Mgomo na Maandamano Dar, Tarehe 5/01/2016

Mgomo na Maandamano Dar, Tarehe 5/01/2016

hiyo iitakuwa bei kubwa sana kulingana na kipato chetu,mkuu nipo newala home ningekuwa hapo mjini ningeungana nawe kwa maandamano hayo
 
Hivi mnaomwita mleta muongo, ukweli wenu upo wapi?
Ebu someni kilichoandikwa kwenye Mwananchi leo: Nauli za mabasi ya DART kujadiliwa keshokutwa

Ni kweli UDA-RT wamewakilisha nauli za Tsh. 700, 1,200 na 1,400 kujadiliwa. Ambapo mkurugenzi wa UDA-RT, Sabri Mabruk alidokeza kuwa kuna sababu za msingi kwa kupendekeza nauli hizo. Kwa hiyo kwa mlio Dar na mnaotumia usafiri wa umma, itikieni wito wa mtoa mada.
Kujadiliwa...
 
Robert Kisena mwenye kampuni inaitwa SIMON GROP,mnyantuzu kada wa CCM aliwahi kumpiga OCD wa Maswa,muulize Idi Simba ndo waliiba nae kuinunua UDA
Koh koh koh hadi nimepaliwa, basi sitahoji tena
 
Mkuu hujanielewa je nauli iliyopo sasa ina matatizo gani nazungumzia 500.je vipuri vimepanda,je mafuta yamepanda, je miuondombinu ni mibovu ?.kaka chukulia MTU anayefanya kazi ya cleaner, ataweza kumudu
Hiyo ni nauli ya daladala linaloenda mdogo mdogo na kuchelewa kufika ....nauli pendekezwa ni ya basi linaloenda kwa kasi na kuwa na vituo maalum.
usichoelewa ni kipi?
 
Serikali ya CCM ilishindwa kusimamia hayo yote, itawezaje kusimamia usafiri? Wanachoweza ni kusimamia wizi wa kura na kupiga dili tu
Unakumbuka story ya yule fisadi aliyeanzisha njia tatu?
 
Hivi mgomo na maandamano aliyoyabainisha kwenye kichwa cha mada mbona siyaoni?
 
Vifurushi vya simu unanunua sh.ngapi na katika watanzania maskini wewe haupo unataka kuingiza watu mkenge na bahati mbaya maskini pia hawapo humu JF ingekuwa poa kama ungetambua hadhira hii ni watu wanamna gani. Kibaya zaidi katika nchi hii ni kutumia watu vibaya. Bei bado haijatangazwa manake kuna bajaj, bodaboda na tax wanapanda. Kibaya zaidi njia hiyo walianza kulipa buku kitambo sana.
Kama unazo ajenda zako simama imara sema watu watakuunga mkono ila sio kutumia watu maskini kwa maslahi yako na hao walio nyuma yako.
Angalizo watu hapa kazi tu, hizi figisu zako wenye mamlaka wa sasa hivi ukiwakanyaga bahati mbaya unapasuka sasa wewe unayetaka kuwakanyaga makusudi unafikiri watawafanya nini.
Kama unaweza kuwa shawishi watu maskini si bora uwaelekeze ktk shughuli za uzalishaji mali au kusafisha mazingira.
 
Wewe punguani kweli unaweza kuniita zombie wakati mama yako mzazi ananiita baby.
haya bana ila wewe na dingi yako hakikishen mnalipia kodi makontena yote mliyoingiza nchini miaka kumi yote iliyopita. Kenge nyinyi!
 
Vifurushi vya simu unanunua sh.ngapi na katika watanzania maskini wewe haupo unataka kuingiza watu mkenge na bahati mbaya maskini pia hawapo humu JF ingekuwa poa kama ungetambua hadhira hii ni watu wanamna gani. Kibaya zaidi katika nchi hii ni kutumia watu vibaya. Bei bado haijatangazwa manake kuna bajaj, bodaboda na tax wanapanda. Kibaya zaidi njia hiyo walianza kulipa buku kitambo sana.
Kama unazo ajenda zako simama imara sema watu watakuunga mkono ila sio kutumia watu maskini kwa maslahi yako na hao walio nyuma yako.
Angalizo watu hapa kazi tu, hizi figisu zako wenye mamlaka wa sasa hivi ukiwakanyaga bahati mbaya unapasuka sasa wewe unayetaka kuwakanyaga makusudi unafikiri watawafanya nini.
Kama unaweza kuwa shawishi watu maskini si bora uwaelekeze ktk shughuli za uzalishaji mali au kusafisha mazingira.

Kwa akili yako unaona humu jf hakuna watu masikini kwa maana ya watu wa kipato cha chini sio na pia ukiwa na kipato kikubwa basi usizuzungumzie jambo linalohusu maslahi ya atu wa kipato cha chini. na ndioa maana kwa kuwa wewe si masikini basi hutaki kusikia masikini wakitetewa maslahi yao.
 
Magufuli UDA kaiacha.. kama haioni ni KAMPUNI YA UMMA iliyoibiwa wazi wazi na Rizone... Sasa UDA imeibiwa na Rizone... Magufuli anaacha izidi KUTUMALIZA WAKAZI WA DAR... how come Magufuli kama kajifunga kilemba swala la UDA...?? Makampuni
yote yaliyoibia Taifa hili ya Rizone... Magufuli kaacha hata kuongelea hatataki.. eg UDA... HOME SHOPPING CENTER, LAKE OIL, LAKE GAS... JAMBO SAFARIS... etc etc... Magufuli kakaa kimyaa kuhusu hasa UDA na HSC...
Na anajua kila ovu juu ya Makapuni haya... UDA imeibiwa wazi wazi... Na sasa
inataka kuwaumiza NAULI wakazi wa DAR... na Rais anangalia tu...
 
Hiyo mbona ndogo,kwani boda boda unalipa shs. ngapi tena unapigwa na jua,vumbi ama mvua. ipande tu maana hata shs/dollar bado majanga tusije funga biashara bure
Boda boda tunapanda wote kwani...sisi masikini ndo tunaotaka nauli ishuke siyo hao wanaopanda bodaboda
 
Back
Top Bottom