mkwereeeeeee mambo yake valuvalu. Magufuli kazi anayo[/QUOTE
Mkwereeeee anaweweseka haamini kuwa andio anahama magogoni baada ya wiki; angekuwa na akili angeisha hamia kijijini!! Haamini na ndio maana bado hajafunga vilago vyake!!
Utashangaa bado kuna wafanyakazi wa serikali wanaoiunga mkono CCM licha ya kupuuzwa kwa kiwango hiki!
Baada ya "Serikali" ya CCM kuamua "kulipa madai" ya walimu huku wakiwabagua wai wa ka nyingine (madaktari, manesi, polisi, watumishi wa serikali za mitaa, wanajeshi, askari magereza, na baadhi ya walimu) watumishi hao wameonyesha kukerwa na kukatishwa tamaa na kitendo hicho cha kibaguzi. Aidha, watumishi hao wanashangaa kwanini malipo hayo yamefanyika KISIASA katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi ilhali siku zote wamekuwa wakiambiwa hakuna pesa.
Pamoja na hayo, sio walimu wote waliolipwa kwani madai ya baadhi yao yalitupwa kwa kisingizio kwamba hayasomeki vizuri baada ya kupigwa photocopy kwa muda mrefu. "Imagine kuna walimu hawajalipwa madai yao tangu mwaka 1980 hadi wino umefutika kutoka kwenye nyaraka zao halafu wanaachwa bila kulipwa eti nyaraka zao hazisomeki, hii ni haki kweli?!", alisikika akilalamika mwalimu mmoja.
MAONI YANGU
Hili suala la CCM kuwalipa walimu peke yao kwa kisingizio cha wingi wao (kura nyingi) ndicho kitanzi chao mwaka huu. Hii mbinu ni ya kizamani mno.
:yield:
Na wagome tu hakuna namna
Baada ya "Serikali" ya CCM kuamua "kulipa madai" ya walimu huku wakiwabagua watumishi wa kada nyingine (madaktari, manesi, polisi, watumishi wa serikali za mitaa, wanajeshi, askari magereza, na baadhi ya walimu) watumishi hao wameonyesha kukerwa na kukatishwa tamaa na kitendo hicho cha kibaguzi. Aidha, watumishi hao wanashangaa kwanini malipo hayo yamefanyika KISIASA katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi ilhali siku zote wamekuwa wakiambiwa hakuna pesa.
Pamoja na hayo, sio walimu wote waliolipwa kwani madai ya baadhi yao yalitupwa kwa kisingizio kwamba hayasomeki vizuri baada ya kupigwa photocopy kwa muda mrefu. "Imagine kuna walimu hawajalipwa madai yao tangu mwaka 1980 hadi wino umefutika kutoka kwenye nyaraka zao halafu wanaachwa bila kulipwa eti nyaraka zao hazisomeki, hii ni haki kweli?!", alisikika akilalamika mwalimu mmoja.
MAONI YANGU
Hili suala la CCM kuwalipa walimu peke yao kwa kisingizio cha wingi wao (kura nyingi) ndicho kitanzi chao mwaka huu. Hii mbinu ni ya kizamani mno.
:yield:
Ni aibu na fedheha kubwa kwa mfanyakazi wa Tz.kuipigia maficcm kura! kodi tunalipa 11% wala hawatuhurumii, wabunge hawalipi kodi kabisa! Tuachane na maficcm tufanye mabadilko tupate AHUENI, chagua LOWASA ewe mfanyakazi.
mkwereeeeeee mambo yake valuvalu. Magufuli kazi anayo
Na wagome tu hakuna namna