Mgombea wa CHADEMA Igunga

Felixonfellix

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
1,672
182
Salamu
Tafadhali naomba kujua Jina Kamili la mgombea wa jimbo la Igunga kupitia CHADEMA
Pia ningependa kupata wasifu wake kwa yeyote mwenye nao.
Tushirikiane tutafika tuendako
Asanteni sana
 
Wadau naomba mwenye CV ya jembe letu linalotegemewa kuipeperusha bendera ya Igunga kwa tiketi ya CHADEMA atumegee na sisi.
 
Sidhani kama atakuwa amefika hata Form FOUR, kama ndivyo basi atakuwa amepata FOUR.
 
Sidhani kama atakuwa amefika hata Form FOUR, kama ndivyo basi atakuwa amepata FOUR.

Mimi nadhani wewe una phd.....Miafrika bana! Eti jitu linajiita great thinker halafu linaishi kwa kudhani ona nilivyokupo sifa ambazo ukoo wenu mzima hakukna mwenye hata nusu yake. Hayo ndo madhara ya kuishi kwa kudhani.
 
Sidhani kama atakuwa amefika hata Form FOUR, kama ndivyo basi atakuwa amepata FOUR.

CCM imesheheni wasomi kibao lakini jee wamelifanyia nini taifa hili zaidi ya kutufukarisha na kutulaza gizani miaka 50 baada ya uhuru. Hata wewe kama umesoma na una akili magando kiasi hicho huna faida yoyote. Na jua utashuka na kingeledha chako ukiamini huo ndiyo usomi. Usomi si kwenda shule peke yake bali usomi ni kuelemika.
 
Mgombea wa CHADEMA Igunga anaitwa Mwalimu Joseph Mwandu Kashindye, ni mratibu wa elimu wilaya Igunga. Ni mkaaji wa Igunga, mwenye kujua matatizo ya wanaigunga, pamoja na matatizo ya walimu na wanafunzi kwa ujumla.
 
CCM imesheheni wasomi kibao lakini jee wamelifanyia nini taifa hili zaidi ya kutufukarisha na kutulaza gizani miaka 50 baada ya uhuru. Hata wewe kama umesoma na una akili magando kiasi hicho huna faida yoyote. Na jua utashuka na kingeledha chako ukiamini huo ndiyo usomi. Usomi si kwenda shule peke yake bali usomi ni kuelemika.

Jmani huyo mtu sio wa kumjibu anamatatizo binafsi.
 
Jamaa mmoja anaitwa Kashidye, rafiki mkubwa wa Rostam Aziz, alikuwa mratibu wa kampeni za Rostam Aziz, vipindi vyote alivyokuwa anagombea Ubunge Igunga
 
Jamaa mmoja anaitwa Kashidye, rafiki mkubwa wa Rostam Aziz, alikuwa mratibu wa kampeni za Rostam Aziz, vipindi vyote alivyokuwa anagombea Ubunge Igunga
okey tunashukuru! huyu jamaa kumbe anafaa sana alikuwa mratibu wa kampeni za rostam!
hawa wanaojua makosa yao na kutubu tunawahitaji sana chadema!
 
Sidhani kama atakuwa amefika hata Form FOUR, kama ndivyo basi atakuwa amepata FOUR.

Hawa ndio wale waliosemwa na Masaburi, namuweka sawa na Wabunge wa Magamba Dar. Haina haja ya kupigizanane kelele huyu mtoto wa Nepi anayetumia Masaburi
 
Back
Top Bottom