Mgombea wa CHADEMA Igunga

Mgombea wa CHADEMA Igunga

<br />
<br />
Mbona NINA USHAHIDI MGOMBEA WA CHADEMA ALIKUWA ****** WA ROSTAM, YAANI ROSTAM ALIKUWA BASHA WAKE ALISHA ACHANA NAYE??? ASIJE KUTUGEUKA MBELA YA SAFARI JAMANI

MODS wamekusoma na wanajua cha kukufanya.
 
Ufukara wako ni uzembe wako. Ni wapi na saa ngapi CCM walikunyima fursa ya kujiendeleza?
Ni rahisi kabisa' hauelewi uhusiano wa siasa na maendeleo! Miaka 50 ya uhuru chini ya ccm tuna kipi? Idadi ya wasiojua kusoma inaongezeka,zaidi ya watanzania 12milion wanaishi chini ya mstari wa umasiki,madini na wanyama vinatoweka,bei ya pamba haieleweki,wananchi wanalazimishwa kuuza mazao kwa bei chee,vyp kuhusu umeme, mafuta n.k HAYA YOTE NI TAABU ZA CCM.
 
Mimi nadhani wewe una phd.....Miafrika bana! Eti jitu linajiita great thinker halafu linaishi kwa kudhani ona nilivyokupo sifa ambazo ukoo wenu mzima hakukna mwenye hata nusu yake. Hayo ndo madhara ya kuishi kwa kudhani.

Huyo jamaa ni crap wa karne mkuu... fuatilia post zake utaona anadhalilisha tu kabila lenye hilo jina. Huwa anaviposti vyake vya kujifanya anaupeo fulani which unfortunately hana kabisa

He is just low, imbecile and crappiest

Anyway, bila upuuzi JF hainogi
 
Mgombea mwenye uwezo mkumbwa igungu ni mahono, wa cuf ukweli ndio huo na sisi wanaigunga tutamuunga mkona huyu atatufaa nyie endeleni na malumbano yenu. Tunajua mnapigania masilahi yenu bnafus sio ya wanaigunga
 
Anti Ndofu,
Kweli akili yako ni masaburi,halafu jifunze matumizi ya herufi kubwa na ndogo.
Unaandika utadhani mtoto wangu wa mwisho anaesoma kindergarten, angalia profile yangu lini nimejiunga JF, kingine nikuambie nadhani umjui vizuri Ritz. Mimi CCM na CDM wote ni takataka, mimi sio mateka wa Mbowe kama wewe

Maji taka
 
Sidhani kama atakuwa amefika hata Form FOUR, kama ndivyo basi atakuwa amepata FOUR.

hao wenye shahada za uzamili na uzamivu wamefanya nini kwa tanzania,swala ni uzalendo elimu ya juu ni sifa ya ziada.kawawa alikua na elimu gani? na mbona aliongoza vizuri swala ni uzalendo na kipawa cha uongozi
 
Mbona NINA USHAHIDI MGOMBEA WA CHADEMA ALIKUWA ****** WA ROSTAM, YAANI ROSTAM ALIKUWA BASHA WAKE ALISHA ACHANA NAYE??? ASIJE KUTUGEUKA MBELA YA SAFARI JAMANI
Na sisi tunakufahamu wewe ni kuwadi wa Nepi mtoa ratiba za Nepi toka udanganye atafunika Arusha wewe na yeye mmekuwa kimya sana.
 
Ametumia.miaka. kadhàa katika bonde linalotenganisha Igunga na bonde la isugilo, akitutana na mwl. mkUU shule ya msingi Igunga na aoombwa kwenda kuanza darasa tano, afanya vizuri katika masomo yake kutokana na utamaduni wake Wa kujisomea muda mwingi, ajiunga na elimu ya upili na baadae atumikia ualimu kwa zaidi ya miaka 20, agombea ubunge jimbo LA nyumbani kwao Igunga, aibiwa kura na wahafidhina, afanya kazi makao makuu kanda ya magharibi na sasa ni mwenyekiti Wa chadema wilaya ya Igunga.
Ni mwl. Joseph kashindye mwandu
 
Kashindye ni jembe mungu ampe nguvu na maisha marefu. Maccm yamemtafuta sana lakin hahongeki. Sasa wamekutana katibu wake Idd Athumani kama Katibu wa cdm wa wilaya,wanamisimamo,wanajituma, wanambinu za kisayansi. 2015 ccm wajiandae kutoweka Igunga
 
Kashindye ni jembe mungu ampe nguvu na maisha marefu. Maccm yamemtafuta sana lakin hahongeki. Sasa wamekutana katibu wake Idd Athumani kama Katibu wa cdm wa wilaya,wanamisimamo,wanajituma, wanambinu za kisayansi. 2015 ccm wajiandae kutoweka Igunga

mungu amekuwa upande wao naamini watawavusha wanaigunga
 
Back
Top Bottom