Mgomo wa wahadhiri UDOM wanukia

Wasomi wenzangu, je hamjui namna ya kufuatilia matatizo yenu kwa njia sahihi? Kwani migomo ndio inayotatua?. Mbona ni suala dogo tu?. Kama mnashida fulani mfano ya kifedha inavyoonekana sehemu kubwa ya mada yenu ya mgomo, ni vema mkatuma wawakilishi kuanzia ngazi ya idara kama mnayo and then faculty na baadae ngazi ya chuo na ikishindikana sehemu husika mfano hazina kama mnavyosema na sio kwa Mh. Pinda au sijui kuilaumu CCM sijui na kulaumu mtu binafsi kama Misilamu au Mkristo fulani au Mzanzibar ???????.

Tuombe radhi ktk swali lako kuwa hatujui kutatua matatizo yetu. Jiulize katika haya;

i) Taasisi za umma zinaongozwa na scheme of service na sheria za utumishi wa umma zinazotolewa na wizara ama serikali moja tu ya Tanzania. Iweje mtu aajiriwe kama Assistant lecturer 2009 na hadi leo hajawahi kupata annual increment? Kibaya zaidi toka 2009 hadi leo ni kama miaka minne hadi leo lakini analingana mshahara na atakaeajiriwa leo 31/10/2012?
ii) Lugha zilizopo katika ofisi zinazoongozwa na hao watu hutaamini kama zinatolewa na mtu ambaye anatakiwa akuwezeshe shida yako imfikie mwajiri yaani serikali. Ulipaswa uwapongeze wahadhiri hawa kwa kuvumilia matusi/lugha chafu tena zenye dharau mno kana kwamba zinatolewa na mtu aliegharamia ujenzi wa chuo chote hiki. wakati nae ni mwajiriwa tu.
iii) Ungeweza kufanya utafiti kwanza ndipo ufikie kusema hatujui namna za kutatua matatizo yetu. Jiulize kama ni sawa pia kuwa mtu awe promoted toka Tutorial assistant hadi assistant lecturer akae miezi 13 (kumi na tatu) pasipokulipwa mshahara huo mpya. Anapokuja kulipwa anapunjwa na inapofika kujaza salary arrears claim form anajaza kwakulazimishwa ajaze mshahara wa mwaka wa fedha uliopita. Na hata hivyo madai haya ya matusi/kejeli/dharau uongozi unayafahamu vizuri sana, lakini ka nini usikemee kama hauya-support?
Ni vikao vingi sana vimefanyika kueleza matatizo ya wahadhiri hawa. Je wajua pia kuwa kuna mhadhiri ana miaka zaidi ya miwili hata promotion hajapata? halafu mwingine anaibuka kudai eti management ya UDOM imefanya mengi, si katai hata la klazimisha watu walipwe kisichostahili ya jasho lao na kusimamia hilo ni kazi kubwa si ndogo hata kidogo.
 
Bwana Eeeeh najua vyuo kama Tumain Unversity, St Augustine Unversity, Arusha University, St. Joseph University, St. Bosco University,Mambo mswano tu, ,,,,, sijasikia mambo ya udini wanafadhili watu wa dini zooooote, ila jamaa fulani wakishika mambo uongozi ni tatizo, sasa sijui tumrudishe Mkapa na Nyerere wakati wa uongozi Kulikuwa hakuna kucheka na mbweha , C ucheka na mbweha utavuna mabua
 
Udom ni chuo kikuu kishiriki cha morogoro islamic university

Hapana wakuu, kwenye mapambano ya kudai haki, kauli kama hizi zinatugawanya..wahadhiri wa UDOM awapiganii UDINI wao, bali wanapigania haki zao. Maana wote wanakula joto ya jiwe, bila kuangalia muislamu wala mkristo.
 
Hapo mzee sina uhakika na maneno yako. Mimi nawajua walimu kadhaa walioajiriwa UDOM, sio wazanzibari wala waislamu, ambao uelewa wao ni finyu sana. Wengine wamesona SUA miaka mitatu, hawajawahi kusimama mbele ya darasa hata kujibu swali! Leo ni walimu. Wameshindwa interview sehemu nyingi za kawaida, wamepata UDOM na ni "LECTURERS". Wenyewe wanaona hata aibu ukikutana nao wanaposema wao wapo UDOM hawataji kazi gani.

Tukubaliane kuwa UDOM kuna standard nyingine ya kuajiri walimu. Sio zile za vyuo vingine TZ.

Lakini, Tanzania tumezoea kutengeneza viwango vyetu na kuviita "vya kimataifa". Soko la Kibaigwa, Uwanja wa ndege wa Mwanza, Songwe, vyote ni vya kimataifa! Hata kufaulu kwenda FOrm I bila kujua kusoma na kuandika ni elimu ya kimataifa.

Tulishaharibu Vyuo vyetu vizuri kwa minajili ya siasa. Vyuo vyote mazingira ya kusoma yamekufa! Hakuna maabara, maktaba bado zinatumia card kutafuta jounal ya mwaka 1985!

Kweli tutafika? Msiwalaumu UDOM, hata huko kwingine nako kumekufa.

Mkuu kama wote tungekuwa tunajadili hoja namna hii ingekuwa safi sana..tatizo wengi wameweka UDINI na hoja zisizo za maana. Wana UDOM wanapigania haki zao na mahali pazuri pa kufanyia kazi, sasa unapoleta UDINI ni kwasababu unataka kuwagawanya, wakati hakuna mgawanyiko kama huo kwa wahadhiri kwasasa.
 
Lazima vyuo vikuu vyote viendelee kuzorota;

1. Walimu wa vyuo vikuu wanapandishwa vyeo bila malipo kwa miaka zaidi ya miwili
2. Wako walimu ambao hata malipo ya kujikimu hawakupewa

3. Ukiimgia katika maktaba vitanu vingi haviendani na wakati

4. Mishahara ktk vyuo vingi hulipwa tarehe 37 ya kila mwezi.

5. Wapo baadhi ya walimu hata ile lugha ya kufundishia hawawezi kabisa. Jamani ni aibu.

6. Fursa za masomo hazipo kabisa. Mara nyingi mwalimu ajitafutie sponsor.
 
wewe tena tumeishakuzoea una allergy na uislam.

wewe huoni udini wenye mrengo wa uislam ulivoshamiri udom. Hebu agalia safu za kiuongozi za udom. Swala sio allerge na uislam. Issue hapa ni reality. Siku zinahesabika za magamba waliopandijikiza udini huu mpaka vyuoni. Udom kweli ni chuo cha kata na cha kidini zaidi.
 
Wasomi wenzangu, je hamjui namna ya kufuatilia matatizo yenu kwa njia sahihi? Kwani migomo ndio inayotatua?. Mbona ni suala dogo tu?. Kama mnashida fulani mfano ya kifedha inavyoonekana sehemu kubwa ya mada yenu ya mgomo, ni vema mkatuma wawakilishi kuanzia ngazi ya idara kama mnayo and then faculty na baadae ngazi ya chuo na ikishindikana sehemu husika mfano hazina kama mnavyosema na sio kwa Mh. Pinda au sijui kuilaumu CCM sijui na kulaumu mtu binafsi kama Misilamu au Mkristo fulani au Mzanzibar ???????.

Mkuu Niambieni yaani sijui kama unaifahamu UDOM vizuri?Yaani pale hadi uwapeleke kikeshi jeshi ndo wanfunguka macho.Nakumbuka mgomo wa mwaka jana hadi Mh Pinda alifika na akasema atashughulikia yale matatizo..kilichofuata ni kwamba tuliachiwa "manyoya'' na hakuna walichokifanya.Ni bora waweke NON STOP MGOMO ili harufu ya uozo uliopo UDOM ufahamike wazi wazi.
 
kiukweli UDOM inatisha hasa kwa uongozi uliojaa mabavu na hii yote huchochewa na udini, kuna wafanyakazi waliopata ajira kwa kutumia mgongo wa dini na undugu, hawa hukera sana kwani hawafanyi kazi ipasavyo zaidi ya kuzungukazunguka tu maofisini, lugha zao chafu kuliko kawaida hebu mtazame secretary wa Prf. Mwamfupe (dean social science) anaitwa MISS. CHEUSI, muda wote yeye ni kutoa lugha chafu badala ya kufanya kazi. Kuhusu mgomo wa walimu sidhani kama utakuwepo kwa sababu huwa ni waoga haooo..........labda!
 
kiukweli UDOM inatisha hasa kwa uongozi uliojaa mabavu na hii yote huchochewa na udini, kuna wafanyakazi waliopata ajira kwa kutumia mgongo wa dini na undugu, hawa hukera sana kwani hawafanyi kazi ipasavyo zaidi ya kuzungukazunguka tu maofisini, lugha zao chafu kuliko kawaida hebu mtazame secretary wa Prf. Mwamfupe (dean social science) anaitwa MISS. CHEUSI, muda wote yeye ni kutoa lugha chafu badala ya kufanya kazi. Kuhusu mgomo wa walimu sidhani kama utakuwepo kwa sababu huwa ni waoga haooo..........labda!
 
Kuwa na Chancellor, VC, DVC ARC, Director HR, Bursar, Internal Auditor, Director Undergraduate Studies, Director Finance na kadha wa kadha Wakristo in maanisha UDSM ina udini?


"Kunya anye kuku akinya bata kaharisha"
 
Samahani mtoa taarifa kuna sehemu umesema Prof Kukula alishastaafu tarehe 15 Desemba 2012 lakini maeongezewa muda, mbona hiyo tarehe haijafika? Au ni slip of the fingers kwenye keyboard sio slip of the tongue ya Mh Waziri wa Elimu asiye na Elimu?
Back to the topic ni lazima tukubali utaratibu wa ajira za UDOM kwa kweli kabisa, unajulikana kwao tu.....sielewei kuna tatizo gani. Nina evidence kabisa ya namna mambo yanavyokwenda hovyo hovyo kwenye suala la ajira UDOM. Sijui yule Mh Mwenyekiti wa POAC analijua hili au ndio yale yale?
 
Uislamu wa udom ni noma kuna majina ya watu wameitwa interview ya estate na nursing nadhani Leo au kesho pitieni majina muone huo Uislamu wa kutosha.majina Karibu yote ni wadada na wakaka wa kiislamu.pitieni majina hayo muone Wadau inatia hasira sana.
 
Hao wanataka mwezi wa ramazani ukifika, staff wote wawe wamefunga, sio wengine muonekane na chapati maofisini na kuwaharibia swaumu zao.

Staff wote watakua recruited from chuo cha kiislam Morooo!
 
Labda kuwe na la ziada lakini so far hao wanaogoma kama kweli kwa sababu hizo za mleta mada basi lazima tuwe na wasiwasi na watoto wetu wanasoma Udom kwamba hawapati elimu sahihi.

.....

Na pia kinacho shangaza kwa hoja ya mtoa mada kwamba miongoni wma mambo yanayolalamikiwa ni kuwa na watumishi waislam wengi ili iwe ni kweli,tunategemea pia watakao goma wawe ni watumishi wakristo na ikitokea vinginevyo hoja hii itakuwa si ya kitaalam.
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Uislamu wa udom ni noma kuna majina ya watu wameitwa interview ya estate na nursing nadhani Leo au kesho pitieni majina muone huo Uislamu wa kutosha.majina Karibu yote ni wadada na wakaka wa kiislamu.pitieni majina hayo muone Wadau inatia hasira sana.
kwa mfano mimi nimeajiriwa kwenye taasisi fulani,wakati wa interview tuliitwa watu 61,waislam tulikuwa 3 (kwa kutumia kigezo cha majina) lakini mwisho wa interview kazi nilipata mimi.kwa hijo si sahihi sana kutumia kigezo cha majina mangapi ya dini flani yanajitokeza kwenye tukio flani la kitaalam kwa sababu kunakuwa na mambo mengi yanayozingatiwa
 
Back
Top Bottom