Mh. Deo Filikunjombe salute...

Mh. Deo Filikunjombe salute...

Big up Deo. Huo ndiyo unaoitwa MSIMAMO. Magamba lazima yatang'aka tu na kukuundia Kamati Teule ya Kuchunguza Uzalendo wako kwa Chama Cha Mabepwande.
 
huyu jamaa ana hela yake, ameridhika, hajali sana na ubunge wenu!

Why do you think Zitto asked him? Do you want to tell us the Hon MP Deo does not have his own reasoning? C'mon,be even realistic,have you ever seen Zitto playing part in M4C from when it started?
 
Haya ulitakiwa uanze na mwenyekiti wenu alipomchagua Mbatia kua mbunge wa kuteuliwa ili aongeze nguvu ya upinzani bungeni, ama NCCR ni part of CCM?

Mbatia kapewa ubunge ili njaa isimuue naskia jamaa ilibaki wiki tu ajiunge na kina matonya
 
Chooni ulimuona? Lakini kwenye majukwaa huwa tunashuhudia na macho yetu

Unaogelea nani niliyemuona?

23vcp3s.jpg

Source: https://www.jamiiforums.com/habari-...slaa-apata-ajali-avunjika-mkono-mwanza-2.html
 
Usiwe mshamba kiivyo ndugu. Hata Waziri Membe anaikubali M4C na alitamka kwa kinywa chake akiwa jimboni kwake kuwa CHADEMA itaingia magogoni 2015.

Mh. Membe alifanunua wazi msilete porojo za kisiasa

Chama
Gongo la mboto DSM
 
mh. Membe alifanunua wazi msilete porojo za kisiasa

chama
gongo la mboto dsm

chama, please jenga tabia ya kukubali matokeo. 'the truth is painful' they say, but must be told.
 
siasa ndio hizi na si uadui kikubwa nikusaidiana kimawazo hata kifedha. Deo hongera sana kwa uzalendo wako
 
chama, please jenga tabia ya kukubali matokeo. 'the truth is painful' they say, but must be told.

Arushaone
Chadema mnapenda sana kuwa na habari za uzushi mh. Membe aliweka hadharani nini alichoongea na viongozi wa Chadema alipowakaribisha chakula; mlijaribu kuleta uzushi aliwapinga hadharani na hakuna kiongozi yoyote aliyejitokeza kumpinga; sishangai sana ni kawaida yenu kuzusha unakumbuka mlizusha kuhusu Zitto mlipowekewa clip ya Kigoma mlibaki midomo wazi uzushi ni sehemu ya siasa za Chadema.

Pole Chama dalili za Kufilisika ni Pamoja na Mtu kuanza ku divert Mjadala. Mkuu Chama UMEFULIA Kihoja kama unabisha weka Hapa Clip ya Kigoma na Tex ya Gazeti la Mwananchi pamoja na Kanusho la Nasari tuuone Uzushi wa Vijana wa CDM. Usipofanya hivyo Basi JF Nzima na Itambue juu ya KUFILISIKA Kihoja kwa Chama Gongo la Mboto
 
Albedo
Hakuna haja ya kuleta mjadala ambao watu walishauongelea kama unataka tafuta nakala ya mwananchi utapata maneno kamili na nenda zittokabwe.com utaikuta clip bado sikiliza kwa wakati wako kama hukuridhika fungua thread tutajadili kwa mapana na marefu hapa mada kuu ni Deo "mnafiki" fulikombe.

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Albedo
Hakuna haja ya kuleta mjadala ambao watu walishauongelea kama tafuta nakala ya mwananchi utapata maneno kamili na nenda zittokabwe.com utaikuta bado sikiliza kwa wakati kama hukuridhika fungua thread tutajadili kwa mapana na marefu hapa mada kuu ni Deo mnafiki fulikombe.

Chama
Gongo la mboto DSM

Chama Bana sasa kama hakuna haja ya Kulete Mjadala kwa nini Umefanya Reference. Mkuu Chama Gazeti la Mwananchi Ninalo, Clip ya Kigoma ninayo kwenye PC Yangu, Kanusho la Nasari Ninalo, Na Mjadala kwenye JF Niliufatilia. Nina Wasiwasi Kama uliufatilia Mjadala ama uliishia Kusoma Heading basi Uka Make Conclusion

JITAZAME CHAMA Historia Inaonyesha kwamba Members Nguli wa JF wameendelea Kuheshimiwa JF kwa Kusimama kwenye Ukweli tu sasa naona Credibility yako inapungua sana kwa Kuleta Uzushi wa Makusudi kabisa
 
Najua siyo lengo la thread hii kumjadili chama@gongolamboto, nia hasa ni encourage walioko nyuma ya deo wasiogope. Ikumbukwe kuwa pamoja na ccm kupoteza dira, bado kuna watu wazuri walioko kule. Please welcome all. Wazuri ni wengi tu if you can list
 
Mkuu Albedo,
Hili suala dogo sana gazeti la mwanachi unalo, clip ya alichoongea Nassari unayo, kanusho la Nassari unalo, mimi nisingependa wewe uelewe kile nilichoelewa mimi; Nassari alichoongea kipo wazi hakina ubishi kwa mtu mwenye akili timamu; si suala la kuleta mjadala amini wewe unachoamini na mimi nitaendelea kuamini ninachoamini; kuheshimiwa au kutoheshimiwa hilo haliiniumizi kichwa hata kidogo; mimi nasimamia ninachoamini na hiyo ndiyo misingi ya siasa.

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Hapa napata sana shida kuelewa ili taifa liko je? Maana watu wake wananunulika kirahisi sana kama pipi. Deo kutoa tu hiyo hela ameonekana mtu mwema saaana kwa CDM na wengi wetu mnasema amekomaa kisiasa plz avoid to sale yourself cheaply CDM.
 
Najua siyo lengo la thread hii kumjadili chama@gongolamboto, nia hasa ni encourage walioko nyuma ya deo wasiogope. Ikumbukwe kuwa pamoja na ccm kupoteza dira, bado kuna watu wazuri walioko kule. Please welcome all. Wazuri ni wengi tu if you can list

Hapa hatumjadili Chama wala Arushaone tunajadili siasa ya Tanzania umeongea vizuri sana CCM bado wapo wazuri hilo halina ubishi na hao ndio wanaosimamia misingi ya CCM, si kila mwanaccm ni fisadi, mwizi au mla rushwa, wapo viongozi bora na wazuri wenye maadili kuliko hata hao viongozi wa Chadema. Mada kuu ni Deo mpo nyie mneyemuona ni shujaa kwa mitazamo yenu na nipo mimi kwangu namuona ni mnafiki tu kama yeye ni mtu safi sana na haridhiki na utendaji wa CCM hana sababu hata moja ya kuendelea kuwa mwanaccm ni bora ahame tu kuliko kuwa mnafiki hata ndani ya roho yake anajisuta;

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Mkuu Albedo,
Hili suala dogo sana gazeti la mwanachi unalo, clip ya alichoongea Nassari unayo, kanusho la Nassari unalo, mimi nisingependa wewe uelewe kile nilichoelewa mimi; Nassari alichoongea kipo wazi hakina ubishi kwa mtu mwenye akili timamu; si suala la kuleta mjadala amini wewe unachoamini na mimi nitaendelea kuamini ninachoamini; kuheshimiwa au kutoheshimiwa hilo haliiniumizi kichwa hata kidogo; mimi nasimamia ninachoamini na hiyo ndiyo misingi ya siasa.

Chama
Gongo la mboto DSM

Watu Wazima Wameshaelewa
 
Tunajua unatupenda na hakikika nasi tunakupenda na kukuheshimu. Ahsante kwa mchango wako wa m4c leo hapa serena dar. Tumekukubali mkubwa. Wengine fuateni mkondo. Once again thank you very, very much. Peoples power. Salute.

Amesoma alama za nyakati huyu...amegundua huu upepo hauvumi kuelekea mabwepande tena...its high time he swings with the new flow...
 
Back
Top Bottom