Mh Habib Mchange unahujumiwa Kibaha mjini?

Mh Habib Mchange unahujumiwa Kibaha mjini?

Status
Not open for further replies.
Hakuna kesi. Kama ipo, taja wakili wako ili tumuulize. Acha kuleta uwongo hapa.
 
kwa mchange katoka kaskazin,amuulize yule alimpiga Dc igunga hali ilivyo,hawa ni wabaguz weng wanavamia hawakujua hk ni chama cha ukoo
 
Ni shida tupu pale vijana wanapofikiri kama wazee na kudhihiridha uvivu wa kufikiri kiasi hiki!!!

kwa mchange katoka kaskazin,amuulize yule alimpiga Dc igunga hali ilivyo,hawa ni wabaguz weng wanavamia hawakujua hk ni chama cha ukoo
 
Chama kinachojiandaa kuchukua dola kimetawaliwa na majungu na fitina,sijui km mutafika
 
kaka.
Mimi ni kama wewe tu.
nimeiona hii thread humu na nikatoa maelezo yangu kama nilivyoombwa kufanya hivyo.
ninachofahamu mimi inawezekana kuna watu humu jamvini wana motions zao wanataka kuzifikia kupitia majina ya watu.
mimi sifahamu lolote kama kuna mtu yoyote anataka kugombea kibaha mjini wala sina mamlaka ya kumzuia mtu yoyote agombee sio tu kibaha bali mahala popote pale isipokuwa nina misimamo na mipango yangu ambayo pamoja na watu tunaoaminiana ni kwamba 2015 sio ombi kuwa mbunge wa kibaha mjini bali ni lazima kwa sababu ambazo mimi ninazo na ninaziamini.
sasa kama kuna mtu yoyote anayenihofia kiasi cha kuanza kuja humu mitandaoni na kuwachanganya wadau wala asipate taabu wanakibaha wanajua wanachokifanya na ninamkaribisha sana aje tujenge chama.
wala hatuna haja ya kuzunguka humu ndani na kuuma uma maneno kana kwamba uchaguzi unafanyika kesho ama kana kwamba ni dhambi mtu kutamani kugombea jimbo lolote. cha msingi ni yeye tu mwenyewe tu kujifanyia tathmini kuwa anajionaje kuvamia jimbo lililoandaliwa na wanaume wenzie wakati kuna majimbo kibao yanapita bila kupingwa? ni vitu tu vya kujiuliza na kufanya maamuzi mepesi bila hata kushikiwa fimbo.
kwangu mimi nyekundu ni nyekundu na njano ni njano sijaumbwa kuwa mnafiki na wala sitakuja kuwa mnafiki katika maisha yangu yote.
ninaamini katika kile ninachokisimamia.
wabillah tawfiq
sikutarajia kusoma majibu mepesi, yaliyojaa kejeri na dharau kwa jamii yako na wale tunaoamini kuwa ni viongozi wako ambao kwao ulipaswa kujivunia hata kama wao ni wakristo na wewe ni muislamu, nimesoma majibu ya mwanzo na ya sasa unayoyahitimisha kwa neno la kidini naomba nikiri kuwa kwa haraka tu hutoshi kuwa hata m/kiti wa mtaa. Cdm walikosea sana kukupa chance hiyo ya kugombea 2010; unajua mimi ni mwana ccm na ninaukaribu sana na syl koka uliyepambana naye, niliambiwa kuwa ulichukua change na uliutumia vizuri uislamu wako kujihalalisha machoni pa wana kibaha wenye misimamo yako bahati mbaya hata wao hukuwatendea haki kwa hiyo change uliyoichukua.

Majibu yako ya awali umethibitisha kuwa una dosari na mtimanyongo, kama kijana hukustahili na 100% hufai wewe kama mwanachama wa cdm/cuf/ccm unapaswa uamini ktk mapambano ya kifikra ndani ya taasisi uliyomo, unaposema wewe ni mbunge 100% bila kujali chama unadhihirisha ulivyo chini kimaadili kwa umma na political system, kama huamini ktk vyama hukupaswa kuji engage na vyama, ni heri ungelikuwa kwa kina kibamba....unasema wewe si mnafiki wakati una practise unafiki tena wa hali ya juu!!!! Jiulize sasa, ni nani unamdanganya? Wananchi au wewe mwenyewe?

Nimeamua kukupa za uso kwa macho makavu kwa maandiko yaliyopwaya kama haya, jipime na upime kina cha maji kabla hujaamua kuvuka mto bro. Chadema huyu mtu angelikuwa huku kwetu ccm hata uenyekiti wa uvccm wilaya asingeliupata.......
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom