Mgomo chuo kikuu-mlimani

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
6,135
17,802
Je,ni haki kwenye mgomo ulihusisha Chuo kizima adhabu ya kufunga ikatolewa kwa Koleji moja tu ya Uhandisi? Wengine wameridhika?
 
Coet kama sijakosea wao waligomea baada ya mwenzao mmoja kudaiwa kukamatwa na desa hivyo kwa mujibu wa sheria za chuo alikuwa ameingia na unwanted materials hivyo anastahiki kudisco. Hivyo wanachuo wenzake waligoma kwa muda wa siku tatu hali iliyopelekea kufungwa chuo hicho baada ya juhudi za kuwashawishi wanachuo hao kuwa hakuonekana kugonga mwamba.
Habari hii ni kwa mujibu wa chanzo changu kilichopo hapo UDSM.
 
Ni kweli mkuu, ndio maana mie hao wanaoitwa wasomi nawatilia mashaka sana na uwezo wao wa kufikiri, inakuwaje watu wagome kumtetea mtu aliyetaka kuja kuwa injinia kwa kuibia mitihani?
 
Back
Top Bottom