Mgonjwa kutoa sadaka; Mchungaji yupo sahihi?

Mgonjwa kutoa sadaka; Mchungaji yupo sahihi?

Mtu anaelalamika kuhusu sadaka bado hana ufahamu na sadaka. Kwa shetani kqwnyewe wanatoa sadaka tena qao sadaka zao si za kitoto. Wanatoa mtu. Mara unaona mtu anamiliki ndegee
Sahihi kabisa, sadaka ni ibada kamili na ina nguvu kubwa mno maana sadaka inanena pia.....
 
Kun mmoja alitoa uz humu akasema mchungaji kila waikutana anakumbushua sadaka 😂😂
Huyo ni mchungaji mzuri Sana maana anamtakia muumini yake mema.......pongezi mno kwake..👏👏👏👏

Ni sawa na mtu anayekukumbusha usisahau kufanya ibada
 
Huyo ni mchungaji mzuri Sana maana anamtakia muumini yake mema.......pongezi mno kwake..👏👏👏👏

Ni sawa na mtu anayekukumbusha usisahau kufanya ibada
🙆🏼‍♂️🙆🏼‍♂️🙆🏼‍♂️
 
Kuna jamaa mmoja kabadili dini anadai baada ya kupona madonda ya tumbo alipoombewa.

Najiuliza tu amejuaje kama amepona?
 
Sadaka kubwa inaonyesha utayari wa kupokea uponyaji pamoja na nguvu ya imani uliyonayo
 
Mimi sijazama sana kwenye biblia na neno la Mungu.
Nina jirani yangu hapa mdogo wake anaumwa masuala ya uzazi na vidonda vya tumbo. Ana hali ngumu sana kiafya na safari za Bugando haziishi. Pamoja na madaktari Dada jirani amekuwa na option ya kwenda mchungaji kuombewa na kukabidhi swala lake kwa Mungu amponye.

Watu hawa nawaonea huruma sana kwa sababu hawana bima na matibabu ni ghali.

Sasa mchungaji amewashauri wamtolee sadaka Mungu ili awaponye. Amesema ni sadaka ya nathiri wamtolee sana Bwana na wamuombe awaponye. Mchungaji amewasihi wasisite kumtolea Bwana kama wafanyavyo hospitali.

Hii imekaaje wakuu. Maana hawa ndugu wanapambana kupata fedha ya matibabu halafu tena sadaka?!

Tujadili bila kashfa wala matusi. Ni kwa hoja tu
hapo ni kuomba mapenzi ya Mungu yatimizwe kwa mgonjwa hakuna kitu wanadamu mtaweza fanya kuokoa maisha ya mgonjwa... Mungu akisharuhusu mgonjwa apumzike atapumzika tu hata mtoe sadaka za dunia nzima.. na akiamua apokee uponyaji hata msipotoa hiyo sadaka mliyoambiwa na mchungaji atapona tu at no time, Mapenzi ya Mungu ni ya ajabu sana ni tofauti sana na sisi wanadamu... Wafilipi 1:21 "Kwangu, kuishi ni Kristo, na kufa ni faida zaidi." Muombeeni toba tu safari yake iwe njema.
 
Huyo ni mchungaji mzuri Sana maana anamtakia muumini yake mema.......pongezi mno kwake..👏👏👏👏

Ni sawa na mtu anayekukumbusha usisahau kufanya ibada
Mchungaji mnafiki hasemi ukweli ila sadaka lazima utoe ili ibada yako ikamilike. Kwamungu kunakanuni kama mtu hutaki kanuni sijui utakuwa unataka nn.
Weng wetu tumeshikwa na shetani ufahamu wetu ili tusifanikiwe.
Mkuu nashukuru kwa mkazo wako kwangu na kwa wote
 
Mkuu swala la imani lazima liambatane na sadaka. Bila sadaka na mambo mengine utachelewa sana.
Nakupatia mfano mdogo tu. Kwa shetani yan mganga ukiwa unaumwa waweza ambiwa mpeleke kuku mqwkundu au mweupe wa dawa. Kwa gharama ya haraka haraka ni tshs 10 000 kuku mmoja. Na kweli ukipeleka shida yako inaisha ila ukisema huna basi shida yako inabaki pale pale.
Swala la sadaka liko hivi, hakuna kitu kikubwa kama funga na sadaka kiimani. Tatizo la watu wengi tunamtolea Mungu kidogo sana ilihali sehemu nyingine tunapeleka kikubwa. Kwa mganga umepeleka kuku kwa Mungu si ndo ungepaswa upeleke mbuzi kabisaaa? Lakini kwa Mungu tunapeleka buku. Kwa mfumo huu tunajikwamisha sana katika maisha yetu. Sadaka inanguvu ya ajabu kama umesimama kiimani na ukatimiza yale yakupasayo.

Funga+maombi+sadaka+shukrani=miujiza mikuu juu ya mwombaji.
Tusimtolee Mungu chenchi na tutoe kwa mioyo yetu na si kwa kushurutishwa na mtu.
Naunga mkono hoja.
 
Kuna jamaa mmoja kabadili dini anadai baada ya kupona madonda ya tumbo alipoombewa.

Najiuliza tu amejuaje kama amepona?
Hili ni swali la kitoto sana, kwani alijuaje kama ana madonda?
 
Hili ni swali la kitoto sana, kwani alijuaje kama ana madonda?
Alijua ana madonda baada ya kupima hospital lakini baada ya maombi alitoa ushuhuda amepona! Unajuaje umepona muda mchache baada ya maombi kabla ya kupima tena? Swali la kitoto 😛
 
Mimi sijazama sana kwenye biblia na neno la Mungu.
Nina jirani yangu hapa mdogo wake anaumwa masuala ya uzazi na vidonda vya tumbo. Ana hali ngumu sana kiafya na safari za Bugando haziishi. Pamoja na madaktari Dada jirani amekuwa na option ya kwenda mchungaji kuombewa na kukabidhi swala lake kwa Mungu amponye.

Watu hawa nawaonea huruma sana kwa sababu hawana bima na matibabu ni ghali.

Sasa mchungaji amewashauri wamtolee sadaka Mungu ili awaponye. Amesema ni sadaka ya nathiri wamtolee sana Bwana na wamuombe awaponye. Mchungaji amewasihi wasisite kumtolea Bwana kama wafanyavyo hospitali.

Hii imekaaje wakuu. Maana hawa ndugu wanapambana kupata fedha ya matibabu halafu tena sadaka?!

Tujadili bila kashfa wala matusi. Ni kwa hoja tu
Waambie waache ujinga...wasali kwa imani zao na wakihudhuria hosp..
 
Ni kama alivyojua ameugua..

Trust the process
Ndo ujue umepona hadi utoe ushuhuda muda mfupi tu baada ya maombi! Ila ulokole ukizidi huwa kuna mambo hatutakiwi kuhoji kabisa!
 
Back
Top Bottom