Mgomo na Maandamano Dar, Tarehe 5/01/2016

Mgomo na Maandamano Dar, Tarehe 5/01/2016

Namkumbuka mwaka 2004 kama nitakuwa nimesahau kidogo, Nilikuwa Mombasa na Nilikuwa town bus za serikali (matatu) AU Kenya bus nyingi zikiwa mpya na 'mfano' wa hizi UDA ndogo ambazo zilikuwa zikizunguka route zilizopangiwa na kila kituo zilisimama na bahati mbaya hazikuwa na abilia labda mmoja mmoja aliyejilipua.

Baada ya kuuliza mbona hizo gari ni mpya na sioni zikiwa na abilia nikajibiwa na Jamaa yangu aliyekuwa anaishi mwinjaka kuwa kuna mgomo baridi "hizo matatu ziko bei juu sana, so kenyani we can't afford to pay hizo fair" nikamuuliza zaidi ndipo akatoa sababu kama zilizotolewa na Jamaa yangu @gambakakobe

Mwisho wa siku leo wanazopanga bila kinyongo na wanalipa nauli ile isitoshe kwa sasa ipo juu zaidi, ambapo tofauti ni kuwa wao wanaheshimu zaidi sheria kuliko sie watz.

Hapa ulitaka kusema nini ndg
 
Ccm mliichagua wenyewe,mliipenda mnaipenda."hapa kazi tu"
Kama ni kweli wamepanga hizo nauli ni kiasi kikubwa serikali inabidi iangalie ili suala kwa umakini mkubwa nchi zote usafiri wa umma unasimamiwa na serikali siyo kikundi cha wafanyabiashara wachache.
Hili swala la nauli linapitia mchakato halali.
Ni jambo la msingi kwa sasa kuzipinga hizo nauli katika huu mchakato kabla hazijapitishwa rasmi.
Mleta mada kuleta dhana ya mgomo badala ya kutoa mchango na maoni yao (yawe ya kukubali au kukataa) katika wa mchakato sio sahihi.
 
Kwa nini unaiona sh 700 -1400 ni luxury?kwa vigezo vipi hasa?

Kmimi sijawahi kupanda ndege kwa kuwa uwezo wangu ni wa basi....haimaanishi ndege ni anasa!!
Utakuta asilimia zaidi ya 50 wanaoelekea posta hawana shughuli ya maana zaidi ya kwenda kukwapua tu....kama maisha ya bongo yatawashinda acha warudi kimanzichana,kwa msisi na mamseri!!
Kaka tafakari then elewa barabara imejengwa ili kurahishisha maisha kwa watumiaji.pili tambua huh ni msaada au mkopo uliojenga hii barabara watalipa watanzania je kuweka nauli ya 1200 kutasaidia raia Wa kawaida au wamiliki Wa mabasi. Tafakari
 
Unataka iwe sh. Ngapi ili iwasaidie wananchi?
Naona mnalia tu bila kuwa na hoja ya msingi.
Hela ya kununulia skafu na bendera za chadema mnazo fedha ya nauli ndio inakuwa nongwa!!
Hatuwezi kuwa na nchi iliyozoweshwa bure ambayo ni kwa hisani ya watu wa Marekani au Finland au China....uzuri una gharama tuache vilio visivyo na msingi!
 
hata episode hazijaanza..
Dodoma wanakula majani.
 
Unataka iwe sh. Ngapi ili iwasaidie wananchi?
Naona mnalia tu bila kuwa na hoja ya msingi.
Hela ya kununulia skafu na bendera za chadema mnazo fedha ya nauli ndio inakuwa nongwa!!
Hatuwezi kuwa na nchi iliyozoweshwa bure ambayo ni kwa hisani ya watu wa Marekani au Finland au China....uzuri una gharama tuache vilio visivyo na msingi!
Mkuu hujanielewa je nauli iliyopo sasa ina matatizo gani nazungumzia 500.je vipuri vimepanda,je mafuta yamepanda, je miuondombinu ni mibovu ?.kaka chukulia MTU anayefanya kazi ya cleaner, ataweza kumudu
 
Kama ni kweli wamepanga hizo nauli ni kiasi kikubwa serikali inabidi iangalie ili suala kwa umakini mkubwa nchi zote usafiri wa umma unasimamiwa na serikali siyo kikundi cha wafanyabiashara wachache.
dah ni ww zombie face siamin kumbe sometimes unaandikaga points
 
Kama ni kweli wamepanga hizo nauli ni kiasi kikubwa serikali inabidi iangalie ili suala kwa umakini mkubwa nchi zote usafiri wa umma unasimamiwa na serikali siyo kikundi cha wafanyabiashara wachache.
Tuna serikali inayoweza kusimamia mambo muhimu? Serikali iliyoshindwa kuliweka jiji safi, jiji ambalo Rais, Makamu wa Rais, Waziri Mkuu, Baraza la mawaziri, Balozi na Office zote za kimataifa linanuka, limeoza! Unashindwa kusimamia kufagia utaweza kusimamia usafiri?!
 
Sasa hivi Jiji la Dar es Salaam lipo chini ya Ukawa jukumu lote wanalo wao Jiji kuwa safi na kuondoa msongamano wa foleni.
 
Mbona kiongozi wenu mkuu ni rafiki wa walalahoi kama anavyojipambanua ,inakuaje kwa nyie vibaraka kua na kauli hizi ?? Au ni zuga tu machoni pa watu ila moyoni anatekeleza kauli yake ya pigeni mbizi kwani nini bana
Zamani ulikuwa unaamka saa 11 Kimara Mwisho unatumia masaa 3 kuwahi ofisini saa 2. Sasa utaamka saa 1 utatumia saa 1 utawahi ofisini. Na kurudi hivyo. Hizo kero na uchelewefu na mbanano na mijasho huoni kama ilikuwa ni "gharama" pia? Watanzania tujifunze kuangalia matatozo yetu kwavuhalisia wake. Tukiendelea hivihivi mwakani weye wa Kimara Mwisho itabidi walale ofisini ili kuwahi kazini saa 2.
 
Sasa hivi Jiji la Dar es Salaam lipo chini ya Ukawa jukumu lote wanalo wao Jiji kuwa safi na kuondoa msongamano wa foleni.
Serikali ya CCM ilishindwa kusimamia hayo yote, itawezaje kusimamia usafiri? Wanachoweza ni kusimamia wizi wa kura na kupiga dili tu
 
Watanzania watakamuliwa maziwa , yakiisha watakamuliwa damu .
 
Huyo jamaa ni muongo wa kupitiliza ni mchochezi ....soon utaona
Hivi mnaomwita mleta muongo, ukweli wenu upo wapi?
Ebu someni kilichoandikwa kwenye Mwananchi leo: Nauli za mabasi ya DART kujadiliwa keshokutwa

Ni kweli UDA-RT wamewakilisha nauli za Tsh. 700, 1,200 na 1,400 kujadiliwa. Ambapo mkurugenzi wa UDA-RT, Sabri Mabruk alidokeza kuwa kuna sababu za msingi kwa kupendekeza nauli hizo. Kwa hiyo kwa mlio Dar na mnaotumia usafiri wa umma, itikieni wito wa mtoa mada.
 
Back
Top Bottom