Ndg-jaribu kuwa na busara -uhaini ni kudai haki? mbona wanaokula na kuiibia serikali hujawaita wahaini? Acha tufe ili wenye mamlaka wajue sheria za kukandamiza taaluma kwa sababu ya unyeti bila kujali unyeti wake zimepitwa na wakati (walimu na madaktari) Mbona htuweki sheria ya kuzuia wanasiasa na wateule wao kuiibia serikali? badala yake wanahamishana kutoka hapa kwenda pale? Nani hatki watoto wake na yeye mwenyewe aishi maisha ya furaha na stara? Wanasiasa wasomeshe watoto wao Insternational schools amadaktari wasomeshe wa kwao Kayumba scholls? Ili iweje? Waendelee kututawala sisi na watoto wetu. Usikubali kudhulumu wala kudhulumiwa-ndo hivyo Mungu anatufundisha