Mgomo mkubwa wanukia nchini

Mgomo mkubwa wanukia nchini

CCM wanatapatapa. Na walimu yapasa wajiulize, kwa nn muda wote wa madai yao hawakulipwa, walipwe leo. Ina maana umuhimu wao unaonekana wkt wa uchaguzi. Walimu watafakari, ina maana hawatalipwa tena hadi uchaguzi ujao 2015.
 
Hao walimu waliolipwa ni wa wapi...? Mbona mimi sijalipwa??

Kuna watu wamevamia Jamii forum,kwa kweli wanaishushi hadhi yake.Siku hz post nyingi nı za kizuşhı.Its boring!
 
utaratibu gani? utaratibu wa kuwakusanya walimu na "kuwalipa" kipindi cha uchaguzi? kwanini madaktari na manesi hawajalipwa madai yao wala kuongezwa mishahara kama mlivyokubaliana kabla ya kujaribu kumuua dr ulimboka? hebu tuambie utaratibu huo ukoje.

Mwalimu gani kalipwa wewe boya?
 
waalimu wakitaka kuheshmiwa nchi hii wabadilishe muundo na uongozi wa cwt kuna uwezekano kua cwt ni tawi lingne la ccm
 
Mwalimu gani kalipwa wewe boya?

mkuu nadhani hii komenti hujanilenga mimi. hata mm napenda walimu walipwe stahiki zao kiutu bila kuwatumia kisiasa. hebu rudia kusoma hoja yangu ya msingi kwanza. nadhani mawazo yangu na yako ni mamoja. mabadiliko ni lazima...vinginevyo watumishi wa umma wataendelea kunyanyaswa na ccm mpaka kiyama.
 
Ubaguzi huu haufai kabisa kwa nini watumishi wa umma tubaguliwe?/
n.b
****
hili si jema kabisa!
-->>je wale wazee wa afrika ya mashariki na familia zao niaje?
**serekali tuurumieni jama!
**tulipeni sote jama!
 
Hv ni walimu gani wamelipwa?Tangazo limetoka kwamba wataanza kulipa malimbikizo ya wafanyakazi kuanzia October na kukamilishwa November.Fahamu kuwa haki za watumishi zıko palepale,ashnde Lowasa au Magufuri ama hata aendelee Kikwete.Na hawa hawalipwi na mtu binafsi kwa hela zake bali kodi za Watanzania.

mkuu, walimu wamekuwa hawalipwi madai yao na kuna wengine wanadai madai kuanzia mwaka 1980 lakini serikali nyakati zote imekuwa ikigoma kuwalipa. kwanini wawalipe kipindi hiki cha uchaguzi na si kabla? wamewezaje kukaa na madai hayo tangu mwaka 1980 halafu waje kuwalipa leo na watalipwa kwa rate za mwaka gani (1980 au 2015)?
 
na haohao walimu wanaopuuzwa kila siku ndio wanamuita JK "shemeji". kipindi walimu wakianza kujitambua ndipo ukombozi wa nchi hii utakapopatikana.
Walimu wanajitambua sana kwa taarifa yako. Hao vijana kuamka kisiasa namna hii walianzia madarasani kwa walimu!
 
Baada ya "Serikali" ya CCM kuamua "kulipa madai" ya walimu huku wakiwabagua watumishi wa kada nyingine (madaktari, manesi, polisi, watumishi wa serikali za mitaa, wanajeshi, askari magereza, na baadhi ya walimu) watumishi hao wameonyesha kukerwa na kukatishwa tamaa na kitendo hicho cha kibaguzi. Aidha, watumishi hao wanashangaa kwanini malipo hayo yamefanyika KISIASA katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi ilhali siku zote wamekuwa wakiambiwa hakuna pesa.

Pamoja na hayo, sio walimu wote waliolipwa kwani madai ya baadhi yao yalitupwa kwa kisingizio kwamba hayasomeki vizuri baada ya kupigwa photocopy kwa muda mrefu. "Imagine kuna walimu hawajalipwa madai yao tangu mwaka 1980 hadi wino umefutika kutoka kwenye nyaraka zao halafu wanaachwa bila kulipwa eti nyaraka zao hazisomeki, hii ni haki kweli?!", alisikika akilalamika mwalimu mmoja.

MAONI YANGU
Hili suala la CCM kuwalipa walimu peke yao kwa kisingizio cha wingi wao (kura nyingi) ndicho kitanzi chao mwaka huu. Hii mbinu ni ya kizamani mno.

:yield:
Walimu ndio wenye malimbikizo
 
Ni aibu na fedheha kubwa kwa mfanyakazi wa Tz.kuipigia maficcm kura! kodi tunalipa 11% wala hawatuhurumii, wabunge hawalipi kodi kabisa! Tuachane na maficcm tufanye mabadilko tupate AHUENI, chagua LOWASA ewe mfanyakazi.
 
Hakuna Amani Tanzania. Ila watz, niwavumilivu2 hilo tunaweza kujivunia2
 
Watumishi waadilifu wako pamoja na serikali yao,ukawa na genge la mafisadi msiwachonganishe
 
Wanaoidai waje hapa waseme wanadai kiasi gani tutalipa tu, hii serikali yenu ni sikivu sana na tunaahidi kuwalipa wote wanaodai kabla ya tar 25 na wakaangalie kwenye akaunt zao tar 27 kuanzia saa kumi jion watazikuta.
 
Wanaoidai serikali yao sikivu waje hapa waseme na sisi tutatekeleza haraka sana, tulichelewa kidogo kutokana na makosa ya kiufundi ila tutalipa kabla ya tar 25 na mkaangalie kwenye akaunt zenu kuanzia tar 27 mida ya jioni, halafu tunawaomba msianze kutaka kujua kada za jeshi hapa kwani hamjui utaratibu wao wa malipo na kama mnataka pitien kule kwenye kambi zao mkawaulize watawapa majibu mazuri sana ndani ya kambi yao. Tunsomba muwe watulivu ndugu watumishi , tunawapenda na kuwaheshimu. Uzalendo kwanza migomo baadae
 
Sidhani Kama Kuna Mwenye Akili Sawasawa Aweza Ichagua Ccm, Wamewatumia Waalimu Kisiasa!
 
Back
Top Bottom