Kaa la Moto
JF-Expert Member
- Apr 24, 2008
- 7,903
- 1,053
Hapa sio madrasa weweHapo kwenye nyekundu, ni 12% ya idadi ya wabunge wote mjengoni.
Hapa sio madrasa weweHapo kwenye nyekundu, ni 12% ya idadi ya wabunge wote mjengoni.
SupermanNapenda kutofautiana nawe Kanali, ninazo highlights chache:
1. Maandalizi ya Uchaguzi wa 2015 yaanze sasa
2. Dr. Slaa alijizolea umaarufu na hata kukubalika na wapiga kura wake kutokana na kazi yake nzuri Bungeni.
3. CHADEMA wanaweza wakafanya uamuzi sasa wa kumtayarisha mgombea anayefuata kwa kuanza kumuuza katika nafasi hiyo ya Kiongozi Mkuu wa upinzani. (Nilisoma mahali Dr.Slaa akisema ama atakuwa Rais wa kipindi kimoja au atagombea mara moja - naweza kusahihishwa
4. Nimewsoma mhali kuwa Zitto Kabwe amesema atagombea nafasi hiyo, kwa hili wawe makini ili makundi yao ya ndani ya chama wasiyapeleke bungeni. Pia sijui taratibu za uchaguzi wake ukoje.
5. CHADEMA imepakwa sana matope ya propanganda ya Udini na Ukabila, wanaweza kuanza kulipambanua kwa kuanza kulionyesha hilo kwa kuchagua mtu asiye Mkristo wala Mchaga.
Ni 22 kwani huyo wa Arumeru hakupita pamoja na dada Regia Mtema.
Kajifunze hesabu ya kupata idadi kamili ya viti bungeni siyo hivyo unavyopiga.CUF ina viti 22 na Chadema in viti 22 bado majimbo sita hawafanya uchaguzi 4 yapo zanzibar na 2 yapo bara wakati cuf wanuhakika ya kupata majimbo mawili katika hayo kwa upande wa zanzibar na ikiwa chadema hawakushinda hayo majimbo kwa upande wa bara basi CUF ndio itayokuwa chama kikuu cha upinzani bungeni
You miss my point, kila mtu ana-peak yake mkuu... bsi turudi nyuma zaidi kwa akina mtei kama ndio hivyo...
Kila mtu ana peak, and thats it, kumbuka hata timu ikipanda daraja huasajili watu wa daraja la kwanza kuhimili mikiki na kuepusha hatari ya kushuka daraja, kama umeona kila chama cha upinzani tanzania ni almost one tem opposition party, we have to break the duck
umeshawahi kuimagine mbowe kiongozi wa upinzani na anna kilango spika??
Mbowe hafai kuwa kiongozi wa wapinzani bungeni, tetea, fanya nini, huo ndio ukweli... tanzania iko kwenye transition kwenda kuzuri na any decision now is worth more than our steps towards multiparty
tafakari kwamba hatutoi nafasi kama zawadi bali wa uwezo
Cuf watakuwa kiongozi wa upinzani kwani hadi sasa wana wabunge 23 na viti maalumu hutegemea uwiano wa idadi ya wabunge na si vinginevyo.