Mh. Halima Mdee na Mwakyembe kuunguruma kesho Temeke kata ya Keko

Mh. Halima Mdee na Mwakyembe kuunguruma kesho Temeke kata ya Keko

Yeye ni waziri kivuli wa ardhi; si unajua mambo ya ufisadi wa kupitia sekta hiyo? Huko waziri muhusika atakosa usingizi!
Kesha kazi huyo Halima, hana mvuto wowote kwa walio mchagua, pengine achague jimbo lingine 2015
 
kesho kesho moto unawaka kata ya keko kamanda halima mdee anakuja kumwaga sumu temeke juu ya ufisadi unaoendelea katika jimbo la temeke wakishilikiana na mwenyekiti wa wilaya ya temeke kamanda mwakyembe kupasua anga ya keko mwanga b (karibu na bar ya gift) kesho saa 8.00 mpaka 12.30 jioni.

by juma kitema katibu mwenezi wilaya ya temeke
0653494185
View attachment 174612


Nimeipenda midomo yake!!!
 
Taarifa za watu mbalimbali zinaonyesha kwamba mkutano huu utakuwa na kishindo kikubwa sana .
 
Back
Top Bottom