mgunduzi wa maziwa

mgunduzi wa maziwa

pera

Senior Member
Joined
Jul 19, 2011
Posts
148
Reaction score
16
aliegundua maziwa ya ng'ombe alikua anafanya nini na ng'ombe mpaka akajua haya ni maziwa na yanafaa kwa ma2mizi ya binadamu
 
hakuna aliyegundua maziwa ya ng'ombe
aliegundua maziwa ya ng'ombe alikua anafanya nini na ng'ombe mpaka akajua haya ni maziwa na yanafaa kwa ma2mizi ya binadamu
 
Kwa mtaji huu tutahoji vingi sana. Mbona kwa mfano farasi haliwi?
 
Hii ni instinct ya mwanadamu kutokana na kunyonya. Hakuna mwalimu wa kunyonya ila naturally it happened.
 
ivyo tu!mi kila mara najiuliza aliyegundua pilau,ilikuwaje akatafuta bizari,vitunguu saum,mdalasini nakadharika akamix kwenye mchele akafanya mambo ya jiko ikatokea kitu PILAU!afu alijuaje ukimwagia na kachumbari ndo inazidi kunoga
 
Kwa mtaji huu tutahoji vingi sana. Mbona kwa mfano farasi haliwi?

Nyama ya Farasi ni tamu sana mkuu. Hebu jaribu kwenda Kazakhstan utaona jamaa wanavyomla farasi. Hutaamini
 
Mambo mengi ni kama alivyosema mkuu hapo juu kuwa ni Instinct. Mimi namfikiria sana mtu aliye gundua computer language hadi kutufikisha hapa tulipo
 
ivyo tu!mi kila mara najiuliza aliyegundua pilau,ilikuwaje akatafuta bizari,vitunguu saum,mdalasini nakadharika akamix kwenye mchele akafanya mambo ya jiko ikatokea kitu PILAU!afu alijuaje ukimwagia na kachumbari ndo inazidi kunoga
&lt;br /&gt;<br />
&lt;br /&gt;<br />
ha ha ha! Hapo mwisho ndo umeua kila kitu.
 
Back
Top Bottom