Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 142,998
- 288,250
Mkuu kumbe na wewe unapenda jike dume ...
achana na cdm wewe .
Last edited by a moderator:
Mkuu kumbe na wewe unapenda jike dume ...
Yeye ni waziri kivuli wa ardhi; si unajua mambo ya ufisadi wa kupitia sekta hiyo? Huko waziri muhusika atakosa usingizi!Huyu Halima mbona abatapatapa sasa!
Tena mbona ahamie huko Temeke kwa wanaume family.
Huku Kawe kachokwa ile mbaya na hana jipya.
Huyu Halima mbona abatapatapa sasa!
Tena mbona ahamie huko Temeke kwa wanaume family.
Huku Kawe kachokwa ile mbaya na hana jipya.
Halafu huyo Mwakyembe si yule Mwakyembe Feki au?
alikuwa anajibu porojo za mdee. ukiuliza au ongea porojo nawe unajibiwa porojo mwanzo mwisho kiongoza wangu. ila 2015 piga ua rais ni prof. anna kajumulo tibaijuka. hiyo ndo habari ya mjiiiiiiini.... hahahaaa, mkuu umenikumbusha siku ile mdee kamtoa kamasi tibaijuka akawa anapoteza mwelekeo anaweweseka tu had makinda akawa anajaribu kumrudisha kwny line
waziri kivuli sawa ila mwambie aache kusagana na akina mama zetu. kwani haoni ............?Yeye ni waziri kivuli wa ardhi; si unajua mambo ya ufisadi wa kupitia sekta hiyo? Huko waziri muhusika atakosa usingizi!
wewe unasema . au ......mimi sio mbegu hadi nioteeeeUnaota?
viva prof. anna tibaijuka. rais ajaye 2015. ww mahoro mm ni ntakisigayeviva mdee.. viva chadema, viva ukawa
waziri kivuli sawa ila mwambie aache kusagana na akina mama zetu. kwani haoni ............?
basi naomba tustaarabike sote mana tuwamoja na tz ni yetu sotematusi hayatakusaidia chochote mjomba .
viva prof. anna tibaijuka. rais ajaye 2015. ww mahoro mm ni ntakisigaye
im independent and well off . sitegemei vijisent vya mtu mm. nakufa na tai shingoni huku ninanjaa ya mwezi mzima. unaweza ww?malipo kidogo lakini unadhalilika maisha yote !
aache kumzushia uongo rais wetu watanzania ajae prof. anna tibaijuka. yule ni maji ya kuotea mbali hashikiki anauzoefu wa kimataifa. aache kabisa tutamuandama cc watanzania hadi atachanganyikiwa

Mitoto ya zinaa huwaza ngono,ngono,ngono tu
BACK TANGANYIKA
Yale yale ya Tibaijuka! Badala ya kuangalia issues, anaanza kufanya personal attack ili watu wasahau hojawaziri kivuli sawa ila mwambie aache kusagana na akina mama zetu. kwani haoni ............?