Mgombea wa CHADEMA Igunga

Mgombea wa CHADEMA Igunga

ccm imesheheni wasomi kibao lakini jee wamelifanyia nini taifa hili zaidi ya kutufukarisha na kutulaza gizani miaka 50 baada ya uhuru. Hata wewe kama umesoma na una akili magando kiasi hicho huna faida yoyote. Na jua utashuka na kingeledha chako ukiamini huo ndiyo usomi. Usomi si kwenda shule peke yake bali usomi ni kuelemika.

pia huyu mwita25 atakua anafikiri kwa kutumia masaburi
 
Hii mada imeharibika naomba muiache tu maana huyu mwita25 na ritz wametumwa kuharibu maada zenye maana.
Hao wore ni magamba.
 
Usichanganye habari na kupotosha wasioijua Igunga, nadhani huyo unayemsema wewe sio Kashindye mgombea wa CDM kwakuwa wengi wana jina hilo maeneo hayo. Hata hivyo:-Umeambiwa mgombea ni Mratibu wa Elimu Igunga Mjini (hujiulizi iweje mratibu awe kibarua wa RA kule Ukenyenge ambako ni SHINYANGA ambako pia sio hata Igunga? Tena kwa shughuli tofauti na uratibu elimu?)Unavyodai alifungwa gereza la Mumbu ambako bado ni SHINYANGA, hujiulizi alifikaje huko?Unavyodai kuwa alivyotoka kifungoni ndo akajiunga na CDM, hujiulizi kuwa mtu aliyekutwa na hatia anaruhusiwa au haruhusiwi kugombea Ubunge? (kwa taarifa yako haruhusiwi).Hujiulizi ni mtumishi gani wa Serikali anaweza kufungwa at the same time or after kifungo akaendelea na kazi Serikalini?Cheki vizuri na chanzo chako kikupe majina yote na sio kuchukua jina moja kufanyia conclusion.

Mbona Aden Rage Mbunge wa Tabora mjini alishawahi kufungwa jela na akagombea ubunge akashinda mpaka leo ni mbunge
 
wadau naomba mwenye cv ya jembe letu linalotegemewa kuipeperusha bendera ya igunga kwa tiketi ya chadema atumegee na sisi.
cv chadema ni hakuna kulala hadi kieleweke basi kama una uwezo wa kuto kulala hadi ccm imetoka basi wewe unafaa kwani si unaona wasla anavyo lala bungeni hii ni kiashilio cha kushiba
 
Mbona Aden Rage Mbunge wa Tabora mjini alishawahi kufungwa jela na akagombea ubunge akashinda mpaka leo ni mbunge

Taratibu tunazidi kugundua kuwa vijana waliotumwa humu JF Na ccm NI VILAZA WA KUTUPWA! Wanasema hv hujafanya uchunguzi,hauna takwimu hauna haki ya kuzungumza! SAKATA LA RAGE LILIMARIZIKA ILIPOSOMWA HUKUMU YA RUFAA YAKE ALIYOKATA AKIPINGA HUKUMU YA KUTAJWA KUWA MWIZI,MAHAKAMA ILIFUTA HUKUMU YA MWANZO Hivyo jinai ya wizi ya Rage ilifutwa.HAYA YOTE YALIFANYIKA RAGE AKIWA AMESHAPATA MSAMAHA WA RAISI NA ALIFANYA HAYO ILI KUJISAFISHA APATE KUGOMBEA NAFASI MBALIMBALI KWA MUJIBU WA KATIBA! Ni vizuri kujifunza siyo kujua kila kitu.
 
Sidhani kama atakuwa amefika hata Form FOUR, kama ndivyo basi atakuwa amepata FOUR.
mchangue hilo libaba la CCM ambalo lina PHD muone kama litawalete maendeleo.mtakuwa maskini na ilo lichama lenu la kijani na kupewa vyakula vya misaada vya bure.
 
nyongeza..alifukuzwa kazi na RA baada ya kupatikana na hatia ya wizi wa kutumia mizani dhidi ya wakulima wa pamba wa kijiji cha Ukenyenge alikofanya kazi ya kununua pamba kwa siri. Alihukumiwa miezi sita jela kwa kosa hilo na kutumikia kifungo chake kwenye jela iitwayo Mumbu na baada ya kutoka kifungoni alijiunga na CDM.

Mbona Aden Rage Mbunge wa Tabora mjini alishawahi kufungwa jela na akagombea ubunge akashinda mpaka leo ni mbunge
Nyie watu wa Nepi kajipangeni upya naona sasa mmekosa mwelekeo mmeanza kujijibu wenyewe sisi yetu macho kama ni H/W leo mmefeli lakini posho yenu mtapata suala la posho magamba huwa haliwasumbui hata wabunge wanaosinzia huwa wanapata kama kawa.
 
Jamaa mmoja anaitwa Kashidye, rafiki mkubwa wa Rostam Aziz, alikuwa mratibu wa kampeni za Rostam Aziz, vipindi vyote alivyokuwa anagombea Ubunge Igunga

If so,,pamoja na mgombea huyo kuwa wa kada ya kawaida sana inayoweza kumpelekea kujizolea kura miongoni mwa walimu,vjana wanafunzi,na riika lingine,,Rostam anaweza amua kulipa fadhila kwa kumsaidia hata kwa mlango wa nyuma kuhakikisha anashinda?
 
Taratibu tunazidi kugundua kuwa vijana waliotumwa humu JF Na ccm NI VILAZA WA KUTUPWA! Wanasema hv hujafanya uchunguzi,hauna takwimu hauna haki ya kuzungumza! SAKATA LA RAGE LILIMARIZIKA ILIPOSOMWA HUKUMU YA RUFAA YAKE ALIYOKATA AKIPINGA HUKUMU YA KUTAJWA KUWA MWIZI,MAHAKAMA ILIFUTA HUKUMU YA MWANZO Hivyo jinai ya wizi ya Rage ilifutwa.HAYA YOTE YALIFANYIKA RAGE AKIWA AMESHAPATA MSAMAHA WA RAISI NA ALIFANYA HAYO ILI KUJISAFISHA APATE KUGOMBEA NAFASI MBALIMBALI KWA MUJIBU WA KATIBA! Ni vizuri kujifunza siyo kujua kila kitu.
Anti Ndofu,
Kweli akili yako ni masaburi,halafu jifunze matumizi ya herufi kubwa na ndogo.
Unaandika utadhani mtoto wangu wa mwisho anaesoma kindergarten, angalia profile yangu lini nimejiunga JF, kingine nikuambie nadhani umjui vizuri Ritz. Mimi CCM na CDM wote ni takataka, mimi sio mateka wa Mbowe kama wewe
 
If so,,pamoja na mgombea huyo kuwa wa kada ya kawaida sana inayoweza kumpelekea kujizolea kura miongoni mwa walimu,vjana wanafunzi,na riika lingine,,Rostam anaweza amua kulipa fadhila kwa kumsaidia hata kwa mlango wa nyuma kuhakikisha anashinda?
Blessings in a disguise!!!!!!!!!!!! Hayo ni majibu ya wana maghamba's wanatapatapa sasa!!!!!!!!!!!
 
Anti Ndofu,
Kweli akili yako ni masaburi,halafu jifunze matumizi ya herufi kubwa na ndogo.
Unaandika utadhani mtoto wangu wa mwisho anaesoma kindergarten, angalia profile yangu lini nimejiunga JF, kingine nikuambie nadhani umjui vizuri Ritz. Mimi CCM na CDM wote ni takataka, mimi sio mateka wa Mbowe kama wewe
Bwn Ritz wacha kutisha watu na hizo title zako, usipotezee kwenye miandiko mbona ujumbe umekufikia??? Naona wewe ni maghamba's kazi yako ni kukoroga tuu kila mahali, lakini mwisho wa yote tutajua kama uko kwenye payroll ya Bwn maghamba. Bila hiyo kazi ya kukoroga huna jinsi ya kuishi pole saana!!!!!!!!!!!!
 
Taratibu tunazidi kugundua kuwa vijana waliotumwa humu JF Na ccm NI VILAZA WA KUTUPWA!
Sisi tunaowajua huwa tunawa injoi tu tunapenda presence yao kwa kweli wanachangamsha jukwaa.
Afadhali hawa angalau wanakesha wakijisomea dictionary kuna wengine wa daraja la chini type ya kina wowowo yoyo dubo hawa sijui kama hata mtihani wa madarasa walifaulu.
 
Anti Ndofu,
Kweli akili yako ni masaburi,halafu jifunze matumizi ya herufi kubwa na ndogo.
Unaandika utadhani mtoto wangu wa mwisho anaesoma kindergarten, angalia profile yangu lini nimejiunga JF, kingine nikuambie nadhani umjui vizuri Ritz. Mimi CCM na CDM wote ni takataka, mimi sio mateka wa Mbowe kama wewe

Alichokueleza Ndofu umekielewa? Au hata hapo huelewi tu na bado unashikilia kuwa Rage ana hatia hapo alipo? Jamani muwe mnasoma hata kidogo basi hizi sheria za kujitetea hata kwenye Mabaraza ya Kata. Tena unaendelea kujidhalilisha eti watu watazame umejiunga JF lini! Ndo umeishiwa hoja hivyo! Basi umeishiwa vibaya. Kujiunga kwako muda mrefu kungekuwa na maana kama michango yako ingekuwa na mashiko. Unakimbilia mwandiko umekuja kujifunzia kuandika humu? Hii inaonyesha kukaa kwako muda mrefu JF haijakusaidia kitu ndo maana unaibuka na hoja dhaifu za mwandiko na mwanao! Naungana na Mkuu HENGE kwamba "Kweli Mungu ana watu wengi!"
 
Mbona Aden Rage Mbunge wa Tabora mjini alishawahi kufungwa jela na akagombea ubunge akashinda mpaka leo ni mbunge
Anyway, ngoja tuendelee kukuelimisha. Mtu aliyekutwa na hatia na kufungwa jela haruhusiwi kugombea ubunge kwa mujibu wa Katiba. Rage hana hatia hapo alipo kufuatia rufaa aliyokata kushinda na kumtangaza kuwa hana hatia. Rudia tena kusoma post yangu uliyoijibu na ile post ya Ndofu uliyokurupuka kuijibu. Zote hizo ni kwa faida yako manake umezoea tuition.
 
Alichokueleza Ndofu umekielewa? Au hata hapo huelewi tu na bado unashikilia kuwa Rage ana hatia hapo alipo? Jamani muwe mnasoma hata kidogo basi hizi sheria za kujitetea hata kwenye Mabaraza ya Kata. Tena unaendelea kujidhalilisha eti watu watazame umejiunga JF lini! Ndo umeishiwa hoja hivyo! Basi umeishiwa vibaya. Kujiunga kwako muda mrefu kungekuwa na maana kama michango yako ingekuwa na mashiko. Unakimbilia mwandiko umekuja kujifunzia kuandika humu? Hii inaonyesha kukaa kwako muda mrefu JF haijakusaidia kitu ndo maana unaibuka na hoja dhaifu za mwandiko na mwanao! Naungana na Mkuu HENGE kwamba "Kweli Mungu ana watu wengi!;
Full Crackpot
 
Sisi tunaowajua huwa tunawa injoi tu tunapenda presence yao kwa kweli wanachangamsha jukwaa.
Afadhali hawa angalau wanakesha wakijisomea dictionary kuna wengine wa daraja la chini type ya kina wowowo yoyo dubo hawa sijui kama hata mtihani wa madarasa walifaulu.
Feedback nakushauri kama ndugu yangu kama Mtanzania mwenzangu angalia sana.
CDM itakuja kukupa ugonjwa wa moyo
 
Feedback nakushauri kama ndugu yangu kama Mtanzania mwenzangu angalia sana.
CDM itakuja kukupa ugonjwa wa moyo
Mimi sina undugu hata kidogo na mafisadi na watetea ufisadi wasiona uchungu na maliasili za nchi kama wewe.
 
Back
Top Bottom