FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 40,814
- 46,936
Naipenda sana nchi yangu ya Tanzania.., lakini kwenyeukweli inabidi tuseme, personally nime-experience na naendelea ku-experienceUrasimu wa hali ya juu katika uwekezaji hapa nchini. Kwanza kabisa processnzima ya upatikanaji wa vibali vya shughuli mbalimbali za uwekezaji zinaminyororo mirefu ya mi-procedure isiyo kuwa na kichwa wala miguu.., utaambiwaandaa EIA report, haya ukimaliza utaambiwa katafute certificate ya mazingirakutoka NEMC.., hii certificate inaweza ikakucost hadi milioni 100 in logistics+rushwa za uwezeshaji, bado kuna danadana utaambiwa certificate bado haijatiwasaini ya waziri sijui nini na hapo utakamuliwa mirushwa mpaka ulie..! (INAUMAMNO!), haya ukitoka hapo upeleke hiyo certificate kwenye wizara husika upewekibali cha mradi wako.., huku ndio BALAAA kabisaaa..! utazungushwa usiaminikinachotokea.., unaweza ukapigwa danadana mara file liko kwa nani.., ukiendahuko unaambiwa sijui limerudi kwa nani.., utajikakamua japo uhonge kumbe ndiounakuwa umejiroga.., wanaona ndio kama mchezo.., wanajua wakikupa kibali chakoulaji unakuwa umeisha.., utaendelea kukamuliwa pesa eti kwa ajili ya uwezeshajiwa file lifike kwa katibu mkuu sijui.., (HAKYAANANI INAUMA MNO..!), ngojanifute machozi.., ukienda kwa katibu mkuu huyo anakuambia kaandike barua..,yaani mwaka unakatika hivi hivi hujaanza kitu na umekopa mihela kwenye mi-Benkiinayotaka riba za ajabu ajabu na misharti migumu. SASA NAJIULIZA kwa staili hii(nime experience personally) ni chizi gani ataenda kumshauri mwenzake ajekuwekeza hapa???!!!!, Serikali yetu inasera nzuri mno ya kuvutia wawekezaji kwamfano inatoa misamaha ya kodi na INCENTIVES mbalimbali kupitia TIC, Tatizo lipokwa hawa watendaji njaa..! Licha ya hapo ukianza tu mradi wako.., jehanamnyingine nayo inaanza (nime-experience), ukileta specialised expertise kutokanje ya nchi kuja kukusaidia basi inakuwa nongwa.., utaona watu sijui wauhamiaji.., hao nao watakuzungusha kukupa work permit mpaka udondoshe chozi auutoe kitu cha uwezeshaji.., yaani shida tupu.., hapo bado balaa la umemekukatika ovyo bila mpangilio.., INSHORT ni MATESO MAKALI NIMEYAPITIA!
Kama na wewe yamekukuta tafadhali tiririka ile waone hilitatizo ni serious na linadidimiza maendeleo ya nchi yetu.., yaani unaweza ukadondosha chozi kama unamoyo laini..,..daaah!
Imeniuma sana baada ya kusoma thread moja humu ikisemaRwanda ndio inaongoza kwa kuvutia wawekezaji ya tatu kwa Afrika.., kanchi hakakana tu-overtake kwa speed ya ajabu.., tunapotential kubwa sana ya kuwa giantndani ya Afrika lakini tunadidimizwa na watendaji wabovu huko mawizarani nakwenye hizi taasisi zake..! Mh.JK pliiz angalia hili kwa makini.