Mh! hebu nijuzeni wenye uzoefu......Nimeulizwa swali.

Mwita Maranya cha ajabu sana Mtambuzi anataka tumuhalalishie kumzibua matoto maskio wakati mama hata nyuzi hajatoa jamani ni ukame ama? hapo haruhusiwi kugusa kwasasa hadi mama mshono upone kabisa ingawa anaweza kukaa hardly miez 2. pia amwache mama apate tena hamuaa jamani kuzaa kunauma sasa kumwingilia kwa wakati huu unakuta bado mama anamawazo sana hata kulifurahia hawez kufurahia.

Nilishasema swali hilo niliulizwa na jirani yangu mie hainihuu.... Mama Ngina anahusikaje na jirani yangu ... Wee nawe gfsonwin...!
 
Last edited by a moderator:
usituchoshe hapa ni wewe na unatumia gia ya rivazi kuuliza kwani hatujui ama watufanya watt? hapa humchakachui huyu mama hadi wiki 8 zipite lol!

Heee ushaongeza tena mpaka wiki nane wakati awali ulisema wiki tatu tu..
weshaku PM ili uwaunge mkono eh, yaani kweli kabisa unanigeuka hivi hivi... Ai weeee....LOL
 
tatu kama ni kawaida halafu kwanini unajiuma uma? mara useme jiran mara useme wewe kweli hujaanza kumlaza mtoto pembeni wewe? nina mashaka sana yawezekana mtoto keshaanza kulazwa pembeni mama katikati ............lol! kisa ooh si amelala huyo nikumbatie na mimi japo nipate kajoto tu, mara oooh mgongoni pananiwwasha nikune kidogo , mara ooh mtoto akilala katikati atasafoketi kumbe zote hizo ni gia ili tu fgari imalize mlima kazi ipo mwaka huu.

btw siku naja kumuona najua pa kumpima na nitakuja na magwiji ya jiji hili cacico, snowhite sweetlady na wengine tunajua vya kumpima ole wako kipimo kiwe chini utaisoma namba ya kegete hahhahhhh

hivi hujui kwamba mboni ya jicho haipati kegete enh!
 
Mwita Maranya cha ajabu sana Mtambuzi anataka tumuhalalishie kumzibua matoto maskio wakati mama hata nyuzi hajatoa jamani ni ukame ama? hapo haruhusiwi kugusa kwasasa hadi mama mshono upone kabisa ingawa anaweza kukaa hardly miez 2. pia amwache mama apate tena hamuaa jamani kuzaa kunauma sasa kumwingilia kwa wakati huu unakuta bado mama anamawazo sana hata kulifurahia hawez kufurahia.

Mimi nadhani hamkumuelewa mtambuzi, hata kama amemtumia jirani yake lakini pia alistahili kupata ushauri wa namna ya kumhandle mama ngina, sasa nyie mmetaharuki ghafla as if ana nia mbaya na mkewe wakati sivyo.

Hivi mnafanya mchezo na ukame hasa kwa mtu aliyezoea kujipimia mwenyewe kitu anacho kila sekunde akilala, akigalauka, akifumbua macho anamuona mama ngina huyu hapa. mweeeh
 
'yaani hapa napata picha tayari mtoto kesha sogezwa pembeni manake ukweli gia za kaa katikati, sijui nikune mgongo zishaanza hapa
 
aisee mwita mwambie kabisa siku tunaenda kwake tukikuta mtoto anaharisha, halafu tukimbeba amelegea miguu haina nguvu, kisha mtt anakalia kiuno badala ya ****** atakoma nakwambia,,,,,,,, yaani atasutwa mchana kweupe.

sheria ya kungwi haendi kumwona mtoto hadi afikishe miez 6 kazi kwake na ndo tunapopima
 
Wadada wabaya ninyi, mmejipangaje hapa duh mtambuzi nami naelekea kushindwa kukulinda. Hizi ni hasira za siku nyingi walikuwa wamezi-accumulate sasa ndio wakati wa kukuonyesha utemi.

usituchoshe hapa ni wewe na unatumia gia ya rivazi kuuliza kwani hatujui ama watufanya watt? hapa humchakachui huyu mama hadi wiki 8 zipite lol!

acha kujitete ahapa ni za uso tu.

haahahaaaaa Mtambuzi leo umepatikana.....

Mwache Mama Ngina miezi mitatu (3)....

Then muanze ado ado.......

Kuku wako papara za nini?

tumeshakushtukia zamani! wewe si ndo ulisema last wiki kuwa umepata mtoto? komaaa mzee jua ndo kwaaaaaaaaaanza limechomoza, mpaka lizame ni lini hiyo?

Uzi uleule,
Hakuna Utamu wala Uroda.
Mpaka miezi 6.

atalijua jiji mwaka hii mzee Mtambuzi....... mambo ya kuzeeshana nani anayataka?

Nashanga.

au tumuwekee kikao cha kumsuta nini? maana anataka kutuharibia mama na mtoto. we unafikiri akiingia hotelini ataacha lishe ya baby kweli? lol!
 
'yaani hapa napata picha tayari mtoto kesha sogezwa pembeni manake ukweli gia za kaa katikati, sijui nikune mgongo zishaanza hapa

hahahaha Mtambuzi jirani kazua balaa. Nani yule aliimba wimbo wa "siiiri imefichuka, mesenja kaleta balaa kwa bosi wake"
 
Last edited by a moderator:
Wadada wabaya ninyi, mmejipangaje hapa duh mtambuzi nami naelekea kushindwa kukulinda. Hizi ni hasira za siku nyingi walikuwa wamezi-accumulate sasa ndio wakati wa kukuonyesha utemi.

hahahahhah..........umeusoma muda alotupa huu uzi jamvini?

ni wazi kwamba aliamka kuomba game akatolewa nje hasira akazipunguzia kwenye key bord na bado mwaka huu................sheria baada ya miez sita ndo naenda kumwona mtoo na nitampima kikungwi ole wake nimkute mtoto anakalia kiuno badala ta ****** ama miguu hina nguvu atanieleza vzr
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom