MH Joseph Mbilinyi Message from facebook.....

Huyo Kijana hana jina?? Gamba @ work,serikali hii itapata kichapo hapa hapa duniani + wachumia tumbo wote wa mabwepande!

Kweli kabisa tukipata jina tufuatilie maana Ulimboka yupo na Serikali inayoshutumiwa ipo lakini kwa upande wa pili kuna Heche na kijana wa chuo kikuu ambae jina halijulikani
 
Sugu ni Rais wa Mbeya anayebisha aende Mbeya leo akaulize,Mbeya inakuwa Dubai kama mchezo vile...kudadadeki!!
 
2015 anarudi mtaani huyo, ubunge ndio asahau kabisa. Bangi na siasa wapi na wapi.

Hata Bob Marley alikuwa mvuta bangi lakini kichwa.Nimemsema huyu kwa vile yeye hakujificha lakini wapo wengi wa namna hiyo hata wewe unawajua
 
Matola
mbona unataka kuanza kuchafua ukumbi tukianza mashambulizi msikimbile kudai watu wapigwe ban; muulizeni huyo chizi wenu ana athuthibitishie kama serikali inahusika, yeye si yupo kwenye bunge mwambieni aend the Hague akapeleke malalamiko yake fb haiwezi kusaidia chochote; Dr. Ulimboka kapona yupo huru kusema kilichomtokea; sisi tunajua wauji wapo Chadema wala hilo halina ubishi. Na hao ndio waliotumiwa ili kuipaka serikali matope;

Chama
Gongo la mboto DSM


...James Hadley Chase did say: BELIEVE THIS AND YOU WILL BELIEVE ANYTHING...!
 
Hata Bob Marley alikuwa mvuta bangi lakini kichwa.Nimemsema huyu kwa vile yeye hakujificha lakini wapo wengi wa namna hiyo hata wewe unawajua



sio bangi tu nadhani wanyakyusa wengi wana matatizo ya akili
 
(Joseph Mbilinyi
‎...na kwa suala la dr ulimboka kutekwa na kuteswa na serikali...rais kikwete na serikali yake moja kwa moja wanaingia kwenye orodha ya tawala za afrika na dunia zilizotumia UTESAJI au kwa kiingereza TORTURE dhidi ya raia wanaopingana kimtazamo na mwenendo wa serikali zao...na kwa bahati mbaya kwao ni kuwa, watawala wa aina hii hukumu zao ni hapa hapa duniani kama ilivyotokea kwa ghadafi, mubarak, charles taylor na wengine waliohukumiwa kama sio na umma basi na ICC-The Hague...Unlike · · Share)



huyu mr 2 ana elimu gani ? isije ikawa tunamdiscus chizi
 
Aiseee baba yangu kile kabao cha wananita sugu nani wananita sugu nani wananita sugu sugu sugu ndio kinagongwa huku rombo na watu wanacheza si mchezo wameziba masikio hawataki kusikia kelele za magamba

napata mbege kiulaini

ningekuwa kwenye PC Ningekugongea LIKE mkuu. Kula mbege na hiyo ki2!
 
Back
Top Bottom