PROF NDUMILAKUWILI
JF-Expert Member
- Mar 25, 2016
- 10,522
- 13,110
Pole mkuu.Nawashukuru.
Mgonjwa ameshafariki. Ubarikiwe sana
Pole mkuu.Nawashukuru.
Mgonjwa ameshafariki. Ubarikiwe sana
kweli kabisaDaaah hili gonjwa hili mwenyewe unaweza jitulia zako mwenzio ndani akakuletea.tuombe Mungu tu sote njia yetu ni moja
Pole sana Mkuu dahNawashukuru.
Mgonjwa ameshafariki. Ubarikiwe sana
Msiba upo wapi mkuu, korogwe?Nawashukuru.
Mgonjwa ameshafariki. Ubarikiwe sana
Aisee!!!Nawashukuru.
Mgonjwa ameshafariki. Ubarikiwe sana
Swali: Naona watu wansema ukianza hizo dawa hutakiwi kuacha.
Sasa JE kwa bahati mbaya ukapima wakasema unao kimakosa na Ukaanza hizo dawa. Je baadae ukijajulikana kuwa walikosea kukwambia positive wakati wewe ni negative But ushazitumia hizo dawa let's say 3 months
JE UNARUHUSIWA KUZIACHA??????
ACHAA MARAA MOJAAAAA TENA ACHA LEO..!! unayatesa maini yako na mwili kwa sababu gani.Swali: Naona watu wansema ukianza hizo dawa hutakiwi kuacha.
Sasa JE kwa bahati mbaya ukapima wakasema unao kimakosa na Ukaanza hizo dawa. Je baadae ukijajulikana kuwa walikosea kukwambia positive wakati wewe ni negative But ushazitumia hizo dawa let's say 3 months
JE UNARUHUSIWA KUZIACHA??????
Oppo user mkono juu mtaalam umetisha Sana
Poleni sana mkuu.Nawashukuru.
Mgonjwa ameshafariki. Ubarikiwe sana
Mtafute Mzizi mkavuWadau nianze kwa kuwapa pole za mihangaiko ya kutwa mzima ya leo.
Nina ndugu yangu anaumwa ngoma yupo stage ya mwisho. Amepelkwa hospital nyingi kila hospital unapiga rufaa kwenda hospital nyingine kama vile hataki field pale.
Hali imekuwa mbaya zaidi maana hali, hatembei na ametokwa na vidonda mdomoni na kooni mwili umedhoofu sana. Wajuzi wa mambo tumsaidie ndugu yangu huyu kama kuna Tiba yeyote hata Tiba mbadala.
Note ameshaacha dawa ARV
Karibuni kwa michango yenu.
Mwambie ahakikishe haambukizi wengine.Kuna mgonjwa kama huyo namfahamu alifikia hatua za mwisho lakini akapata tiba sahihi (sindano) , afya ikarudi sasa hivi anadunda mtaani