Mgomo na maandamano vyanukia UDOM | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mgomo na maandamano vyanukia UDOM

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by NGOWILE, Oct 31, 2011.

 1. N

  NGOWILE JF-Expert Member

  #1
  Oct 31, 2011
  Joined: Sep 8, 2011
  Messages: 454
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Kuna kila dalili ya mgomo kwa wanafunzi wa chuo kikuu cha Dodoma hasa kolege ya education hapo kesho kutokana na kutokupewa fedha zao za kujikimu hadi hivi sasa.Ni takribani wiki mbili hivi sasa tangu chuo kilipofunguliwa lakini hawajapewa fedha zao za kujikimu hadi hivi sasa.

  HATA HIVYO PAMETOKEA KUTOKUELEWANA KATI YA WANAFUNZI WALIOTOKA MAKAZINI NA WANAFUNZI WENGINE KWANI WALIOTOKA MAKAZINI WANAUPINGA VIKALI MGOMO HUO.


  Source mimi mdau udom.
   
 2. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #2
  Oct 31, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  Si mlisema mtagoma leo,imekuaje?
   
 3. m

  miradibubu JF-Expert Member

  #3
  Oct 31, 2011
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 313
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  haya umeweka jina lako lakini uwe tayari wakikufuatilia si unajua mambo ya hapo UDOM yalivyo ya kijinga sana kule tu kutoa hizi taarifa unaweza kufauatiliwa
   
 4. NewDawnTz

  NewDawnTz JF-Expert Member

  #4
  Oct 31, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 1,675
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Kijana hivi hiyo "kolege" ya Education imeanza lini UDOM?

  BTW poleni sana
   
 5. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #5
  Oct 31, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,971
  Likes Received: 2,966
  Trophy Points: 280
  Management ya udom ni wajinga.
   
 6. Hakikwanza

  Hakikwanza JF-Expert Member

  #6
  Oct 31, 2011
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 3,898
  Likes Received: 307
  Trophy Points: 180
  Mi mwenyewe siungi mkono huo mgomo, kwani wanafunzi wa hapa bongo tunatanguliza sana maslahi yetu, lakini maslahi ya taifa mnayapakisogo, tumeshuhudia madudu mengi yanayofanywa na serikali legelege kama vile dowans, rada, ndege, kiwila, meremeta, mikataba feki, wizi wa wanyama na nk, Kwanini msifanye maandamano kupinga haya? Kwani hamjui kuwa haya ndio yamepelekea taifa kuwa maskini na kukosa fedha? HIVYO MUWE MNAFIKIRIA,HABARI ZA WASOMI WAJINGA WA SIO NA REASONING TUMEWACHOKA. Anzeni na mzizi wa matatizo ambao ni ufisadi
   
 7. bmx

  bmx Member

  #7
  Oct 31, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 67
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hao wazee ndo magamba yenyewe hayo,,wanaringa na vimishahara vyao vya diploma vya lakilaki wanajiona wana hela sana,,,hata wakiwa makazini migomo ya ualimu ambayo mkoba kila cku anawatangazia hawashiriki,,,wezi wa kesho wakipata nafasi kwani hawatafikiria wanyonge,,,
   
 8. R

  RMA JF-Expert Member

  #8
  Nov 1, 2011
  Joined: Oct 10, 2010
  Messages: 409
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Safi kabisa! Tesekeni hadi mtakapopata akili na kuacha ushabiki wa Yanga na Simba katika siasa! Mnapiga kura kama vipofu, halafu mnalalama kama kama vichaa!
   
 9. M

  Makamuzi JF-Expert Member

  #9
  Nov 1, 2011
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 1,157
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 133
  Leo ndo umegundua?si huwa unawatetea magamba?
   
 10. Leonard Robert

  Leonard Robert JF-Expert Member

  #10
  Nov 1, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 9,147
  Likes Received: 2,465
  Trophy Points: 280
  na bado..walimchangia fomu jk.
   
 11. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #11
  Nov 1, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,084
  Likes Received: 6,547
  Trophy Points: 280
  muulizeni shemeji yenu mama rizimoja
  kama na yeye hajapewa hiyo pesa ya kujikimu
  tena asikosekane kwenye maandamano
   
 12. Mchaga 25

  Mchaga 25 JF-Expert Member

  #12
  Nov 1, 2011
  Joined: Oct 29, 2011
  Messages: 463
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wewe ndio mpumbavu. Kugoma nini kwani sisi loan board. Nabado
   
 13. Mchaga 25

  Mchaga 25 JF-Expert Member

  #13
  Nov 1, 2011
  Joined: Oct 29, 2011
  Messages: 463
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ni kweli nawataona tamu na chungu ya kihehere chao
   
 14. Nsabhi

  Nsabhi JF-Expert Member

  #14
  Nov 1, 2011
  Joined: Feb 23, 2011
  Messages: 1,096
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Wamwambie RIZ 1 awakopeshe maana ana hela nyingi sana za kifisadi siku hizi.
   
 15. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #15
  Nov 1, 2011
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Kama Serikali imeshindwa kuwalipa watumishi wake ndio watawalipa wanafunzi!
   
 16. NewDawnTz

  NewDawnTz JF-Expert Member

  #16
  Nov 1, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 1,675
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Amaaaaa, kweli dunia ina mambo
   
 17. bushman

  bushman JF-Expert Member

  #17
  Nov 1, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,312
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  kumekuchaaaaa
   
Loading...