Mgomo wa daladala Morogoro nini suluhisho lake?

Mgomo wa daladala Morogoro nini suluhisho lake?

fadhili muhala

Senior Member
Joined
Aug 13, 2012
Posts
129
Reaction score
293
Tangu jana, tarehe 20/10/2026, gari zote za abiria Manispaa ya Morogoro zimegomea suala la kuhamishiwa stendi ya Fire. Hii imeleta shida sana kwa wafanyakazi na hasa wanafunzi wanaofanya mitihani yao.

Je, nini suluhisho?
 
Tangu jana taree 20/10/2026
Gari zote za abiria MANISPAA Morogoro zimegomea swala la kuhamishiwa stend ya fire, hii imeleta shida sana kwa wafanyakaz na haswa wanafunzi wanaofanya mitihani yao. Je nini suluhisho?
Suluhisho la kudumu ni kwamba,
ifikie mahali sasa,
wananchi waTanzania wote wapenda maendeleo, ni lazima kukubali mabadiliko bila kuyaogopa na hapo ndipo tunaweza kupiga hatua muafaka za maendeleo ya kweli kiuchumi, kijamii na kisiasa.

Tuache mazoezi useless na migomo nonsense 🐒
 
Back
Top Bottom