hippocratessocrates
JF-Expert Member
- Jul 1, 2012
- 3,598
- 1,539
Kuna Interns 700 mwezi ujao wanaanza kazi.
Akili nzuri sana!! walikuwa wakidai jumla ya 70bn! suluhisho tutaajiri wageni na tumetenga 700bn!! hata kuku angefikiri tofauti na kufanya busara!!Haki yao milioni 7,700,000 kwa mwezi mmeishaambiwa muajiri wako hana uwezo wa kutoa mshahara huo kama mnataka masalahi zaidi ruksa kwenda sehemu ingine wanapolipa vizuri.
interns huwa hawana liseni... serikali sasa iache ujinga wa kuhadaa kwani wananchi watajua inawahadaa na chuki itaongezekaleseni yua practice hutolewa baada ya dr kumaliza intern na kufanya kazi miaka miwili na kuendelea na kupata approval THIS IS ANOTHER CHEAP LIE TO PEOPLE
Sijui akili za mbayuwayu alizosema akichanganya na zake ndiyo mwisho wa panel ya urais ilipofikia katika kusuluhisha hili!!!!!
Medical council has acted unfairly. Mimi nilidhani hili baraza ni similar to institituion of Engineers ambayo inasajili wahandisi and as such should not be playing politics(revoking en mass usajili wa interns wote is suspect). Which begs the question is medical council a goverment body or a proffesional body?
So what?
Sidhani kama unafuatilia mambo, kumbuka mara ya kwanza waligoma kuongea hadi na waziri mkuu, rais akakutana nao, wakatulia, awamu hii waliambiwa waendelee na mazungumzo huku huduma zikiendelea kutolewa, wakasema wanaendelea na mgomo ambao hauna kikomo,Sijui akili za mbayuwayu alizosema akichanganya na zake ndiyo mwisho wa panel ya urais ilipofikia katika kusuluhisha hili!!!!!
Voluntary is better than force!
Bob marley aliimba na leo wimbo wake naona unareflect reality
"running away" album = kaya
mgomo wa madaktari ni sahihi, do not be mixed up by the consequence of the strike, nikikosa ama kuyapata hayo matibabu duni ninayoyagrade group moja na polonium.
Ritz, kuna makosa yamefanyika, lakini kuhusu interns nakuomba tujaribu kuangalia swala tofauti kidogo. Lets do a little bit more kuhusu hawa interns. Tukumbuke kuwa interns wako katika kujifunza, kujifunza sio kutibu tu bali hata jinsi ya kuishi kazini. Sasa hawa wanaowafundisha kazi wamewaambia kuwa hapa mambo ni kugoma, interns hawezi kumbishia senior wake anayemfundisha. Kumbuka wamekabishidwa kwa registrars na specialists ili wawafundishe na wao wamewafundisha kugoma.
Bob marley aliimba na leo wimbo wake naona unareflect reality
"running away" album = kaya
mgomo wa madaktari ni sahihi, do not be mixed up by the consequence of the strike, nikikosa ama kuyapata hayo matibabu duni ninayoyagrade group moja na polonium.
kwa sisi madaktari inabidi tufanye kitu kunusuru hawa wenzetu wliofutiwa leseni za muda.Ni lazima mgomo huanze upya wakitaka watufute wote ili wanajeshi na polisi ndo watibu wagonjwa.Hii inamaanisha kilio chetu hawakioni.Liwalo na liwe
Kujitolea ni bora kuliko kutumia nguvu! (ungesema hivi kuliko kuharibu lugha ya watu)