mansakankanmusa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2010
- 4,161
- 802
nyie komaeni na kulipa, wale wananchi wa vijijini ndio waliipigia kura nying sisiem, achane waiaome namba
Hiyo ni nauli ya daladala linaloenda mdogo mdogo na kuchelewa kufika ....nauli pendekezwa ni ya basi linaloenda kwa kasi na kuwa na vituo maalum.
usichoelewa ni kipi?[/ sawa ila ndugu zako watalipa tu
anajulikana..ni mmiliki wa UDAKwani mmiliki wa haya magari kishapatikana???
watu waende kwenye kikao wakapinge kwa nguvuMleta mada ni muoga,dhaifu na mchochezi.
Sumatra huwa hawakurupuki kupandisha nauli,na kunakuwa na vikao si chini ya vitatu hadi nauli ipande.na watu wanajulishwa kwanza ili wajitayarishe.
Sioni hekima kwa mtoa mada kushawishi watu wafanye vurugu badala ya kushawishi wadau wajitokeze kuja kupinga nauli kwa data.je kikao kikihamia sehemu nyingine na wakapitisha nauli itakuaje?
Huu ni wakati wa kazi kwa juhudi maarifa na kufuata sheria sio kila jambo ni maandamano
kwa Tanzania ilivyo vitapita tu...WATANZANIA ni almost mazezetaHivyo viwango havikubaliki.........kwa namna yeyote haviwezi kukubaliwa....
...hivi kumbe uchaguzi wa kutafuta mameya ulishafanyika.!!Sasa hivi Jiji la Dar es Salaam lipo chini ya Ukawa jukumu lote wanalo wao Jiji kuwa safi na kuondoa msongamano wa foleni.
Kwa hiyo Magu wakati anatoa lile tamko alikuwa hajamjua???anajulikana..ni mmiliki wa UDA
CCM kwa nini hua mnajitoa ufaham mapema sana..??Unawaongelea watanzania au wakazi wa Dar?
Usihamishe mada tetea kwa data na facts....jiulize wanaotakiwa kwenda huko posta ni kina nani ?au ni watu wa kipato kipi hasa hasa ukizingatia kuwahi ???
Kwa hiyo Magu wakati anatoa lile tamko alikuwa hajamjua???
Ha ha ha ha tutaishi hiv mpaka lini mkuu, comedy ndo zinazidi kuongezeka kila leoHivi wewe kweli unaamini Rais anaweza kuwa hajui kitu...Rais Ni taasisi.....Rais ana nguvu kuliko yeyote nchini...
Rais hashindwi kujua kitu
Sisi wenyewe makapuku tunajua mmiliki ni Mmiliki wa UDAHH.....
Wewe weka pause utafakari utajua kuwa nchi hii ni nchi ya kusadidkika...Full comedy
Ha ha ha ha tutaishi hiv mpaka lini mkuu, comedy ndo zinazidi kuongezeka kila leo
Freeland hii nchi inachosha sana aiseee wacha niishie hapa misuseme sanaNa bado....hadi pale watakapojigundua kuwa its a reality na sio maigizo tena
Pale watakapogundua sasa wanatakiwa ku deliver sio porojo tena na "Kubaini"
Watakapotambua kuwa mashindano yao na uongozi uliopita hausaidii wananchi zaidi ya Ku ji expose na ku set bad precedence
Na hapo itauwa too late..Kwa sababu expectation za wananchi ni kubwa sana....Ambazo i assure you CCM hawawezi kuzifikia asilani.
@habari ya hapa wewe twende pamoja...tuangalie huu mchezo...tafuta Popcorn....njoo tukae tutazame
Freeland hii nchi inachosha sana aiseee wacha niishie hapa misuseme sana
kwa Tanzania ilivyo vitapita tu...WATANZANIA ni almost mazezeta
Hapo sawa sio maandamano na vuruguw
watu waende kwenye kikao wakapinge kwa nguvu