Mgonjwa wa Ukimwi yupo katika stage ya mwisho naombeni ushauri

Status
Not open for further replies.
kuna wapumbavu humu kazi yao kuwadanganya watu kuwa UKIMWI sio ugongwa bali ni janja janja ya makampuni yanayotengeneza ARVs, mmoja wao ni yule sijui ;de...... ' hawa ndiyo wanafanya mapambano dhini ya UKIMWi yawe magumu, unajua mtu akisha ugua sana anasikiliza kila ushauri hata kama mbaya.......... type za hivi ndiyo waliomdanganya huyu marehem aache kutumia ARV
 
Swali: Naona watu wansema ukianza hizo dawa hutakiwi kuacha.
Sasa JE kwa bahati mbaya ukapima wakasema unao kimakosa na Ukaanza hizo dawa. Je baadae ukijajulikana kuwa walikosea kukwambia positive wakati wewe ni negative But ushazitumia hizo dawa let's say 3 months
JE UNARUHUSIWA KUZIACHA??????
 
ASSTAGHAFIRRULLAH x sana.. amSujudie Mola wake...
Mwenyezi Mungu ni mwema na hubadilisha hali aitakavo.
 
Kwa kuwa umesema yupo stage ya mwisho namshauri ATUBU DHAMBI ZAKE ZOTE, AOMBE MSAMAHA NA KUSAMEHE WOTE WALIOMKOSEA kwa namna moja au nyingine, AWE MCHA MUNGU. Atoe na kuandika wosia kwa familia yake, Ajitahidi kula ARV kwa jinsi inavyoshauriwa pamoja na madawa na virutubisho vingine kutoka kwa wataalamu
 
Swali: Naona watu wansema ukianza hizo dawa hutakiwi kuacha.
Sasa JE kwa bahati mbaya ukapima wakasema unao kimakosa na Ukaanza hizo dawa. Je baadae ukijajulikana kuwa walikosea kukwambia positive wakati wewe ni negative But ushazitumia hizo dawa let's say 3 months
JE UNARUHUSIWA KUZIACHA??????

Mbona iko wazi mkuu?hizi dawa hazifanyi kazi kama mwili wako hauna kitu zilichotakiwa kupambana nacho (HIV) hata ukiziacha hakuna madhara zaidi ya uliingiza sumu mwilini na hii itakuwa ni kesi baina yako wewe na hospital waliyokupa majibu kimakosa

Kirusi anapokuwa mwilini mgonjwa akatumia ARVs huwazubaisha virus wasiweze kushambulia kinga ya mwili na kupunguza kasi ya kuzaliana kwa speed ndiyo maana inashauriwa unapoanza dawa tu usi-miss hata siku moja kutumia maana utawapa uwezo wa kushambulia sasa case kama ya mdau hapa maybe aliacha dawa zaidi ya mwezi wadudu wakaamka kila mmoja akashambulia anavyoweza wakammaliza na huwa kwa muda mfupi.

NB;mimi siyo doctor hapa paragraph ya pili naweza kuwa nipo sahihi au sipo sahihi watanisahihisha wale wanaojua zaidi.
 
Swali: Naona watu wansema ukianza hizo dawa hutakiwi kuacha.
Sasa JE kwa bahati mbaya ukapima wakasema unao kimakosa na Ukaanza hizo dawa. Je baadae ukijajulikana kuwa walikosea kukwambia positive wakati wewe ni negative But ushazitumia hizo dawa let's say 3 months
JE UNARUHUSIWA KUZIACHA??????
ACHAA MARAA MOJAAAAA TENA ACHA LEO..!! unayatesa maini yako na mwili kwa sababu gani.
 
Kuna mgonjwa kama huyo namfahamu alifikia hatua za mwisho lakini akapata tiba sahihi (sindano) , afya ikarudi sasa hivi anadunda mtaani
 
Wadau nianze kwa kuwapa pole za mihangaiko ya kutwa mzima ya leo.

Nina ndugu yangu anaumwa ngoma yupo stage ya mwisho. Amepelkwa hospital nyingi kila hospital unapiga rufaa kwenda hospital nyingine kama vile hataki field pale.

Hali imekuwa mbaya zaidi maana hali, hatembei na ametokwa na vidonda mdomoni na kooni mwili umedhoofu sana. Wajuzi wa mambo tumsaidie ndugu yangu huyu kama kuna Tiba yeyote hata Tiba mbadala.

Note ameshaacha dawa ARV

Karibuni kwa michango yenu.
Mtafute Mzizi mkavu
 
Mi naona hata wazungu bado hawaujua vizuri huu ugonjwa ulivyo na hasa unavyoweza kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mwngne.

kila siku bado tunaambiwa unaambukizwa kwa kushea damu au majimaji lakn kuna watu wanaishi kama mke na mme na wanazaa watoto lakn unakuta mmoja anao mwenzake hana.
 
Akirudia tu hizo dawa akiwa kwenye stage hiyo lazima ata-RIP.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom