Mh. Halima Mdee na Mwakyembe kuunguruma kesho Temeke kata ya Keko

Mh. Halima Mdee na Mwakyembe kuunguruma kesho Temeke kata ya Keko

Mdee kiboko, waliokuwa karibu na anna wanasema mama aliachia ushuzi kutokana na makombora ya Halima Mdee...
 
asante sana kamanda , ulinzi uimarishwe maana hayo maeneo magamba yamewafanya vijana waone bangi kama mboga , NIMEFURAHISHWA SANA KWA JUMA KITEMA KUUKWAA UENEZI WA TEMEKE , NI MPIGANAJI WA UKWELI SANA .
 
Mdee kiboko, waliokuwa karibu na anna wanasema mama aliachia ushuzi kutokana na makombora ya Halima Mdee...

umenichekesha sana ! Wadakuzi wanadai ilibaki nusu dk tu yule mama aachie ngazi .
 
..... acha tamaa wewe

Mwache aoneshe hisia zake!

Ni wajibu wa anayetamaniwa kumtolea nje au kumkubali ingawa sipendi mpendaji kuwa side ya uzinzi kama ndoa ruksa. Namba yake iko kwenye blog yake na kwenye facebook.
 
Nimewahi nikijua wamefunga pingu za maisha,
kumbe ni yale yale.
 
Mwakyembe piga kazi, tusahau yule aliyejiita kigogo wa chama m.a.t.a.k.o. Y.o.n.a
 
kesho kesho moto unawaka kata ya keko kamanda halima mdee anakuja kumwaga sumu temeke juu ya ufisadi unaoendelea katika jimbo la temeke wakishilikiana na mwenyekiti wa wilaya ya temeke kamanda mwakyembe kupasua anga ya keko mwanga b (karibu na bar ya gift) kesho saa 8.00 mpaka 12.30 jioni.

by juma kitema katibu mwenezi wilaya ya temeke
0653494185
View attachment 174611
Huyu Halima mbona abatapatapa sasa!
Tena mbona ahamie huko Temeke kwa wanaume family.
Huku Kawe kachokwa ile mbaya na hana jipya.

Halafu huyo Mwakyembe si yule Mwakyembe Feki au?
 
Huyu Halima mbona abatapatapa sasa!
Tena mbona ahamie huko Temeke kwa wanaume family.
Huku Kawe kachokwa ile mbaya na hana jipya.

Halafu huyo Mwakyembe si yule Mwakyembe Feki au?

Ni yule baba wa kambo bila shaka wailize ndugu zako watakujuza

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
aache kumzushia uongo rais wetu watanzania ajae prof. anna tibaijuka. yule ni maji ya kuotea mbali hashikiki anauzoefu wa kimataifa. aache kabisa tutamuandama cc watanzania hadi atachanganyikiwa

Wewe bibi vipi mbona unaandika comment ya aina moja kwa wtu tofauti au ndio unajifunza kutumia huu mtandao pambaf kabisa
 
Back
Top Bottom