Mh. Deo Filikunjombe salute...

Deo ni mjanja, hiyo ni deffensive mechanism tu asije kupinduliwa na chadema 2015. kama ni mpiganaji wa kweli isifike 2015 ameshahama ccm ili awe huru zaidi.
 
Mimi naona kama vile Deo ameshasoma alama za nyakati, na ameshaona 2015 CCM hawana lao kwa hiyo anajenga mazingira bora katika nchi ya ahadi
 
Swala tunalojadili ni dogo tu na ahame CCM aende popote anapotaka hatuna tatizo kabisa na yeye kuhama tunachokataa ni unafiki !! Kama huelewi tafuta mkalimani; ni lini Zitto alichangia pesa kampeni za CCM najribu kukumbuka sipati jibu

Chama
Gongo la mboto DSM
Gongo la mboto DSM we kichwa sana nakukubali,yani wewe utumii nnya kufikiria.
 
Back
Top Bottom