Mgomo wa Walimu Tanzania: Ripoti toka Maeneo mbalimbali ya nchi

Wanafunzi wa shule za msingi hapa maili moja kibaha wameandamana hadi office za ccm wakiimba wanataka haki yao km chama kilichoko madarakani wakisindikizwa na wamachinga. Baadae waliombwa waenda nyumbani ufumbuzi utajulikana.
 
Nasikia Simanjiro kwa Ole Sendeka, Mirerani walimu wameungana kutokwenda kazini. Wanafunzi shule za msingi wameanza kuondoka kuelekea nyumbani.
 
Hapa maili moja wanafunzi baada ya kuona mashuleni hakuna walimu wakaandamana mpaka office za ccm hapa maili moja wakisindikizwa na wamachinga na nyimbo za kutaka haki yao.
 
Sasa hivi wanafunzi kata ya ilemela mkoa wa mwanza wapo katika maandamano wakiwa na mabango tofauti yenye maandishi "tunataka haki zetu" wakielekea mahakama ya mwanzo wilaya ya ilemela kufungua kesi zidi ya waalimu kwa kukataa kuwafundisha...

Kama kawaida Dsm wamefyata mkia......zzzzzzzzzzzzzz:sleepy:
 
Wapumbav tu hao wote,sasa wanamgomea nan na shule zinafungwa ijumaa!hawana madhara hao,wagome tu sisi tunawakatia mishahara na tutakagua vyet vyao kuanzia o'level mpk chuo,aliyegush tu rumande wataisoma

Angalia mpumbavu isiwe ni wewe!!!!!!!!!!

Na bila shaka ukikaguliwa cheti wewe ulizawadiwa YAI VIZA kutoka baraza la mitihani.


MIZAMBWA
NABII MTARAJIWA!!!
 
WADAU HIVI NINAVYOONGEA SASA ,WALIMU WA KIBAHA WAMEGOMA NA WANAFUNZI KWA KUONESHA KWAMBA WANAWAUNGA MKONO WALIMU WAO BASI NAO WAANDAMANA HADI OFISINI KWA MKURUGENZI WA MJI KUWASAIDIA WALIMU WAO KUDAI HAKI.
NAONA KUNA WATU WA UWT NA POLISI HAPA .


source :mimi mwenyewe
 
Haya sasa usalama wa taifa kazi kwenu maana hizi kazi mnaziweza sana.wapi mukoba
 
Huku chato walimu wameenda kazini kusaini tu na kuondoka makazin,hamna kinachoendelea mashuleni walimu hamna,
walimu tusonge mbele,
 
Wapumbav tu hao wote,sasa wanamgomea nan na shule zinafungwa ijumaa!hawana madhara hao,wagome tu sisi tunawakatia mishahara na tutakagua vyet vyao kuanzia o'level mpk chuo,aliyegush tu rumande wataisoma

Pole naona povu kali,tumieni busara kusolve matatizo sio ubabe
 
Kwa mjibu wa Mbunge wa Mbozi Kamanda Silinde Ofisi ya Halimashauri kwenye mji wa Tunduma Imechomwa moto na magari kupasuriwa vyoo, walioko huko watujuze zaidi
 
Back
Top Bottom