Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 13,504
- 51,099
Mmeamua kutokusoma wala kutopeleka watoto wenu shule,mnawapeleka madrasa! Haya ndo matokeo wachache wanakidhi vigezo hasa kutumika ktk ngazi za juu za kielimu...
Acheni udini,huu uzi tu ni udini tosha! Nendeni shule acheni kushauriana mambo yasiyo na tija.
Kama wamehamishwa,huko walipoenda si wapige kazi tatzo nini? Au kuna mkate gani walikua wanapata walipokua UDOM?
Sent using Jamii Forums mobile app
AACHE KUINGILIA TAASISI ZA SERIKALI KWA MGONGO WA DINI, KILA UONGOZI KWENYE KILA TAASISI INA NAMNA YAKE YA KUSHUGHULIKIA CHANGAMOTO, KAMA WALIHAMISHWA WALISHINDWA KUTIMIZA WAJIBU WAO WA MSINGI NA KUANZA KUJENGA MISIKITI NI VYEMA SANA WAMEHAMISHWA, MAANA HAO NI CHANZO CHA MAFARAKANO, HALAFU WOLIAJIRIWA NA TAASISI Z SERIKALI WAMEAJIRIWA KWA MUJIBU WA SIFA WALIZO NAZO NA SIO DINI.
Hii imepitwa na wakati waislamu mbona wanasomesha watoto shule mkuu haya yalikua madai miaka 10 baada Uhuru kama kuna tatizo la msingi litatuliwe kabla ya kuleta madharaMmeamua kutokusoma wala kutopeleka watoto wenu shule,mnawapeleka madrasa! Haya ndo matokeo wachache wanakidhi vigezo hasa kutumika ktk ngazi za juu za kielimu...
Acheni udini,huu uzi tu ni udini tosha! Nendeni shule acheni kushauriana mambo yasiyo na tija.
Kama wamehamishwa,huko walipoenda si wapige kazi tatzo nini? Au kuna mkate gani walikua wanapata walipokua UDOM?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo waliopo JF muda huu hali zao ni nzuri?Kama hali ni mbaya hupaswi kuwa JF mida hii, inakupasa uwe unasukuma japo mkokoteni upate hela!
Waislam mnavyoikumbatia CCM mnadhani huwa inakua msaada kwa wananchi kweli....? Subirini mtatulie huo mgogoro msijeanza matukio ya kigaidi
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa udom wamefata misikiti au kusoma.....? Mbona wakiwa kwenye maofisi ya umma hawalilii misikiti...??Acha maneno ya dharau dhidi ya Waislamu, sote ni Watanzania, Haki inabidi itendeke kwa makundi yote ya kijamii kwa ajili ya kutunza amani ya nchi
Hili tatizo tulililea wenyewe hasa kwa kuanzia kwa mkuu wa chuo kipindi hicho. Tulisikia tetesi za udini kutawala chuo na shughuli za dini kushika hatamu hadi kwenye uongozi na ajira. Lilikuwa ni bomu lililotengenezwa na kiongozi aisye na uadilifu na sasa likaota mizizi ndio litatusumbua. Lakini jumuiya ile ni kubwa tukiruhusu kila dini wajenge jengo lao la kuabudu hapatatosha pale itakuwa ni fujo. Wanaotaka kuabudu waende nje ya chuo la sivyo waendelee na ule utaratibu wa kutumia madarasa kufanya ibada zao ambapo sio permanent.
Basi waishi ktk misingi ya Umma,na sio ktk preferences zao ambazo zinataka dini yao ipewe kipaumbele wakati kipaumbele ni umma kama one group na sio individual religious groups.Yes, Umma ni watu wakiwemo pia waislamu miongoni mwao!