Andrew Nyerere
JF-Expert Member
- Nov 10, 2008
- 3,007
- 2,468
Muhimu hapa ni kwamba madaktari warudi kazini kwa moyo wa Uzalendo,halafu baadaye Ndugu Rais atoe tamko kuhusu hao Mawaziri,anatak wajiuzulu au vipi.
Hilo litakuwa ni dai jipya ambalo wewe ndio umeliongezea...madai yetu yako clear, na mpaka sasa unayafahamu!
Kiburi, jeuri, ukatili na usaliti kwa wananchi (wakiwemo maDaktari) walianza serikali wenyewe, na ndio maana leo tumefikia hapa...wewe kama Freema ulichonga chochote kuhusu mapungufu hayo ya serikali? au serikali inaweza fanya hayo..ila kwa maDaktari ni nongwa?!
Tangu mwanzo wa mgomo serikali pamoja na wananchi malimbukeni kama wewe mnaongelea kuhusu wajibu wa maDaktari tu kwa wananchi..na kwa serikali....nini wajibu wa mwananchi kwa Daktari wake? nini wajibu wa serikali kwa maDaktari wake? wewe kama mwananchi unadai niwajibike kwako, wewe umetimiza wajibu wako kwangu? serikali imetizimiza wajibu wake kwangu? kama kuua hata serikali ni wauwaji kwa kutotimiza wajibu wao, na wananchi pia ni wauaji kwa kutotimiza wajibu wao..
Pengine wananchi wenyewe wangedai maboresho ya huduma za afya wanazotoa maDaktari ikiwemu vifaa, madawa na mazingira bora ya kazi labda mimi kama Daktari nisingehitaji kugoma! Sasa kila kitu shaghala baghala, na tatizo linaonekana dhahiri wapi lilipo, au nani anazuia mchakato wa maboresho...maDaktari wanagoma kwa benefit ya wote wewe unawabeza na kuwaita majina ya ajabu! Wewe mpata huduma mwenyewe ndio unakuwa wa kwanza kunikatisha tamaa kukupa huduma bora ninazoamini unastahili..sababu tu ya ushabiki wa kipuuzi!
Hawa madaktari wamelewa sifa baada ya kuwaunga mkono kwenye mgomo wao wa kwanza, wamekuwa juu ya haki ya maisha hasa baada ya kuingiza mambo yaliyo nje na matakwa yao kwenye mgomo wao. Wamelewa sifa na wawajibike, they have to be responsible for their actions.
Kuna fani muhimu zaidi ya udaktari i.e bila walimu (kama nao wangeamua kugoma uso kikomo) wengi wao wasingekuwa madaktari hivi leo.
Kama hutaki kurudi meza ya mazungumzo hadi waziri ajiuzulu, ina maana unataka mazungumzo bila waziri (common sense ni kwamba waziri hafanyi maamuzi binafsi, kuna kanuni, taratibu na maelezo mengine ambayo inabidi ayafuate wakati anafanya kazi- na hii inaaply kwa mfanyakazi mwingine yeyote). Kwa hiyo basi, Waziri akijiuzulu, au akaondolewa kwenye nafasi hiyo na Rais, basi lazima hiyo nafasi izibwe na waziri mwingine - ambaye atafanya kazi kwa kanuni, taratibu, sheria na maelekezo yale yale ambayo waziri msiyemtaka amekuwa akifanya kazi kwayo. Kumkataa waziri sio suluhisho la matatizo yeni, na hilo mnalijua fika.
Impliation ya madai ya kuondolewa waziri ili mkae meza ya mazungumzo ni kuwa hamtaki kuongozwa, mnataka mjiongoze ili mhakikishe mnapata vifaa, mazingira, posho, mishahara na stahiki zenu kadri mnavyopenda na mnavyoona inawasuit. Ingekuwa vinginevyo mngerudi meza ya mazungumzo (unless matakwa yenu mnayalazimisha kama vile sekta ya afya ndo muhimu kuliko sekta ya elimu, maji, kilimo nk ambao mnadhani wao hawana matakwa kama mliyonayo).
Wananchi malimbukeni kama mimi tunaona haina haja ya kuwa na madaktari wanaotaka kuua kwa maslahi yao binafsi badala ya kufa wao kwa ajili ya maslahi ya wengi. Mnastahili kuwajibishwa na nadhani mwenye mamlaka anachelewa sana kuwawajibisha.
WAZUNGU WASEMAVYO JUU YA KIKWETE/VIONGOZI WA TANZANIA
Ni baadhi tu ya maoni katika habari iliyochapishwa kwenye gazeti la The Guardian, la Uingereza, yenye kichwa cha habari, "Davos 2012: All the developments from day two of the summit".
RichardBrunwick
26 January 2012 2:33PM
Tanzania's Kikwete is one of the most pathetic African leaders of our times. He is a peacetime leader for a country known to be one of the richest in the world in terms of natural resources, yet he leades the world with begging. Foreign companies have known Tanzania to be a free land in which you can go in and take all you can without being asked a question. I really don't get the mind set of its leaders especially their prsident Mr. Kikwete, a Muzungu worshiper. Having worked with the UNDP in that country for 8 years, I realized how inneficient and corrupt the country's leadership is. His ministers that requested bribes from BAE have never been tried despite the damning evidence against them. British TAX payers must stop funding this man's corruptin and foreign trips. His human rights record is horrible. Mr. Kikwete had no business of going to Davos to ask for foreign aid. Already his country is the world third leading foreign Aid dependant nation. He should be embarassed to say to the world that people are poor. His people living "hand to mouth " is his own is own ignorance and stupidity.That is hiw own problem, Brits are having their own problems he must realize that. We cant bankroll his foreign trips. He should make good use of his country's wealth. Instead of letting his corrupt officials and foreigners loot his country, he needs to think before letting himself be a global loughing stock. I read in one of the regional (kenyan) publication the mockery nature related to his frequent foreign trips. Palestinian, Haiti, Lebanon, Somalia and even Rwanda economies are more robust that of Tanzania. We must question the nations that welcomes this "Joker's" request for AID. He needs to be on a "no-fly" list so he can be serious. Hopefully the billionaires questions what he has done with the Money he has received for decades. The Arab spring should turn into the African summer and get rid of the Kikwete likes(Latest US news, world news, sport and comment from the Guardian | guardiannews.com | The Guardian discussion/comment-permalink/ 14344505)
LindaCroucher
26 January 2012 3:50PM
Response to RichardBrunwick, 26 January 2012 2:33PM
This man did not deserve to be a head of state. He has no credibility. How can a head of state be bribed suits? We must write Downing Street and our parliament, and let them know that Aid to some of these african countries ought to STOP. nyerere the founding president of tanzania was a visionary even though his socialist policies failed, but he was a nationalist and a true patriot.Kenya, Rwanda, Ghana have seen far and are on the roll to economic dependence. Kikwete, and his chrony of rulling elites getting richer and richer. These people have no electricity yet the country has so many dams and rivers. There should be a policy to bar all corrupt leaders and their children from stepping into the EU.I dont blame Kikwete, i blame Tanzaians for letting this happen. They should be 100% responsible for their poverty and suffering. We just dont need them to come for Aid. We have many Brits out of work, and that money should pay for their Unemployment Benefit(Latest US news, world news, sport and comment from the Guardian | guardiannews.com | The Guardian discussion/comment-permalink/ 14346120)
LindaCroucher
26 January 2012 4:01PM
African problem is more than foreign aid. They are not ready for economic transformation. In Tanznaia today, they have started the leadership inheritance in which the old guards passess on the torch to their children. we should not expect anything serious from African nations. If it means our money, lets cut it off. We have so many social problems to deal with people's own created miserybecause they will never have free elections without someone stffing ballot boxes and ready to let the whole country in flames as long as they remain in power and their children in top american and british schools(Latest US news, world news, sport and comment from the Guardian | guardiannews.com | The Guardian discussion/comment-permalink/ 14346365)
Ukitaka kujibu maoni hayo na/au kusoma mengine, bofya hapa ufuate ukurasa husika katika The Guardian
Wewe unaupeo mdogo sana ..hebu jaribu kufanya test za IQ humu ..ujue IQ yako ..it is free..its good to know where ypu stand.
Wapo wanaotaka madaktari warudi kazini na wanatoa hoja nzuri tu zinazojadilika ila ww unaonekana hujui CHOCHOTE I cant even point out umekosea nini hapa maana vyote unavyoandika unakosea you know nothing about leadership-plan-policy-implementetion
Madakatari (hasa wale viongozi wa chama) hawako na busara. Kwani kuwepo kwa waziri na naibu wake kuna leta athari gani katika mazungumzo? Je wanajua huyo waziri kesho anaweza kuteuliwa kuwa waziri mkuu (na bunge likampitisha).
Kama kweli wanataka kusafisha wizara , watoe list ya wafanyakazi wote kwenye wizara na Tanzania kwa ujumla ili wote tuwatoe. Tusifanye kazi kwa vipandevipande.
Msilaumu serikali , jilaumu na nyini wenyewe. Mngeendelea na mazungumzo (under protest) na watu wange sympathise na nyini.
Wont be surprised kusikia kuwa posts vacant by kesho asubhui kwa wale ambao hawajafika kazini leo na reinstatement ikiwa na clauses kibao na masharti ya kazi mapya.
Nitafanyaje IQ test wakati wewe mwenye IQ kubwa (hujataja namba) umeshasema nina IQ ndogo.
Narudia mgomo wenu ni batili, haramu kwa vile mmeweka prirority issue ya kujiuzulu waziri na naibu wake.
Kwa Tanzania unaweza ku mention mgomo ulio wahi kuwa halali kisheria? Kama unapenda kujisome tafuta employment &labor relaship Act 2001 ...angalia mpaka ugome nia hatua ngapi unatakiwa upite hadi kugoma ..kisha jibu Why is not possible to practice lawful strike in TZ.
You are far way to the dark ..unajadili uhalali wa kugoma na wengine wanajadili kifanywe nn mgomo uishe poor freema!!
Kama hutaki kurudi meza ya mazungumzo hadi waziri ajiuzulu, ina maana unataka mazungumzo bila waziri (common sense ni kwamba waziri hafanyi maamuzi binafsi, kuna kanuni, taratibu na maelezo mengine ambayo inabidi ayafuate wakati anafanya kazi- na hii inaaply kwa mfanyakazi mwingine yeyote). Kwa hiyo basi, Waziri akijiuzulu, au akaondolewa kwenye nafasi hiyo na Rais, basi lazima hiyo nafasi izibwe na waziri mwingine - ambaye atafanya kazi kwa kanuni, taratibu, sheria na maelekezo yale yale ambayo waziri msiyemtaka amekuwa akifanya kazi kwayo. Kumkataa waziri sio suluhisho la matatizo yeni, na hilo mnalijua fika.
Impliation ya madai ya kuondolewa waziri ili mkae meza ya mazungumzo ni kuwa hamtaki kuongozwa, mnataka mjiongoze ili mhakikishe mnapata vifaa, mazingira, posho, mishahara na stahiki zenu kadri mnavyopenda na mnavyoona inawasuit. Ingekuwa vinginevyo mngerudi meza ya mazungumzo (unless matakwa yenu mnayalazimisha kama vile sekta ya afya ndo muhimu kuliko sekta ya elimu, maji, kilimo nk ambao mnadhani wao hawana matakwa kama mliyonayo).
Wananchi malimbukeni kama mimi tunaona haina haja ya kuwa na madaktari wanaotaka kuua kwa maslahi yao binafsi badala ya kufa wao kwa ajili ya maslahi ya wengi. Mnastahili kuwajibishwa na nadhani mwenye mamlaka anachelewa sana kuwawajibisha.