Deo kaota mbawa mmebakia mkianguka kwenye majukwaa kwi! Kwi! Kwi! Kwi!Wachagga kwa kupenda mbecha! lakini kuna Mhaya kawazidi ujanja, nyie changisheni yeye "anakopa"! Kwi kwi kwi teh teh teh!
Mkuu mbona watu wengine tunapata ban hata nikisema futuruin red..if this dude does not get a long term ban,then i will realize double standards are applied to certain jf members..mods do the poetic justice please
aliwaambieni muache utoto mkataka kumpiga......
Deo kaota mbawa mmebakia mkianguka kwenye majukwaa kwi! Kwi! Kwi! Kwi!
Habari ambazo hazijadhibitishwa ni kuwa Mukama na Nape wako kwenye kikao cha dharula kumjadili Deo na jinsi ya kuwazuia wabunge wengine wa Magamba 160 ambao Intelijensia ya CCM imegundua wako tayari kuchangia M4C.
(joke) tehe tehe tehe!
next time Lema akiichangia CCM msilie faul. Deo kawatega mkategeka
Chama,you talk of so many things which are unfounded and unrelated to the matter. For instance;
We are on the verge of cleaning the house
Which house are you cleaning? Of what dirty? You say we who are the we so you are on JF to clean your dirty party? Good to note so, but you woke up too late,if so.
You say all that shit is gone and we are closing all gap between party`s leaders and members..
So you have the shit on you? Lol! Which shit is gone then? Who are the leaders and who those members are? Why were they left aside by the leaders? What have your leaders been leading if not the members?
.. it will be nonsense if we allow stupid members like Deo to slow our progress
You, yourself sound stupid here! Deo has done what he believes is good as to his conscience and belief. Stupid are those who follow whatever is said and decided by theirs parties (I am made to believe and trust you are one of). By the way, who are you to call someone stupid? What cleanses you to make you to deserve outpouring such insults to your fellow countryman? You ought to feel sorry for your rotten tongue before you vomited anything worth being read in the FJ.
and CCM will continue to be stronger without that stupid who is looking for cheap popularity..
Chama, You say your CCM will continue being stronger? Stronger in weaknesses? Stronger in internal confrontations, misunderstandings and fragmentations? Stronger in election Malpractices? Go to Kenya and see where KANU is today!
Mbona anachaingia sana CCM and you dont say a word? I bet you dont know man/woman. Go to his constituency and ask them about Deos contributions to the party and they will educate you.
Deo was nothing before he was elected; did you even know him before?
There is a saying that goes: Nothing is nothing even if something is added to that nothing So it reveals that he was someone before he was elected that is why voters from his constituency elected him to represent them. Do you think they elected nothing? After all hatuhitaji kujua mtu alikuwa nani before. If someone does something good in the society,he must be applauded.
Acha dharau na matusi kaka/dada. Hata kama unatetea chama kama jina lako lilivyo,matusi ya nini?Jaribu kuwa mstaarab.
haa asante kwa kunijuza kumbe ndio maana CDM wanasema zitto ni CCM?kwa hiyo wamebadilishanaKAKUDANGANYA NANI UYO NI ccm wewe.si kila posta ipo dar dada
Chama,you talk of so many things which are unfounded and unrelated to the matter. For instance;
"We are on the verge of cleaning the house"
Which house are you cleaning? Of what dirty? You say ‘we' who are the ‘we' so you are on JF to clean your dirty party? Good to note so, but you woke up too late,if so.
You say "…all that shit is gone and we are closing all gap between party`s leaders and members.."
So you have the shit on you? Lol! Which shit is gone then? Who are the leaders and who those members are? Why were they left aside by the leaders? What have your leaders been leading if not the members?
".. it will be nonsense if we allow stupid members like Deo to slow our progress…"
You, yourself sound stupid here! Deo has done what he believes is good as to his conscience and belief. Stupid are those who follow whatever is said and decided by theirs parties (I am made to believe and trust you are one of). By the way, who are you to call someone stupid? What cleanses you to make you to deserve outpouring such insults to your fellow countryman? You ought to feel sorry for your rotten tongue before you vomited anything worth being read in the FJ.
and "… CCM will continue to be stronger without that stupid who is looking for cheap popularity.."
Chama, You say your CCM will continue being stronger? Stronger in weaknesses? Stronger in internal confrontations, misunderstandings and fragmentations? Stronger in election Malpractices? Go to Kenya and see where KANU is today!
Mbona anachaingia sana CCM and you don't say a word? I bet you don't know man/woman. Go to his constituency and ask them about Deo's contributions to the party and they will educate you.
" Deo was nothing before he was elected; did you even know him before?"
There is a saying that goes: "Nothing is nothing even if something is added to that nothing" So it reveals that he was someone before he was elected that is why voters from his constituency elected him to represent them. Do you think they elected nothing? After all hatuhitaji kujua mtu alikuwa nani before. If someone does something good in the society,he must be applauded.
Acha dharau na matusi kaka/dada. Hata kama unatetea chama kama jina lako lilivyo,matusi ya nini?Jaribu kuwa mstaarab.
shibuda has got love for ccm,..you give up deo,cdm give up shibuda,.unfair exchange though
in red..if this dude does not get a long term ban,then i will realize double standards are applied to certain jf members..mods do the poetic justice please
maneno makali na yakuudhi. Plse try to use softly words
Natamka Rasmi Chama gongo la Mboto amefilisika Kimawazo. Ameshindwa hoja analeta Mitusi
Mkuu Mpandafarasi
Kama members wote, au at least 75 per cent, wangeweza kujiepusha na matusi na uzushi eti tu kwa sababu ya kutofautiana kimawazo, kiitikadi na kimtazamo, basi JF ingekuwa kisima cha habari za uhakika, mawazo huru, na elimu. Lakini mambo ni kinyume kabisa. Siku hizi JF imekuwa sehemu ambayo nasikitika kusema imejaa upotoshaji wa hali ya juu, propaganda za kipuuzi kabisa za vyama, uzushi (kwa lengo la kuwavunjia wengine heshima na uaminifu kwa jamii), religious intolerance, nk.
Nilijiunga JF kwa lengo la kujifunza zaidi, lakini siku hizi ninachokutana nacho kwenye Jukwaa la Siasa ni upotoshaji na kudhalilishana.
Tupendane, tuheshimiane, tuelimishane, turekebishane-bila kutukanana au kudhalilishana.
Once again, hongera kwa kumuelimisha Mkuu Chama juu ya umuhimu wa kuheshimu binadamu wenzie.
Mpandafarasi,
Don`t be stupid I have the rights to express my opinion to cowards like Deo, let me repeat myself in case you didn`t get my point that coward (Deo) was nothing, it was CCM who raise the bar on him so if he thinks he is a superstar in Tanzania politics he can cross over to Chadema, the issue here is not for him to contribute to Chadema as person; remember Chadema was raising funds to unseat CCM; so who the hell in this world will fund opponents so he can be defeated? if chadema was energizing the public for social development that would have been okay but the function was primarily to collect funds to finance their so called M4C and what is the objectives of M4C? I will stands firm to my points, Deo is a Coward the door is open for him to wherever but we are not gonna sit quiet for his nonsense, you sound coward when you said he should applauded for what? Pointing a gun at us? I still believe in CCM; it`s my rights and I have obligations to defend my party from friendly fire; swallow it or spit it I don`t blood care it is what it is!!
Chama
Gongo la mboto DSM
Wewe Unasema Deo Coward kwa sababu ya hisia na tetezi zako kuwa kachangia M4C Ok,you are right then.Sasa Kanini Huwa unawashwa balaa na wenzio wakisema the same kwa KUWADI WENU ZITTO?Tena huyu kafika sehemu mbele ya umaa anaonyesha dhahiri. 2010 kwenye kampeni alisema anaunga mkono DHAIFU wakati anajua Watanzania nchi nzima ikiwemo Kigoma Kaskazini walikuwa wanataka Dr. Slaa? Pili:Arumeru watu wako buzzy,yeye anasema anautaka urais,lengo kuwaondoa watu kwenye track?Upo?Bahati Mbaya Arumeru sio Igunga,au in general ni watu wasio wa-ubwabwa wakakomaa.Hotuba ya Waziri Kivuli Fedha alifanya "blanda" makusudi kuwaondoa watu kwenye mood waonekane wapinzania nao kituko.Sasa ukiona hivyo "Unakubali kuwa kweli Zitto ni kibaraka wenu" aliyenunuliwa kuwa mjumbe wa kamati ya kufuatilia mikataba ya Madini,Zile noise zake zimeishia wapi.Bahati mbaya "Walianza na Mungu watamaliza na Mungu,Sheitwani hata ajigambe kuwa yeye muadilifu" Josephat Kadenge-Kalambo alishasema,wewe ukijidai hutaki posho kama Zitto kumbe unapokea posho nzito zaidi, na ukijidai muadilifu kuwa amir,Mungu ananamna ya kuonyesha uadilifu wa mtu.Deo yuko perfect na kwa taarifa yako kama Huijui Ludewa,nenda Lupingu kule ziwani kisha muulize Tingatinga atakujulisha kule ni watu wa aina gani.Deo leo hii hata akigombea kupitia APPT-Maendeleo anashinda ludewa,so Nyinyiemu msimtishe.