Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 55,028
- 59,657
Mwenyekiti wangu Rage anayo kwa nini mimi nisiwe nayo
lazima upimwe akili kwanza mama..na uan mali kiasi gani ..aisee bobuu...hii kitu ni muhimu sana.....hivi mchakato wake unaanzaje....?
yaani kama hiki hapa.....
View attachment 56035
lazima upimwe akili kwanza mama..na uan mali kiasi gani ..
Sijawahi kumuona aliyenayo ikamletea faida-wengi ninaowajua waliyopata ni matatizo tupu!!!
Mimi hii kitu siwezi kukubali kuimiliki manake nitakuwa na kesi nyingi za mauaji, kwanza sipendi kudanganywa, na kwa hali ya nchi yetu hii uongo ulivyo mwingi, wengi naweza walisha misumari!!!!!
si ndio maana unapimwa kwanza akili..sishauri mtu awe nayo hata hivyosaint ivunga yaani hii kitu sitaki hata kuiona iskie tu rafiki. hiyo inatoa moto arifu na ukipiga kama huna nguvu unaweza kudondoka nayo kwa sababu ya ile firing force yake lol! staki hata kuiona
hahaa...unapimwa na madaktarikumbe basi ninakidhi vigezo......
na je kama huyo anayenipima ndio hana akili timamu nitajuaje....? inatakiwa tupimane coz kila mtu ana kichaa chake.....
si ndio maana unapimwa kwanza akili..sishauri mtu awe nayo hata hivyo
aisee bobuu...hii kitu ni muhimu sana.....hivi mchakato wake unaanzaje....?
yaani kama hiki hapa.....
View attachment 56035
Mwenyekiti wangu Rage anayo kwa nini mimi nisiwe nayo
![]()
hii kitu tamu kuliko chochote aisee
Duu inaelekea mguu huu umetumika kweli?
Preta kama kweli upo serious nenda kwenye kituo cha polisi watakupa maelekezo yote .umeona eehhh....we Saint Ivuga hebu nieleze mchakato kwanzia mwanzo bana......kupimwa akili najua ni katikati ya mchakato.........
Mwenyekiti wangu Rage anayo kwa nini mimi nisiwe nayo
![]()
aisee bobuu...hii kitu ni muhimu sana.....hivi mchakato wake unaanzaje....?
yaani kama hiki hapa.....
View attachment 56035