Mgombea Urais wa CHADEMA, E. Lowassa na mgombea mwenza wanapeleka NEC petition yao

Mapengo 17

R I P
Mar 28, 2014
1,232
609
Mgombea Urais wa CHADEMA anayeungwa mkono na UKAWA, Edward Lowassa pamoja na Mgombea Mwenza wake, Juma Duni Haji, muda huu wanakwenda NEC kupeleka petition yao.

Wakitoka huko watafanya press conference saa 5 asubuhi hii, Ngome, kuzungumza na waandishi wa habari juu ya petition hiyo waliyowasilisha.

======
The leading opposition figure in Tanzania's elections and former Prime Minister, Edward Lowassa has filed an official petition against the National Electoral Commission. Lowassa has also withdrawn his tallying agents citing irregularities in the ongoing announcements of the presidential results.

Lowassa's announcement comes a few hours to the official NEC declaration of Presidential results. Observers and party representatives are currently verifying results ahead of this NEC declaration.
 
mi nahisi nec wawasikilize nini wanachotaka ..hata wakitaka mahesabu yafanyike manual nec waruhusu hesabu zifanyike manual ...kama kura zilizotangazwa ni halali ..basi nec wakubali kufanya upya marudio ya kura kwa manual...kama nec watakataaa basi kweli kulikuwa na uchakachuaji mkubwa
 
Wakuu Salaam,

Mgombea Urais wa CHADEMA anayeungwa mkono na UKAWA, Edward Lowassa pamoja na Mgombea Mwenza wake, Juma Duni Haji, muda huu wanakwenda NEC kupeleka petition yao. Wakitoka huko watafanya press conference saa 5 asubuhi hii, Ngome, kuzungumza na waandishi wa habari juu ya petition hiyo waliyowasilisha.

Mr. Lowassa and his running mate, Juma Duni Haji, are sending their petition to NEC this time, after there they would hold a press conference at Ngome, UKAWA Election Campaign Office in Kawe, 2 pm.

You are welcome

Makene

UPDATES KUTOKA TUME
MGOMBEA URAIS EDWARD LOWASSA AKIAMBATANA NA MGOMBEA MWENZA JUMA DUNI

Wamepeleka petition Tume ya uchaguzi asubuhi hii,kuelezea kukataa matokeo yanayotangazwa na kuondoa rasmi uwakilishe wake tume

Cha kushangaza AMENYIMWA KUINGIA NA TUME IKAKIMBIA KUMALIZIA KUTANGAZA MATOKEO.

Muda huu yuko pale TUME YA UCHAGUZI muda huu.
Tanzania is simpy not. A DEMOCRATIC STATE .
 
Wakuu kwa upande wangu uvumilivu ulinishinda hivyo mchana huu nimempigia simu mchana huu kumuuliza inakuaje uongozi wa ukawa. Tumaini Makene anasema anafahamu hali tuliyonayo sisi wafuasi wa ukawa na hivi karibuni hatua za kisheria tayari zimeanza kuchukuliwa ili kukidhi haja ya wafuasi.amini msiamini viongozi wa ukawa wanafahamu jinsi wafuasi wa ukawa walivyonyanyasika kisaikolojia
 
Last edited by a moderator:
yaani huku Arusha polisi wanafamya doria na magari yao ya washa washa na boda boda kuendelea kutuharibu kisaikolojia ila watu wanasema wanangojea kauli ya viongozi
 
Wakuu Salaam,

Mgombea Urais wa CHADEMA anayeungwa mkono na UKAWA, Edward Lowassa pamoja na Mgombea Mwenza wake, Juma Duni Haji, muda huu wanakwenda NEC kupeleka petition yao. Wakitoka huko watafanya press conference saa 5 asubuhi hii, Ngome, kuzungumza na waandishi wa habari juu ya petition hiyo waliyowasilisha.

Mr. Lowassa and his running mate, Juma Duni Haji, are sending their petition to NEC this time, after there they would hold a press conference at Ngome, UKAWA Election Campaign Office in Kawe, 2 pm.

You are welcome

Makene

UPDATES KUTOKA TUME
MGOMBEA URAIS EDWARD LOWASSA AKIAMBATANA NA MGOMBEA MWENZA JUMA DUNI

Wamepeleka petition Tume ya uchaguzi asubuhi hii,kuelezea kukataa matokeo yanayotangazwa na kuondoa rasmi uwakilishe wake tume

Cha kushangaza AMENYIMWA KUINGIA NA TUME IKAKIMBIA KUMALIZIA KUTANGAZA MATOKEO.

Muda huu yuko pale TUME YA UCHAGUZI muda huu.
Tanzania is simpy not. A DEMOCRATIC STATE .

Anaeshangazwa ni mpumbavu tu, viongozi wote wa Tume wapo ukumbi wa Nyerere wanatangaza matokeo na time ya kuwa hapo walitangaza toka jana, sasa yeye angoje wamalize akienda atamuona nani? Ukuta?

Hivi hizo shule huwa mnaenda kusomea ujinga?
 
Back
Top Bottom