Elections 2010 Mgombea CCM afariki ghafla Arusha

shetani hana mwaka.miaka yote ni ya mungu....bwana ametoa ..bwana ametwaa..jina la bwana libarikiwe.
Mwaka wa sheteni ama mwaka wa mauaji katika uchaguzi? Mwanza nako Katibu CCM alishwa sumu, watauana sana mwaka huu
 
Habari toka redio maria saa nne usiku huu, nimesikia mgombea udiwani kata ya nduruma amefariki ghafla baada ya maumivu makali ya kichwa tangu alipopitishwa na chama chake. Maumivu hayo yalisababisha alazwe hospitali ya Rufaa KCMC. Hadi mauti yalipomfika leo. Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi na kuipa fatraja familia yake katika kipindi hiki kigumu.
Je rais ataudhuria mazishi jumamosi ili apate huruma ya jamii?????????[/QUOTE]

Ndiyo zake.
 
Back
Top Bottom