Mgomo wa madaktari na kiburi cha watawala wetu, nani anaumia?

Ribosome we ki kiazi kama sio kilaza kabisa,hivi angekua baba yako dr then anashinda usiku na kurudi asubuhi hata kununua mkate ni ishu ungefurahi?tumia kichwa kufikiria na sio makario
 
Serikali ya sisiem madudu yake haya unakuta fisadi lina mijengo, mipesa mi cjui katoa wapi na serikali wanavyosema haina ela pia unakutj kampein za sisiem zinatumika mabilion. Je swali zinatoka wapi? Wakati watu muhmu kama madaktari wanaonewa?
 
Tumbo limeanza kuuma sijui kesho pale muhimbili security ndo wanaotibu maana sindano inaweza shindiliwa na nyundo kama haiingii vizuri
 
ANGALIZO
Ubovu wa serikali usitufanye wajinga kiasi kwamba tuanze kuchekelea watu fulani waanze kuweka afya zetu rehani kupata wanacho kitaka kwasbabu tu wanadhani wao ni watu muhimu kuliko wengine.

Kitendo cha kuanza kuingilia mambo ya siasa na kuweka kando kwanza madai yao ya msingi hakina mantiki kwa wagonjwa wetu watakao poteza maisha eti kwasababu tu watu walio na dhamana ya kuwashughulikia wamegoma kwakuwa rais hajamfukuza kazi waziri na naibu wake, what a shame......
UPUMBAVU MWINGINE HAUVUMILIKI JAMANI, TUAMKE
 
Viongozi wanaothamini wananchi wake huwa inajiuzuru mapema bila kushinikizwa lakini ikikataa kujiongeza wanatolewa kwa lazima. Madaktari gomeni kwani Pinda ana dharau sana.
 
Pinda amezidi kuonyesha madhaifu yake... Awali aliwapiga bit madaktari na kusema ataleta wanajeshi ila mwisho wa siku hatukuona wanajesh wala nin zaidi akawa mpole akakubali kuyaongea na madaktari.. Wakakubaliana waliyokubaliana ila kwenye utekelezaji kama kawaida ya serikali yetu imekuwa ngumu... Leo Pinda anachimba bit tena kuwa sheria haiwaruhusu kugoma na wakigoma watatafuta mbadala... Hapa nazidi kuamin kura za serikali iliyopo madarakan sio za halali... Hili tunaloliona Arumeru sasahv ndio njia iliyowapitisha wengi
.... Hela za kampen zipo ila za madaktari hakuna... Hata mtu kuwajibika kwa kujiuzuru ni ishuu.... Nashindwa kuielewa hii serikali yetuuu...

Mkuu,
unakumbuka semina za ngurudoto, hivi tulishawahi ambiwa walikuwa wanajadili na kupanga mikakati gani huko? simple walikuwa wanagawana nchi! kipande alichogawiwa haji mponda pamoja na lusi nkya mnatakaje kukichukua? kwa makubaliano yapi mapya ambayo jk hajawaambia. chunga sana namba inayoitwa jk, halafu wengine wanamtamani el. shauri yenu!
 
Huu mgomo ni wa kisiasa zaidi kuliko kudai masilahi. Nina waomba vijana wetu madktari, achaneni na mambo ya kisiasa kabisa. Taaluma yenu si siasa bali ni kutibu. Msikubali kabisa kutumiwa na wanasiasa.

Una mawazo mgando sana. Hakuna siasa wala mama yake siasa. Kilichopo ni waziri na naibu waziri waachie ngazi full stop
 
ANGALIZO
Ubovu wa serikali usitufanye wajinga kiasi kwamba tuanze kuchekelea watu fulani waanze kuweka afya zetu rehani kupata wanacho kitaka kwasbabu tu wanadhani wao ni watu muhimu kuliko wengine.

Kitendo cha kuanza kuingilia mambo ya siasa na kuweka kando kwanza madai yao ya msingi hakina mantiki kwa wagonjwa wetu watakao poteza maisha eti kwasababu tu watu walio na dhamana ya kuwashughulikia wamegoma kwakuwa rais hajamfukuza kazi waziri na naibu wake, what a shame......
UPUMBAVU MWINGINE HAUVUMILIKI JAMANI,
TUAMKE

Sasa Mkuu Paulss tumuamkie nani???

Sawa unayoyasema ni kweli, ila ngumu sana kukaa upande wa serikali hasa serikali yenyewe hii...
 
ANGALIZO
Ubovu wa serikali usitufanye wajinga kiasi kwamba tuanze kuchekelea watu fulani waanze kuweka afya zetu rehani kupata wanacho kitaka kwasbabu tu wanadhani wao ni watu muhimu kuliko wengine.

Kitendo cha kuanza kuingilia mambo ya siasa na kuweka kando kwanza madai yao ya msingi hakina mantiki kwa wagonjwa wetu watakao poteza maisha eti kwasababu tu watu walio na dhamana ya kuwashughulikia wamegoma kwakuwa rais hajamfukuza kazi waziri na naibu wake, what a shame......
UPUMBAVU MWINGINE HAUVUMILIKI JAMANI, TUAMKE
****, **** **** - safisha masaburi yako kwa colgate ndo uongee mpuuzi mkubwa wewe!!!
 
kada inayogoma siyo wananchi wa kawaida,ni nani wataathirika kutokana na mgomo huo?

Mkuu soma vizuri nilivyomnukuu MMK ka nimemuelewa vizuri kwenye post yake, alichozungumzia yeye ni wagomaji na sio waathirika
 
This is a lose-lose situation: the ruling part and its govt lose, the innocent Tanzanians lose, and unfortunately the doctors lose too! We all lose in one way or another.....sikio la kufa....... God Almighty, utuepushe na hili balaaaaaaaa...
 
****, **** **** - safisha masaburi yako kwa colgate ndo uongee mpuuzi mkubwa wewe!!!

wewe ushasafishaga ya kwako na colgate nini ? Unataka mwenzako afate huo ujinga ? Kuwa mstarabu hata kidogo . Ukizidiwa kwa hoja sepa sio kuanza kutukana .
 
ANGALIZO
Ubovu wa serikali usitufanye wajinga kiasi kwamba tuanze kuchekelea watu fulani waanze kuweka afya zetu rehani kupata wanacho kitaka kwasbabu tu wanadhani wao ni watu muhimu kuliko wengine.

Kitendo cha kuanza kuingilia mambo ya siasa na kuweka kando kwanza madai yao ya msingi hakina mantiki kwa wagonjwa wetu watakao poteza maisha eti kwasababu tu watu walio na dhamana ya kuwashughulikia wamegoma kwakuwa rais hajamfukuza kazi waziri na naibu wake, what a shame......
UPUMBAVU MWINGINE HAUVUMILIKI JAMANI, TUAMKE

Mawazo mgando sana. Kwani watu wawili waziri na naibu wake wakiachia ngazi tatizo liko wapi? Waambie wao ndio waamke na waache upu.** madaktari hawawataki. Kwa ufupi hawatakiwi na majority ktk wizara ile
 
Back
Top Bottom