mashambulizi msikimbile kudai watu wapigwe ban; muulizeni huyo chizi wenu ana athuthibitishie kama serikali inahusika, yeye si yupo kwenye bunge mwambieni aend the Hague akapeleke malalamiko yake fb haiwezi kusaidia chochote; Dr. Ulimboka kapona yupo huru kusema kilichomtokea; sisi tunajua wauji wapo Chadema wala hilo halina ubishi. Na hao ndio waliotumiwa ili kuipaka serikali matope;

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Schlockmeiser!
 
Haya ndio yanayochangia umaskini..kila saa wabunge wenu wanawaza starehe tu badala ya kuhimiza shughuli za maendeleo

mtakoma mwaka huu na hoja zenu nyepesi, dhamira yako inakusuta. aibu kubwa sana kwako mheshimiwa Rejao.
 
( Joseph Mbilinyi
‎...na kwa suala la dr ulimboka kutekwa na kuteswa na serikali...rais kikwete na serikali yake moja kwa moja wanaingia kwenye orodha ya tawala za afrika na dunia zilizotumia UTESAJI au kwa kiingereza TORTURE dhidi ya raia wanaopingana kimtazamo na mwenendo wa serikali zao...na kwa bahati mbaya kwao ni kuwa,watawala wa aina hii hukumu zao ni hapa hapa duniani kama ilivyotokea kwa ghadafi,mubarak,charles taylor na wengine waliohukumiwa kama sio na umma basi na ICC-The Hague...Unlike · · Share)

Hakika umesema kweli Kamanda. Siku zote Utawala dharimu Kama huu mwisho wake ni aibu tu. Their days are numbered; shem on them. Walidhani wameua ona sasa wameumbuka.
 
Huyo Kijana hana jina?? Gamba @ work,serikali hii itapata kichapo hapa hapa duniani + wachumia tumbo wote wa mabwepande!

Vipi tena utaki tena gari kama la Fetty unaona wivu sema mkuu kama unataka mjini hapa watu watakuagizia jipya kuzidi la Fetty.
 
Back
Top Bottom