Zak Malang
JF-Expert Member
- Dec 30, 2008
- 5,404
- 234
MChange ajibu hoja, badala ya kumshambulia Kubenea ambaye hata hajatangaza kuwa anataka kugombea ubunge jimbo la Kibaha. Lakini ninavyofahamu mimi, Mchange anashindwa kushiriki mikutano ya CDM jimboni Kibaha kwa sababu wananchi walimchangia fedha ili kufungua kesi, lakini fedha hizo amekula na kesi hakufungua.
Ndiyo maana viongozi wake wa Kibaha wamegoma kumshirikisha kwenye mikutano yao kwa kuwa wanaogopa kuulizwa na wananchi maswali ambayo hawana majibu nayo. Leo hii, wananchi wa KIbaha wanamtaka Mchange awaeleze kwa nini aliwadanganya kwamba amefungua kesi ya kupinga matokeo ya uchaguzi, wakati hakufungua na fedha alizochangiwa amezila?
Suala la Kubenea kutaka kugombea au kutogombea, silijui. Bali tumezoea kumzulia kijana huyu hoja nyingi za uwongo humu jamvini.
Kwa mfano, mwaka jana kuna watu walikuwa wanasema kuwa Kubenea anakwenda Mafia kugombea ubunge kupitia CCM. Uchaguzi umekwisha, hatukumuoa akifanya hivyo. Wakasema, Kubenea amenunuliwa na Lowassa, juzi amemchana Lowassa watu wote kimya. Sasa wanasema anataka kugombea ubunge Kibaha. Je, kwa nini msimuuliza, badala ya kumzushia?
Kama anataka kugombea kwa nini azuiwe, wakati Mchange mwenyewe amekimbia na fedha za wanaKibaha?