Halima Mdee: Hila zilizopangwa uchaguzi 17/2/2018 (Jumamosi) Kinondoni, Siha na kata mbalimbali

kifaulongo

JF-Expert Member
Nov 18, 2011
1,017
1,500
Anaandika HALIMA MDEE

Makamanda wenzangu na watanzania wote wapenda mabadiliko. Naandika andiko hili nikitambua kuna kampeni zinaendelea katika maeneo mbalimbali nchini. Kampeni hizi zimeudhirishia umma kwamba CCM , Magufuli na SERIKALI yake haikubaliki miongoni mwa watanzania walio WENGI. NIMESHIRIKI kampeni za nyumba kwa nyumba na kampeni za JUKWAANI... ninachokisema, ninakijua na ninakimaanisha!

HATA hivyo, kama ambavyo walifanya katika chaguzi za kata 43 , ndivyo hivyo wanatarajia kufanya kwenye CHAGUZI za kesho kutwa! NAANDIKA hapa ili SOTE KWA UMOJA WETU TUSHIRIKI KUZUIA UDHALIMU HUU KWA HALI NA MALI: MAUMIVU YA UDHALIMU HUU wa UTAWALA wa KIDIKTETA USIPOZUIWA hakuna atakayesalimika.

NITATOA MFANO WA KINONDONI ( hivi ndivyo itakavyokuwa kwenye maeneo mengine yenye uchaguzi):

1. Mchezo huu unachezwa na TUME ya TAIFA ya UCHAGUZI kwa kushirikiana na CCM , mchezeshaji mkuu akiwa ni MKURUGENZI wa Manispaa ya KINONDONI. Huyu tayari ameshatoa maelekezo kwa watendaji wa kata (makada na wasio makada) kwamba atakayemtangaza mpinzani mshindi hana kibarua . Hii UTEKELEZAJI wa MAAGIZO ya DIKTETA UCHWARA ambaye anaishi mjini kwa KODI zetu watanzania masikini. Najua hili linajulikana.. wengi walidhani mzee aliongea akiwa na FRUSTRATIONS, na kwamba anapenda sana Wanyonge... KAULI yake inaendelea kutekelezwa. Na anaisimamia

2. Wasimamizi Wasaidizi wa UCHAGUZI ni viongozi wa CHAMA Cha Mapinduzi wa wilaya za ILALA na TEMEKE wenye nafasi Zifuatazao; Makatibu Tawi, Waenezi Tawi, Wenyeviti wa VIJANA, MAKATIBU wa VIJANA, Viongozi wa Hamasa na Watumishi wa MANISPAA ya KINONDONI ambao ni MAKADA wa CCM ( ikumbukwe MKUU wa IDARA ya UCHAGUZI KINONDONI ni kada wa CCM kindaki ndaki). Kama TUME inabisha iweke MAJINA YA WASIMAMIZI WA KILA KITUO WAZI NA UTAMBULISHO WAO WAZI !

3.Karani Mwongozaji ambaye ana jukumu la kupokea wapiga kura na kusoma majina yao kwenye daftari atakuwa mmoja wa wenyeji ambaye jukumu lake litakuwa ni kutoa Siri kwamba Mpiga kura fulani ni CDM/CUF nk . Wakitoa vitambulisho vyao wanaambiwa majina yao hayako kwenye daftari. ( MAWAKALA IMARA WATAZUIA MBINU HII) Na wapiga kura imara wakikomaa kuhakiki kwenye Daftari ,watayakuta.

4.Zimepangwa mbinu mahsusi za kuhakikisha kwamba mawakala wetu wanatoka Au hawaingii vituoni mapema. Moja wapo ni hili la viapo ambalo MKURUGENZI wa Kinondoni ameendelea kuvishikilia viapo. Pili watalazimisha mawakala watoe vitambulisho ( na sio barua ya utambulisho kama takwa la sheria za uchaguzi linavyotaka na wanasema hili wakijua kwamba watanzania wengi hawana vitambulisho) Ni mbinu tu ya kuhakikisha vituoni hakuna mawakala kwa saa kadhaa ili kura ziingizwe kwenye maboksi na Masimamizi wa uchaguzi KADA.

5. Licha ya KWAMBA wasimamizi wa UCHAGUZI hawatoki KINONDONI. Wamejiandikishia ILALA na TEMEKE na hawapo kwenye Daftari la KINONDONI mkakati ni kupiga KURA. KINONDONI kuna vituo 653 , wasimamizi na wasimamizi wasaidizi kwa kila kituo jumla ni 5: 653x5= 3065 . Hizi ni KURA ambazo sio halali lakini KAILIMA NA MKURUGENZI wa KINONDONI wanasimamia utekelezaji wa Wizi Huu!! Mawakala wana Jukumu katika hili .. LAKINI kubwa zaidi sisi watanzania tuna wajibu MKUBWA wa kuzuia hili!!! Tujitokeze kwa wingi kama walinzi nje ya VITUO

6. Polisi wamewekwa standby kwa kazi maalum (Hili sitalisema HAPA nina mahali pa kulisemea)ILA kwa ujumbe huu nataka wajue tunajua kazi waliyotumwa. Haitofautiani sana na waliyoifanya KATA ya Mbweni na kata nyingine nchi nzima.

7. Katika MKAKATI wa kujiwekea uwigo wa ULINZI ili alazimishe kumtangaza MGOMBEA wa CCM. Kituo cha majumuisho kimehamishwa toka BIAFRA kwenda OFISI YA MIURUGENZI KINONDONI . Hii ni option ya mwisho kama itatokea mawakala wetu wamesimama imara na Wameweza kuwa na matokeo, MKURUGENZI katika kutekeleza amri ya BOSI wake MAGUFULI atamtangaza Mgombea wa CCM mshindi kwa nguvu chini ya usimamizi wa JESHI la POLISI kisha atoe majibu kama ya KAILIMA kwamba twende MAHAKANI. Hili nalo linahitaji kuzuiwa na WATANZANIA WOTE na sio kumuachia mgombea na wakala wa majumuisho. Huu udikteta unaopandikizwa KINONDONI, SIHA. KATA 43 , ndio utaenda hitimishwa kwenye uchaguzi wa 2019 na 2020 utatuathiri wote!!!! Uwe na CHAMA au LA... Tukiruhusu GENGE la wahuni liamue mustakabali wa MAISHA yetu, hakuna atakayepona

Niwatakie wana Kinondoni / Siha na kata mbalimbali uchaguzi mwema. Nina imani licha ya HILA ZA SHETANI. Tukisimama kwa UMOJA WETU, pasi kuogopa vitisho vya VYOMBO vya DOLA na KUWA IMARA kama askari wa miguu ndani na NJE ya VITUO!! Tutaushinda uovu huu !!LAKINI tukikaa pembeni na kufikiri kwamba suala hili la uchaguzi sio LETU ni la wanasiasa MKONO wa CHUMA utaendelea kumgusa kila mmoja wetu....kama ambavyo wengi hawakutuelewa tuliposema TUUJENGE UKUTA Kuuzuia UDIKTETA ... sasa wengine wameanza elewa.. TUSHIKAMANE TUOKOE TANZANIA YETU NA KUTUMA UJUMBE kupitia sanduku la KURA!! Tupige KURA, TULINDE KURA!! Mungu ibariki TANZANIA !
 
YEHODAYA

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
26,065
2,000

Mumemaliza porojo zenu na uzushi wenu?Tukutane sanduku la kura mjue CCM chama dume waaandaeni wafuasi wenu kuwa wawe na dawa za presha karibu matokeo yakiitangazwa
 
King Kong III

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
34,925
2,000
SisiEMU wanatumia Nguvu ya Polisi na Dola Kubakia madarakani lakini hakuna anayewataka,ukimuona mtu yupo sisiemu basi jua kuna kitu anafaidika nacho.
 
goggles

JF-Expert Member
Apr 1, 2017
2,424

Mmejiandaa kushindwa. Safi sana
 
Wakusini

JF-Expert Member
May 28, 2011
806
1,000
SisiEMU wanatumia Nguvu ya Polisi na Dola Kubakia madarakani lakini hakuna anayewataka,ukimuona mtu yupo sisiemu basi jua kuna kitu anafaidika nacho.
Ukimuona mtu yupo upinzani jua anapenda sifa za kijinga na ni mtu mkorofi na asiyependa kukubaliana na ukweli,afe beki afe kipa ushindi must be!
 
King Kong III

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
34,925
2,000
Ukimuona mtu yupo upinzani jua anapenda sifa za kijinga na ni mtu mkorofi na asiyependa kukubaliana na ukweli,afe beki afe kipa ushindi must be!
Ni Twaweza walisema wanayipenda ccm ni watu wasio na elimu,masikini ambao ni wachumia tumbo.
 
IROKOS

JF-Expert Member
Aug 13, 2011
9,034
2,000
Mumemaliza porojo zenu na uzushi wenu?Tukutane sanduku la kura mjue CCM chama dume waaandaeni wafuasi wenu kuwa wawe na dawa za presha karibu matokeo yakiitangazwa
....Ni kweli chama dume maana more than 50 yrs ya kung'ang'ania madaraka bado watanzania wengi ni mafukara wa kutupwa, nchi bado ni omba omba na sasa mmeanza kupoteza watu na kuwatupa baharini....kweli chama dume...
 
stroke

JF-Expert Member
Feb 17, 2012
22,357
2,000
Chadema wananisikitisha sana;

Napata mashaka kama kweli ni watu makini na wanania ya dhati ya kulisimamia Taifa hili.

Kwa akili ya kawaida tu sidhani kama ni sahihi kumchagua mtu kuwa wakala wakati hana nyaraka yoyote ya kutambulisha uraia wake.

Huko ni kutetea uvunjifu wa sheria, Chadema kama chama kinachojitanabaisha kama mbadala wa CCM hakipaswi kulea maovu.
 
mwengeso

JF-Expert Member
Nov 27, 2014
7,838
2,000
Anaandika HALIMA MDEE

Makamanda wenzangu na watanzania wote wapenda mabadiliko. Naandika andiko hili nikitambua kuna kampeni zinaendelea katika maeneo mbalimbali nchini. Kampeni hizi zimeudhirishia umma kwamba CCM , Magufuli na SERIKALI yake haikubaliki miongoni mwa watanzania walio WENGI.
...
Aliyoyaandika, kama yaje Halima, JF siyo jukwaa sahihi la kupigia Kampeni. Yote aliyoyasema, jukwaa sahihi ni la hadhara na mengine yafikishwe kwenye vyombo husika vya kulinda haki na usalama wa kila raia.

Mh Mdee, kama mbunge, anavijua hivyo vyombo, na sheria husika. Uropojaji hovyo, siyo tu anajivunjia heshima, anaaibisha CHADEMA, chama chenye jina la kuheshimu misingi ya demokrasia.

Mh Mdee, kama walivyo viongozi wote wa CHADEMA, haeleweki anasimamia na kutetea nini? Agenda ya ufisadi imetupwa. Kudai Katiba kumewekwa kando. Kusimamia na kuishi kidemokrasia, kwao ni wimbo.

AIBU TUPU KWA CHAMA KIKUU CHA UPINZANI
 
Muyobhyo

JF-Expert Member
Oct 9, 2014
8,161
2,000
Mumemaliza porojo zenu na uzushi wenu?Tukutane sanduku la kura mjue CCM chama dume waaandaeni wafuasi wenu kuwa wawe na dawa za presha karibu matokeo yakiitangazwa
hahahaha, ngoja nikucheke mkuu, chama dume, mnaataamia vibali na viapo, kama nyie chama dume ekeni polisi pembeni, fateni sheria sasa hapo tutajua chama kipi dume, subiri watu waingie mahakamani mpaka 2020 hakuna litakalofanyika hapo kinondoni, mtulia atakula kodi na hakuna atakalofanya, kwani mpaka 2020 ndio hukumu itapatikana, kwa udhalimu mnaofanya, hata mtoto mdogo anajua,
 
Muyobhyo

JF-Expert Member
Oct 9, 2014
8,161
2,000
nakumbuka bunge la mwisho waziri mkuu alisema jamani nendeni mahakamani, nadhani Majaliwa alimaanisha kitu fulani kwani na yeye alikiona lakini ndio hana mdomo ndio kawaambia indirect, jamani msilalamike pembeni nendeni mahakamani,
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom