Mgomo wa Walimu Tanzania: Ripoti toka Maeneo mbalimbali ya nchi

Ktk shule za sekondari ni walimu wa field na part time ndo wako mashuleni uhuru sec, ngokolo sec walimu hawakufka kabisa shule zingine walifika then wakaondoka nimekutana na walimu wengi wa sekondari hasa vijana wanazunguka tu mitaani na baiskeli zao
 
Pongezi kwa vyama vya walimu na walimu kwa ujumla maana mmedhubutu. Sisi wanafunzi wasitaafu tunawaunga mkono maana naamini bila nyinyi tusingekuepo hapa tulipo.
 
Kufuatia wakuu wa shule kutakiwa kutogoma,leo saa tisa mchana walimu wakuu wa shule watakabidhi madaraka leo saa tisa na kuingia ktk mgomo.
 
hivi vasco yupo?? au kenda kwa 50cent kucollect negative yake ya picha? nauliza tu jamani!
 
Hebu funguka vema Mkubwa!

Wanafunzi wamefika leo shuleni wakauta walimu hawapo ama?

Au wamefika wakashauriwa na walimu waandamane!
Nmebahatika kuongea na mwanafunzi mmoja akadai walimu wamefika hapo shulen wakawatangazia wanafunzi kuwa hafundishi mpaka hapo watakapotekelezewa madai yao! na ndipo wanafunzi wakaamua kuandamana mpaka kwenye mahakama hiyo ambayo ipo karibu na shule hiyo.....c shule hiyo ambayo wamegoma bali n shule karibia zote za hapa jijin Mza kwan nmeongea na walimu kutoka sule tofauti tofaut na kuthibitisha hilo!
 
Inasemekana walimu walioenda shule wameenda kusaini tu kuonyesha kuwa wapo na hawakushiriki mgomo.
 
Kwa jinsi hali ilivyo, mpaka TBC wanakubali ukweli, sitashangaa kesho nikisikia kuwa viongozi wa Chadema wameitisha mgomo wa walimu. Hawakawii kuzua uzushi nivyowajua. Kama wanaweza kununua chombo cha kutunga sms kuinigilia simu za watu, watashindwaje kumzushia mgomo mtu mwingine. Just loudly thinking
 
Kama hali ndo hyo kama inavyoelezwa katika maeneo mbalimbali kama ilemela, singida, iringa, tunduma na Kwingineko bas ni balaaa na ukizingatia bungen bwana Ndugai ameshapata sababu ka siku zote kuwa issue hiyo ipo kwa mahakama so haliwezi kuongelewa bungeni.
 
Hali tete kwa kweli,nimeongea na rafiki yangu yupo Kigoma vijijin,ameniambia KALINZI,NYARUBANDA,MSINGI NYARUBANDA,RUSHA,KITELEMA
 
Ngoja nipate taarifa na shule za hapa jirani kama nao wamegoma au la,
 
Back
Top Bottom