Mgonjwa kutoa sadaka; Mchungaji yupo sahihi?

Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa! Mtu usipoangalia kwa sasa Wachungaji wengi ni Mbwa mwitu walovaa ngozi ya kondoo,wamevamiwa na roho ya kupenda fedha.
Huwa Mungu hahitaji kitu kutoka kwetu ili atuponye hata kama tungekuwa na dhambi kiasi gani! Mungu ni mwema kwa waovu na hata kwa wasiomshukuru. Hapo Mchungaji angemwombea tu akishapokea ndiyo atoe sadaka.
Mimi nina ndugu yangu alikuwa HIV case aliaminishwa hivyo,alijitoa kwa namna ya kipekee sana mpaka akamjengea mchungaji Kanisa na kuweka viti, finally alifariki.
 
Wajinga hufaaa.
Kuna sadaka ya kuambataniaha na maombi then kuna sadaka ya kuambatanisha kwenye shukrani.

Ila haya mambo ni magumu sana kwetu maana miguu tumeweka kimashaka shaka na ndo maana tunaumia zaidi.
 
Kwa nini tusiende mikono mitupu. Mali zote anamiliki Mungu. Si mwenye shida atakuwa anampa tajiri mali?
Benki zina hela nyingi ila huwezi kwenda kuomba mkopo ukiwa huna akaunti ya benki hiyo, hata kwa Mungu ni lazima uwe na akaunti ili upewe unachoomba.
 
Afanye anachojisikia moyoni mwake, maana sadaka huwa inaongea(kiimani zaidi) ,hata kwenye maombi binafsi unaweza kuambatanisha na sadaka .
Mchungaji yuko sahihi ila muhusika anauchaguzi wa kutoa au kutokutoa
 
Sadaka ya nadhiri ina nguvu sana ikitolewa kwa imani na upendo kwa Mungu. Ilimpa Hanna mtoto.
Sadaka ni kitu chenye nguvu sana! nawashangaa wanaokejeli. Ukitoa sadaka yako ukiwa na imani, matokeo utayapata.. tena niaminivyo mimi, "sadaka ndiyo ibada"
maombi yaliyoambatana na imani+sadaka, matokeo yake ni makubwa sana !
 
Afanye anachojisikia moyoni mwake, maana sadaka huwa inaongea(kiimani zaidi) ,hata kwenye maombi binafsi unaweza kuambatanisha na sadaka .
Mchungaji yuko sahihi ila muhusika anauchaguzi wa kutoa au kutokutoa
Wachungaji wanapohubiri kuhusu sadaka, wanaonekana wapigaji lakini ukweli ni kwamba kufanya ibada yoyote bila sadaka unapoteza muda.. Siyo kanisani tu hata ibada za mashetani sadaka ni lazima wala sio ombi
 
Ni kweli
 
Mimi sijazama sana kwenye biblia na neno la Mungu.
Nina jirani yangu hapa mdogo wake anaumwa masuala ya uzazi na vidonda vya tumbo. Ana hali ngumu sana kiafya na safari za Bugando haziishi. Pamoja na madaktari Dada jirani amekuwa na option ya kwenda mchungaji kuombewa na kukabidhi swala lake kwa Mungu amponye.

Watu hawa nawaonea huruma sana kwa sababu hawana bima na matibabu ni ghali.

Sasa mchungaji amewashauri wamtolee sadaka Mungu ili awaponye. Amesema ni sadaka ya nathiri wamtolee sana Bwana na wamuombe awaponye. Mchungaji amewasihi wasisite kumtolea Bwana kama wafanyavyo hospitali.

Hii imekaaje wakuu. Maana hawa ndugu wanapambana kupata fedha ya matibabu halafu tena sadaka?!

Tujadili bila kashfa wala matusi. Ni kwa hoja tu
Pole yake, kwa tiba ya vidonda vya tumbo anitafute 0767 725 728 nipo Geita mjini. Vidonda vikipona na uzazi utafunguka, ili mradi tatizo la uzazi lisiwe limesababishwa na utoaji mimba.
 
Mimi sijazama sana kwenye biblia na neno la Mungu.
Nina jirani yangu hapa mdogo wake anaumwa masuala ya uzazi na vidonda vya tumbo. Ana hali ngumu sana kiafya na safari za Bugando haziishi. Pamoja na madaktari Dada jirani amekuwa na option ya kwenda mchungaji kuombewa na kukabidhi swala lake kwa Mungu amponye.

Watu hawa nawaonea huruma sana kwa sababu hawana bima na matibabu ni ghali.

Sasa mchungaji amewashauri wamtolee sadaka Mungu ili awaponye. Amesema ni sadaka ya nathiri wamtolee sana Bwana na wamuombe awaponye. Mchungaji amewasihi wasisite kumtolea Bwana kama wafanyavyo hospitali.

Hii imekaaje wakuu. Maana hawa ndugu wanapambana kupata fedha ya matibabu halafu tena sadaka?!

Tujadili bila kashfa wala matusi. Ni kwa hoja tu
Sadaka ya nadhiri ni tendo la kiroho na la kiimani, ni kiingilio cha madhabahu ya kitabibu kwenye tatizo husika! Kiwango sio muhimu kama mtu hana hata akitoa 100 kiroho ni kubwa sana kwakuwa sadaka ya kweli haipimwi kwa ukubwa bali kwa imani, uchaji na kujitoa kwa roho na kweli[emoji1545]
 
Yesu alipokuwa anawaombea watu hakudai lolote, imekuwaje mchungaji kudai? Waseme tu ni biashara ya maujanja.
Ila alisema mtenda kazi anastahili posho lake,,, pia alimsifia Yule mjane aletoa kidogo Ila akahebsabika katoa kikubwa kuliko vyote... Yeye pia alitolewa sadaka kwa ajili yetu sisi!!! Wachawi pia hufikia hatia ya kuwatoa waotot wao Kam sadaka ili wapande vyeo,,,, Sadaka Ina Nguvu ikiwa utaipeleka mahalo sahihi
 
Sadaka ni kitu chenye nguvu sana! nawashangaa wanaokejeli. Ukitoa sadaka yako ukiwa na imani, matokeo utayapata.. tena niaminivyo mimi, "sadaka ndiyo ibada"
maombi yaliyoambatana na imani+sadaka, matokeo yake ni makubwa sana !
Hawajuiii watuulize sie wataalamu wa pande zote tutawaambia
 
Back
Top Bottom